JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempiski

  Report Post
  Page 1 of 3 123 LastLast
  Results 1 to 20 of 55
  1. MaxShimba's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 11th April 2008
   Posts : 36,625
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3918
   Likes Given
   679

   Default Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempiski

   Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Hayat zamani Kempiski, Alipagawisha wafanyakazi hao vya kutosha kwa show nzuri kutoka kwa wasafi..Big up kaka
  2. MaxShimba's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 11th April 2008
   Posts : 36,625
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3918
   Likes Given
   679

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Usiku wa jana nilikua na kibarua kizito cha kuhakikisha Nakonga na
   Kufurahisaha nyoyo
   za Wafanyakaziwa CBA BANK na wageni waalikwa kwenye
   Party yaCBA BANK
   iliyofanyikaHyatt Regency zamani kama Kempinsk Hotel....Kiukweli
   nimshkuru sana
   Mwenyez Mungu kwa kuweza kunisimamia
   vyema na Kufanikisha zoezi hilo....
   Ntakua mchoyo wa Fadhira sana endapo
   kama nisipoushkuru Uongozi mzima wa Bank
   ya CBA kwa kuweza kunipa fulsa hiyo vilevile
   Kampuni ya SCANAD TANZANIA LTD bila kuisahau team yangu nzima
   ya WASAFI......! haya ndio yaliyojiri
   Emma Platnumz na Ramadhan Mpauka
   Rommy Jones On The One n Two.....!!
   WASAFIIII.....!!
   Weeeeeh....!
   Afe kipa afe beki Ushindi LAZIMA!!!
   -
   Ramadhani Mpauka...!
   Kiukweli ilikua ni moja Corporate Event iliyonipa raha sana pindi nikiwa kwenye stage
   Maana walikua wako very Active... yaani walikuwa
   na mizuka saa zote......!!!
   Ni mwendo wa Kwaito tu....
   Asanteee
   Mashetani ya Kimanyema yakaanza sasa.....
   Nikukiamsha tu.....!!!
   Ni Kumwaga radhi tu....
   BAK, Steve Dii, gfsonwin and 1 others like this.

  3. MaxShimba's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 11th April 2008
   Posts : 36,625
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3918
   Likes Given
   679

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Tukilewa pamoja kwa style ya kwaito..!!
   AgHaaa....

  4. #4
   breves's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 24th February 2013
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Si mchezo

  5. Mentor's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th October 2008
   Location : On my way to Heaven!
   Posts : 13,404
   Rep Power : 429499774
   Likes Received
   11736
   Likes Given
   35799

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   du kweli alistahili kuitwa nasibu domo wa Tandale.

   Ila dogo noma..big up!
   MadameX likes this.
   "Be an example.." 1 Timothy 4:12
   Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
   Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
   NACHO CHA RUWA
   !

  6. #6
   BAK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2007
   Location : Mfaranyaki
   Posts : 43,939
   Rep Power : 429505968
   Likes Received
   26183
   Likes Given
   28962

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Jamaa anajituma sana hongera zake akiendelea hivi anaweza kuitikisa Afrika katika idara ya Muziki na si ajabu dunia ali mradi tu ajiepushe na vishawishi ambavyo vinaweza kumharibia...Picha zimetoka bomba ile mbaya.
   Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

  7. #7
   ammah's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 2nd October 2010
   Location : Under the MONEY tree...
   Posts : 197
   Rep Power : 602
   Likes Received
   37
   Likes Given
   16

   Default

   Quote By Mentor View Post
   du kweli alistahili kuitwa nasibu domo wa Tandale.

   Ila dogo noma..big up!
   Huyu kijana hana utani na kazi...Q-Chief atasubiri sana!

  8. #8
   Root's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd January 2012
   Location : Tanzania
   Posts : 13,524
   Rep Power : 106275480
   Likes Received
   4181
   Likes Given
   1762

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Ukijituma kama hivi hakika utaweza kila kitu vijana tusilale
   I learned that courage was not the absence of fear, but the triumph over it. The brave man is not he who does not feel afraid, but he who conquers that fear

  9. #9
   Tabalo's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th February 2013
   Posts : 216
   Rep Power : 482
   Likes Received
   34
   Likes Given
   4

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Vp hakuvua tena,huwa ananiboa hapo tu

  10. Doppelganger's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th December 2012
   Location : Here, there & everywhere
   Posts : 1,543
   Rep Power : 3076057
   Likes Received
   370
   Likes Given
   139

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Safi sana 'almasi' naona hadi domo linapiga gym ah!

  11. asrams's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th September 2011
   Posts : 2,126
   Rep Power : 939
   Likes Received
   516
   Likes Given
   769

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Quote By Doppelganger View Post
   Safi sana 'almasi' naona hadi domo linapiga gym ah!
   Acha wivu ndgu Kama mwenzako anapiga hatua ktk maisha mpe sifa zake

   Sent via EyePhone
   Team BCBG "The machine of music"

  12. Doppelganger's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th December 2012
   Location : Here, there & everywhere
   Posts : 1,543
   Rep Power : 3076057
   Likes Received
   370
   Likes Given
   139

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Quote By asrams View Post
   Acha wivu ndgu Kama mwenzako anapiga hatua ktk maisha mpe sifa zake
   Tafsiri nzuri ya wivu ni changamoto ya maendeleo.

