JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: BATTLE: Between ALI KIBA and DIAMOND PLATNUMZ who is the best singer?

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 49
  1. Venance Gilbert's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th January 2013
   Posts : 25
   Rep Power : 383
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default BATTLE: Between ALI KIBA and DIAMOND PLATNUMZ who is the best singer?

   Until now i don't undestand who is the best between those two guys let you vote who do you think is the best???......

  2. heaven on desert's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2013
   Posts : 999
   Rep Power : 640447
   Likes Received
   342
   Likes Given
   3

   Default

   Quote By ray05 View Post
   Alikiba ana nyimbo nyingi kwanini umechukua huo wa dushelele?
   coz zote zilitoka wakati mmoja..na inaonesha video ya mawazo imetizamwa mara nyingi zaid ya dushelele
   mawazo imetizamwa na watu zaid ya laki nane
   dushelele hawafik hata laki tatu
   cyo nyimbo hizo tu..video zote za diamond zimetizamwa sana youtube kuliko za ali k
   si hivyo tu..show zote zinazomhusu diamond hujaza sana watu kuliko ilivyokua ali k(mana saiz n kama hayupo)
   diamond huyu huyu alifanya concert ya peke yake kiingilio elfu 50 na watu wakajaa hakuna msanii wa bongo fleva mwenye ubavu huyo
   mpaka hapo ni waz diamond hakamatiki wengine watasubiri sanaaa
   NIGGA likes this.

  3. #22
   amu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th August 2012
   Posts : 7,032
   Rep Power : 49617788
   Likes Received
   4855
   Likes Given
   1628

   Default

   Ur real a great thinker hiyo mistari ya kiba ni faraja tosha.
   Quote By habari ya mjini View Post
   HUWEZ UKAKUTA WISE WORDS KAMA HIZI KWENYE NYIMBO ZA DIAMOND..

   yule aliyekupa wewe,ndo kaninyma mim,
   na kama rdhk anatoa yeye,basi ntakosa mimi,
   ila mola ndo anaetoa,tena kwa folen hata kama nipo nyuma nitapata laziima..

  4. Mjanja Wa Town's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 29th March 2012
   Location : Anywhere
   Posts : 124
   Rep Power : 445
   Likes Received
   16
   Likes Given
   1

   Default Re: BATTLE: Between ALI KIBA and DIAMOND PLATNUMZ who is the best singer?

   Ali kiba ana kipi cha kumfanya awe juu? Mi sioni sababu ya kumcompare Platnumz na mtu kama Ali kiba. Ali kiba ilikuwa enzi hizo napenda kula.., sijui kitu gani.. Lakini so sasa hivi hamna anachofanya kwenye game. Ukimzungumzia Diamond unamzungumzia best male intertainer in Tz miaka 800.

  5. JIWEGANGI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2013
   Posts : 686
   Rep Power : 710
   Likes Received
   103
   Likes Given
   90

   Default Re: BATTLE: Between ALI KIBA and DIAMOND PLATNUMZ who is the best singer?

   tuache wivu, domo yupo juu.

  6. heaven on desert's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2013
   Posts : 999
   Rep Power : 640447
   Likes Received
   342
   Likes Given
   3

   Default

   Quote By Mjanja Wa Town View Post
   Ali kiba ana kipi cha kumfanya awe juu? Mi sioni sababu ya kumcompare Platnumz na mtu kama Ali kiba. Ali kiba ilikuwa enzi hizo napenda kula.., sijui kitu gani.. Lakini so sasa hivi hamna anachofanya kwenye game. Ukimzungumzia Diamond unamzungumzia best male intertainer in Tz miaka 800.
   umenena...ifike hatua watu waache wivu na chuk hta kwa vitu vilivyo waz kama hv

  7. Kansime

  8. Somji Juma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd July 2011
   Location : TanganyikA.
   Posts : 1,533
   Rep Power : 766
   Likes Received
   503
   Likes Given
   142

   Default

   Quote By heaven on desert View Post
   umenena...ifike hatua watu waache wivu na chuk hta kwa vitu vilivyo waz kama hv
   hahaha,ongeen sana ila Unajua kwa nin ALLY K NI MKALI..
   CHA KWA KU MAINTAIN KWENYE GAME TANGU 2005,kisha mpaka leo mnamshndansha na mtu wa 2009..

