JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

  Report Post
  Page 20 of 21 FirstFirst ... 1018192021 LastLast
  Results 381 to 400 of 419
  1. Steve Dii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2007
   Location : Kihesa - Iringa
   Posts : 6,834
   Rep Power : 53987
   Likes Received
   1006
   Likes Given
   3014

   Default Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

   Mwimbaji mashuhuri hapa Tanzania, Ray C, ametangaza kupona na matatizo ya yaliyokuwa yakimsumbua. Ametangaza hayo akiwa Ikulu baada ya kupata msaada mkubwa kutoka kwa Mh. Rais Kikwete.

   RAY C AKIMSHUKURU RAIS KIKWETE   RAY C, MAMA YAKE NA DADA YAKE WAKIMSHUKURU RAIS KIKWETE

  2. Fidel80's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : UVUNGUNI
   Posts : 21,871
   Rep Power : 127267
   Likes Received
   4056
   Likes Given
   1349

   Default Re: Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

   Mnao ponda tuwaeleweje? Ilitolewa akaunti ya kumsaidi RC watu mkaponda rais kajitolea mnaponda nyie ni binadamu kweli au wanyama?

  3. KUCHILI's Avatar
   Member Array
   Join Date : 20th January 2012
   Posts : 25
   Rep Power : 423
   Likes Received
   2
   Likes Given
   4

   Default

   Je kwa hili ndio kunaweza kumaanisha kuwa mkuu ni mtu mwema huku akiwaacha mafisadi waendelee kuua watu? Ole wao wapendao kutoa ili wapate kusifiwa bali wewe utoapo kwa mkono wa kushoto na wala wakulia usijue.

  4. Kobello's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th February 2011
   Posts : 3,722
   Rep Power : 1862
   Likes Received
   1635
   Likes Given
   249

   Default Re: Video ya siku ray c alipofika ikulu kumshukuru rais kikwete kwa matibabu

   Quote By Kiranga View Post
   Yesu hakutumia fedha au venues za walipa kodi.

   If you want to analogize, get the analogy right at least.

   Jeezuz.
   Aliyekuambia K katumia fedha za walipa kodi ni nani?
   Na yesu alitumia venues za nani alipokuwa akiwapa maono vipofu?
   Mwisho kabisa, ulitaka venue iwe wapi? mpaka usitokwe mapovu?
   Mayn! ... YBH8ING?
   Keeping quiet is a war crime.

  5. Kiranga's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 29th January 2009
   Posts : 20,288
   Rep Power : 1696601
   Likes Received
   10203
   Likes Given
   1969

   Default Re: Video ya siku ray c alipofika ikulu kumshukuru rais kikwete kwa matibabu

   Quote By Kobello View Post
   Aliyekuambia K katumia fedha za walipa kodi ni nani?
   Na yesu alitumia venues za nani alipokuwa akiwapa maono vipofu?
   Mwisho kabisa, ulitaka venue iwe wapi? mpaka usitokwe mapovu?
   Mayn! ... YBH8ING?
   Ikulu ni nyumba ya taifa, kama angempa msaada kama Jakaya angeenda naye Ursino.

   Analogy ya yesu is wrong on so many levels, he wasn't a head of state for starters.
   Last edited by Kiranga; 13th December 2012 at 00:31.
   A house divided against itself cannot stand.

  6. #385
   EMT's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 13th January 2010
   Location : Tandahimba
   Posts : 11,470
   Rep Power : 18716849
   Likes Received
   10286
   Likes Given
   7825

   Default Re: Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

   Quote By gfsonwin View Post
   who is that person?? we tz's? or the so called katibu wa ikulu or who??
   Watanzania.
   gfsonwin likes this.
   Poverty makes people do reckless things, but rich people do worse to protect their bling – Immortal technique

  7. JF SMS Swahili

  8. #386
   EMT's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 13th January 2010
   Location : Tandahimba
   Posts : 11,470
   Rep Power : 18716849
   Likes Received
   10286
   Likes Given
   7825

   Default Re: Video ya siku ray c alipofika ikulu kumshukuru rais kikwete kwa matibabu

   Quote By Kobello View Post
   Aliyekuambia K katumia fedha za walipa kodi ni nani?
   Na yesu alitumia venues za nani alipokuwa akiwapa maono vipofu?
   Mwisho kabisa, ulitaka venue iwe wapi? mpaka usitokwe mapovu?
   Mayn! ... YBH8ING?
   Kwa hiyo, unataka kusema kuwa the whole occasion didn't cost taxpayers a penny?
   Poverty makes people do reckless things, but rich people do worse to protect their bling – Immortal technique

  9. Mkereketwa_Huyu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2011
   Location : London | Dar Es Salaam
   Posts : 2,756
   Rep Power : 226824
   Likes Received
   1019
   Likes Given
   809

   Default Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

   Quote By Cognitivist View Post
   Jamani huyu ni Ray C kweli??machoni ni kama yeye lakini sura kama vile sio yeye as if ni kibibi flan toka korea kaskazini. Kweli unga noumer.