   Anapiga hatua? anapaswa apige 'mahatua' mengi,ni heri nimtakiayo pia.

   Sifa nyingi hupunguza maarifa na kujituma. Sifa zake anazo mwenyewe,mimi nina sifa zangu tu na sizigawi kwa mtu.

  13. Lukansola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2010
   Location : 6°48′S 39°17′E
   Posts : 5,275
   Rep Power : 1583
   Likes Received
   1416
   Likes Given
   1955

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Costume designer amefanya kazi yake, picha nzuri, watu wametokelezea kama mbele, safi kijana, ila epuka cheap popularity itakumaliza. Afu mbona waendesha gari mwenyewe?

  14. isambe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th February 2008
   Posts : 774
   Rep Power : 854
   Likes Received
   187
   Likes Given
   17

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Kiingilio kwenye hiyo sherehe ilikuwa ni suti nyeusi/kijivu kwa wanaume?,naona wote wametinga hivyo,sijaona swagga zozote zaidi ya za mwimbaji na wachezaji wake ,ila huyu kijana anahitaji kuwezeshwa naona yeye na dancers wake wote wamepanda gari moja tena anajiendesha,i cant imagine harufu ya majasho humo ndani ya prado!!!!!

  15. Ndahani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2008
   Location : Somewhere
   Posts : 11,240
   Rep Power : 4459
   Likes Received
   3566
   Likes Given
   6899

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Iza likes this.
   We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
   Ralph Waldo Emerson

  16. Lukolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2009
   Location : Iringa
   Posts : 5,117
   Rep Power : 86242787
   Likes Received
   3034
   Likes Given
   2058

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Quote By BAK View Post
   Jamaa anajituma sana hongera zake akiendelea hivi anaweza kuitikisa Afrika katika idara ya Muziki na si ajabu dunia ali mradi tu ajiepushe na vishawishi ambavyo vinaweza kumharibia...Picha zimetoka bomba ile mbaya.
   Huwa siipendi hiyo tabia yake ya kuvua nguo hadharani. Hivi wenzake akina Michael Jackson na umaarufu wao wote mbona walikuwa hawavui nguo?
   BAK likes this.
   Kama mtu alikuwa waziri au hata mkuu wa mkoa katika serikali ya Kikwete, hafai kuwa Rais wa Tanzania. Kimsingi mtu huyo ni sehemu ya uongozi mbovu na wa hovyo ulioliingiza taifa letu katika umaskini mkubwa na mdororo wa uchumi tulionao sasa. Kama mtu huyu alijua namna ya kuiokoa nchi na hakufanya hivyo, ina maana alitusaliti watanzania na hafai kuwa Rais wa nchi. Kama hakujua ni nini cha kumshauri Kikwete ili Mambo yaende sawa, ina maana hana analolijua. Je anataka awe Rais ili afanye nini ilihali hakuna alijualo?

  17. #17
   BAK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2007
   Location : Mfaranyaki
   Posts : 43,939
   Rep Power : 429505968
   Likes Received
   26183
   Likes Given
   28962

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Hahahaha lol! labda kamuiga Rick Ross huyu jamaa mziki ukishakolea basi hubaki tumbo wazi na kajaaliwa kitambi basi huwa kinaanza kutikisika. Juzi juzi tulikuwa tunaangalia BET awards na washkaji basi jamaa kuingia tu nikaanza kusema atavua shati sasa hivi muziki ukimkolea basi kama baada ya dakika tatu shati tupa kule!! anaanza kutingisa kitambi chake

   Quote By Lukolo View Post
   Huwa siipendi hiyo tabia yake ya kuvua nguo hadharani. Hivi wenzake akina Michael Jackson na umaarufu wao wote mbona walikuwa hawavui nguo?
   Lukolo likes this.
   Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

  18. dada white's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 1,234
   Rep Power : 804
   Likes Received
   499
   Likes Given
   124

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Ni zamu yake mwacheni atambe
   Masaki likes this.

  19. #19
   Yo Yo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2008
   Posts : 11,191
   Rep Power : 23110
   Likes Received
   1490
   Likes Given
   2625

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   Totozi za CBA
   ...kuwa na baba maskini ni mipango ya Mungu ila kuwa na baba mkwe maskini ni ujinga wako mwenyewe.....

  20. twins's mum's Avatar
   Member Array
   Join Date : 20th February 2013
   Posts : 23
   Rep Power : 442
   Likes Received
   9
   Likes Given
   12

   Default Re: Mwacheni Diamond Aitwe Diamond-Picha za Show yake ya Jana na Wafanyakazi wa CBA Bank Pale Kempis

   kifua chake tu!! unamkuta mwanaume ana kitambi ka roba la mbolea mbichi!! fanyeni mazoezi, acheni kuwa na mavitambi!! diamond upo juu!! big up kwako!
   MadameX likes this.

  Page 1 of 3 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...