   HAMNA ALBUM YA DIAMOND ILOUZA KAMA YA "ALLY KIBA-CINDERELA"..

   MPAKA LEO ALLY KIBA NDO ANAONGOZA KWA KUPGA SHOW ULAYA,mwaka jana kapga show 11 nje,DIAMOND kapga 7..

   KINACHOCHANGIA DIAMOND AONEKANE YUPO JUU NI SKENDO,ALLY K ANAJIHESHMU SANA,KATEMBEA NA LULU,WOLPER LAKN HAKUJTANGAZA OVYO..

   POP IT IN,ALLY K 4 REAL,MCHIZ WA BONGO..JAMAA ANAJUA BWANA..AU MPAKA AANDKWE KWENYDD MAGAZET NDO MUMKUBAL.?
   afrodenzi and keys like this.

  9. mourad77's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 13th September 2012
   Posts : 178
   Rep Power : 432
   Likes Received
   35
   Likes Given
   0

   Default Re: BATTLE: Between ALI KIBA and DIAMOND PLATNUMZ who is the best singer?

   Kusema kweli sio Shabiki wa yoyote kati yao ila Diamond nyimbo zake zimeshiba tungo na mashairi mnyonge mnyongeni lakini... Domo ndo habari ya mujini

  10. Venance Gilbert's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th January 2013
   Posts : 25
   Rep Power : 383
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: BATTLE: Between ALI KIBA and DIAMOND PLATNUMZ who is the best singer?

   Thanx for voting The Great Thinkers

  11. NIGGA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd January 2013
   Location : NAIVASHA
   Posts : 1,203
   Rep Power : 618
   Likes Received
   445
   Likes Given
   544

   Default Re: BATTLE: Between ALI KIBA and DIAMOND PLATNUMZ who is the best singer?

   Domo kwa sasa ndio habari ya mjini,hamna msanii yeyote anae mgusa acha kumkaribia

  12. heaven on desert's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2013
   Posts : 999
   Rep Power : 640447
   Likes Received
   342
   Likes Given
   3

   Default

   Quote By habari ya mjini View Post
   hahaha,ongeen sana ila Unajua kwa nin ALLY K NI MKALI..
   CHA KWA KU MAINTAIN KWENYE GAME TANGU 2005,kisha mpaka leo mnamshndansha na mtu wa 2009..

   HAMNA ALBUM YA DIAMOND ILOUZA KAMA YA "ALLY KIBA-CINDERELA"..

   MPAKA LEO ALLY KIBA NDO ANAONGOZA KWA KUPGA SHOW ULAYA,mwaka jana kapga show 11 nje,DIAMOND kapga 7..

   KINACHOCHANGIA DIAMOND AONEKANE YUPO JUU NI SKENDO,ALLY K ANAJIHESHMU SANA,KATEMBEA NA LULU,WOLPER LAKN HAKUJTANGAZA OVYO..

   POP IT IN,ALLY K 4 REAL,MCHIZ WA BONGO..JAMAA ANAJUA BWANA..AU MPAKA AANDKWE KWENYDD MAGAZET NDO MUMKUBAL.?
   umesema???
   ali k yuko kwenye gem toka 2005 na kapiga show 11 nje(ingawa hatujawai kuzskia)
   then diamond ana miaka 3 tu kwa mwaka jna pekee show za nje 7..ha ha ha ushajipa jbu mwenyewe nan mkari

  13. heaven on desert's Avatar

   .

  14. #32
   keys's Avatar
   Member Array
   Join Date : 8th December 2012
   Posts : 21
   Rep Power : 389
   Likes Received
   2
   Likes Given
   19

   Default Re: BATTLE: Between ALI KIBA and DIAMOND PLATNUMZ who is the best singer?

   ally kiba zaidi kwa watu wanaoelewa mziki..
   na diamond anaongoza kwenye magazeti ya udaku kwa skendo
   Kiranga likes this.

  15. Venance Gilbert's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th January 2013
   Posts : 25
   Rep Power : 383
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: BATTLE: Between ALI KIBA and DIAMOND PLATNUMZ who is the best singer?

   Huyu huyu Diamond tena kuna tetesi kammwaga Kidoti na ana du mpya mtangazaji jna limentoka na ktuo anachofanyia kazi....

