Heri ya mwaka mpya ndugu zangu. Kama heading inavyosema tafadhalini naombeni mwenye contacts za huyu dada nina shida naye sana, either namba ya simu au BBM pin please. Natanguliza shukrani
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu. Kama heading inavyosema tafadhalini naombeni mwenye contacts za huyu dada nina shida naye sana, either namba ya simu au BBM pin please. Natanguliza shukrani
0713341108
Namba siyo mkuu hii ni ya mwanaume jina linaanza na I, am serious jamani nisaidieni
Wapigie waandishi wa Risasi, Amani au Ijumaa watakupatia bila kusita.
Wisdom Comes by Listening !
Ungeenda global publishers ungempatakwa urahisi sana.
Tafuta blog yake au tembelea dar live
Njoo makumbusho nkupeleke kwake ni jirani yangu..
Follow Us Here