   Ni Ray C na kapendeza shinda awali. Inasadikika Ray C kaathirika na kama ni kweli inabidi atulizane ajitunze, mambo ya fleva yamepitwa na wakati.

  10. Mkereketwa_Huyu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2011
   Location : London | Dar Es Salaam
   Posts : 2,756
   Rep Power : 226824
   Likes Received
   1019
   Likes Given
   809

   Default Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

   Quote By Kobello View Post
   Aliyekuambia K katumia fedha za walipa kodi ni nani?
   Na yesu alitumia venues za nani alipokuwa akiwapa maono vipofu?
   Mwisho kabisa, ulitaka venue iwe wapi? mpaka usitokwe mapovu?
   Mayn! ... YBH8ING?

   Sasa huyu Yesu umtajaye bila sababu anahusiana vipi na suala zima la msaada aliotoa Kikwete kwa Ray C?
   Last edited by Mkereketwa_Huyu; 13th December 2012 at 03:18.

  11. Kobello's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th February 2011
   Posts : 3,722
   Rep Power : 1862
   Likes Received
   1635
   Likes Given
   249

   Default Re: Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

   Quote By Mkereketwa_Huyu View Post
   Sasa huyu Yesu umtajaye bila sababu anahusiana vipi na suala zima la msaada aliotoa Kikwete kwa Ray C?
   Kwa sababu aliwasaidia baadhi ya watu wakati wengine walikuwa na matatazi yanayofanana.
   Na yeye ni binadamu ambaye ni mfano kwa binadamu wengi duniani.
   Keeping quiet is a war crime.

  12. Kobello's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th February 2011
   Posts : 3,722
   Rep Power : 1862
   Likes Received
   1635
   Likes Given
   249

   Default Re: Video ya siku ray c alipofika ikulu kumshukuru rais kikwete kwa matibabu

   Quote By EMT View Post
   Kwa hiyo, unataka kusema kuwa the whole occasion didn't cost taxpayers a penny?
   What if it did?
   Keeping quiet is a war crime.

  13. Kobello's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th February 2011
   Posts : 3,722
   Rep Power : 1862
   Likes Received
   1635
   Likes Given
   249

   Default Re: Video ya siku ray c alipofika ikulu kumshukuru rais kikwete kwa matibabu

   Quote By Kiranga View Post
   Ikulu ni nyumba ya taifa, kama angempa msaada kama Jakaya angeenda naye Ursino.

   Analogy ya yesu is wrong on so many levels, he wasn't a head of state for starters.
   but he was a head of one of a congregation.
   Your argument is flawed, based on hate ..... kitendo kile hakirudishi nyuma maendeleo ya watanzania, tafuta sababu nyingine.
   Keeping quiet is a war crime.

  14. Viper's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2007
   Location : Zaragoza (Spain)
   Posts : 3,591
   Rep Power : 3464
   Likes Received
   1209
   Likes Given
   833

   Default Re: Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

   Quote By M-bongotz View Post
   Duh bwana mkubwa nae kwa kupenda uma-harufu hajambo,yaani mateja woote wa nchi hii kamuona "kiuno bila mfupa" tu?,kama ni muungwana kiasi hicho si angefungua rehabilitation centre ili mateja wote wanufaike.
   Hamjamuelewa jk ray c ni celeb ana umati wa mashabiki wakiwemo watoto...

   Rayc obvious atakuja kuwa balozi mzuri kuongelea. Madhara ya haya madawa .. since yeye ni celeb tayari msg itakuwa rahisi.kufika kuliko umchukuwe unknown teja alafu aongee
   “Not only am I better looking….I’m just plain better.”
   Arsenal My heart Juventus My soul

  15. Puppy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th October 2011
   Posts : 1,616
   Rep Power : 757
   Likes Received
   408
   Likes Given
   57

   Default

   Quote By Kiranga View Post
   Betty Chalamila-Mkwasa.