  16. Magembe R. Malima's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 23rd April 2012
   Location : DSM
   Posts : 160
   Rep Power : 546
   Likes Received
   130
   Likes Given
   683

   Default Re: BATTLE: Between ALI KIBA and DIAMOND PLATNUMZ who is the best singer?

   Kiranga njoo upate maoni ya wadau hapa.

  17. Kiranga's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 29th January 2009
   Posts : 21,277
   Rep Power : 17072648
   Likes Received
   10783
   Likes Given
   2129

   Default Re: BATTLE: Between ALI KIBA and DIAMOND PLATNUMZ who is the best singer?

   Quote By Magembe R. Malima View Post
   Kiranga njoo upate maoni ya wadau hapa.
   Bongo nani ka sign deal na major international label ?

   Hiyo ndiyo iwe benchmark.

   Kwingine huku ni mchezo tu ambao watu wanacheza na kusahaulika kila mwaka.
   Proverbs 23:9 Speak not in the ears of a fool: for he will despise the wisdom of thy words.

  18. heaven on desert's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2013
   Posts : 999
   Rep Power : 640447
   Likes Received
   342
   Likes Given
   3

   Default

   Quote By keys View Post
   ally kiba zaidi kwa watu wanaoelewa mziki..
   na diamond anaongoza kwenye magazeti ya udaku kwa skendo
   mwenzetu ebu tufundishe muzik ni nini naasi tuulewe
   Magembe R. Malima likes this.

  19. Somji Juma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd July 2011
   Location : TanganyikA.
   Posts : 1,533
   Rep Power : 766
   Likes Received
   503
   Likes Given
   142

   Default

   Quote By heaven on desert View Post
   umesema???
   ali k yuko kwenye gem toka 2005 na kapiga show 11 nje(ingawa hatujawai kuzskia)
   then diamond ana miaka 3 tu kwa mwaka jna pekee show za nje 7..ha ha ha ushajipa jbu mwenyewe nan mkari
   .
   mwaka jana ally k kapga show 11 nje ya nch mpaka akashndwa kuwepo kwenye FIESTA,Sio lazma uckie kwa7b yeye co msanii wa magazet,kuna mfanyakaz m1 wa global publsheqz alkua anahojiwa kwenye mkas akaulzwa n msanii gan ambae wamepata tabu kufanya nae kaz dar live na hawajampata,akasema ally k coz kila mwez alikua anaenda nje..

   au unataka nae aanzshe website ya kuweka pcha zake kila anapoenda kama diamond ndo ujue.?

  20. Mkare_wenu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th March 2011
   Location : daslam
   Posts : 1,603
   Rep Power : 796
   Likes Received
   294
   Likes Given
   134

   Default Re: BATTLE: Between ALI KIBA and DIAMOND PLATNUMZ who is the best singer?

   HEBU PITIA HAPA KENGE WE

   Ali Kiba - Usiniseme

   lebronz·250 videos
   1,570 1,082,672
   879 61
   Uploaded on Aug 14, 2009
   EastAfricanTube - East African Social Networking & Major Gateway in Media Sharing ~ Bongo Flava Video from Tanzania in East Africa, For More Videos Please Check Out EastAfricanTube

   Top Comments   Video Responses   All Comments (396)

   Sign in now to post a comment!

  21. Mkare_wenu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th March 2011
   Location : daslam
   Posts : 1,603
   Rep Power : 796
   Likes Received
   294
   Likes Given
   134

   Default Re: BATTLE: Between ALI KIBA and DIAMOND PLATNUMZ who is the best singer?

   ALIKIBA hapa ana viewers zaid ya milioni moja you tube Ali Kiba - Usiniseme - YouTube

  22. heaven on desert's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2013
   Posts : 999
   Rep Power : 640447
   Likes Received
   342
   Likes Given
   3

   Default

   Quote By Mkare_wenu View Post
   ALIKIBA hapa ana viewers zaid ya milioni moja you tube Ali Kiba - Usiniseme - YouTube
   usiniseme n wimbo wa 2009 kaka na mpaka sasa una hao viewers milion wakat video ya diamond mwazo imetoka 2012 na imefkiza watazamaj zaid ya laki 8..huon huo uwiano mkuu
   ALI K NIWA SIKU NYINGI BT DIAMOND Z THE BEST WAMSUBIRI MIAKA 1000
   Magembe R. Malima likes this.

  23. Clean9

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...