   Kumbeee

  16. Phillemon Mikael's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 5th November 2006
   Location : mwanza,/uk/santa clara
   Posts : 5,354
   Rep Power : 1768
   Likes Received
   1398
   Likes Given
   30

   Default Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

   Quote By kasimba123 View Post
   na huu ndio udhaifu aliosema JJ nimesikitika dogo mmoja mwanza kibofu kiko nje hadi anafika la saba hajapelekwa nje ila RC faster
   Makoloni yetu mazeee.....hawa mabinti wakiweka list ya Watu waliowachojolea mtajificha chini ya meza......enzi ray c akiwa ray c kweli....nani rijali angekataa kfursa cha kuandika jina lake kwake?
   St. Paka Mweusi likes this.

  17. Phillemon Mikael's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 5th November 2006
   Location : mwanza,/uk/santa clara
   Posts : 5,354
   Rep Power : 1768
   Likes Received
   1398
   Likes Given
   30

   Default Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

   Quote By Mkereketwa_Huyu View Post
   Ni Ray C na kapendeza shinda awali. Inasadikika Ray C kaathirika na kama ni kweli inabidi atulizane ajitunze, mambo ya fleva yamepitwa na wakati.
   Kwa Watu wa drugs waliofikia kujidunga Kama ray c..9/10 ni positive.....reason kubwa wakiwa allosto lazima watashea mabomba hata Kama wanajuwa mwenzao kaathirika...simply they can't resist .....
   Pili ni kubakwa....wakishavuta wengine hulala hadi masaa kumi bila kuamka....na wakiamka wakiunhanisha..inakuwa wameshinda masaa 24 bila kula.....ndio sababu ya kukonda sana....
   Wakiwa wamelala wanaume wenye uchu huwafanya watakavyo....mbele na nyumba....hata wanaume hugeuka mashoga
   Hufanya hata kuuza MWili kwa bei yeyote hata sh 500 Kama hawana pesa ya kuvuta,au drug dealers huwatumikisha kwenye madanguroo

   Ni maajabu tu yanaweza kumuokoa teja wa sindano na ukimwi.......haawa ambao wapo hatua ya awali ya kulamba wanaweza kuokolewa.....lakini pia kwa wanawake ni ngumu kwa sababu ya kuingiliwa wanapozima.....kuna kijana mmoja muuzaji akikuonesha watoto wa kike warembo wa kishua aliowakaza hutaamini.......wanavutia unga ghetto kwake wanapaki vx,vogue etc.......anawauzia wakilewa wanalala kwenye makochi Anaita marafiki wanampa pesa anawapa raundi.....ni wasichana na kazi Zao na heshima Zao...wengine wake za Watu ....sad

  18. Fixed Point's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 30th September 2009
   Posts : 10,657
   Rep Power : 3859312
   Likes Received
   11857
   Likes Given
   11814

   Default Re: Video ya siku ray c alipofika ikulu kumshukuru rais kikwete kwa matibabu

   Quote By snowhite View Post
   alikuwa teja bana!
   zikatolewa picha humuu kuwa anahotaji msaada nakumbuka shosti yetu mutoto ya fisadi alisema watanzania tumchangi sijui!weell kwake yeye na wengine ilieleweka!
   si ndo chighafula hapa(wapi dada mkubwa FP )tunakutana namipicha na taarifa za habari oh rais kamtibu ray c na rayc,mama yale na dada yake wameenda ikulu kumpongeza basi ITV walitoa habari,TBC ,CHANNEL 10 mradi tu mambo mzomzo!
   nilijiuliza maswali mengi sana mwenzio!na mpaka sas sijapata jibu ndo mana nakwambia tukajilipue tu!
   mlongo wangu, yaani mimi bado nina mkandamizo wa mawazo........ sijui hata cha kusema, nisije nikaishia kwenye ban bure
   snowhite likes this.
   Don't wait for the Perfect Moment,
   Take the Moment and make it Perfect

  19. snowhite's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2012
   Location : nyumbani
   Posts : 10,703
   Rep Power : 2239790
   Likes Received
   10953
   Likes Given
   10271

   Default Re: Video ya siku ray c alipofika ikulu kumshukuru rais kikwete kwa matibabu

   Quote By FP View Post
   mlongo wangu, yaani mimi bado nina mkandamizo wa mawazo........ sijui hata cha kusema, nisije nikaishia kwenye ban bure
   bora tu iwe hivo manake we acha tu!
   Fixed Point likes this.

  20. Kiranga's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 29th January 2009
   Posts : 20,288
   Rep Power : 1696601
   Likes Received
   10203
   Likes Given
   1969

   Default Re: Video ya siku ray c alipofika ikulu kumshukuru rais kikwete kwa matibabu

   Quote By Kobello View Post
   but he was a head of one of a congregation.
   Your argument is flawed, based on hate ..... kitendo kile hakirudishi nyuma maendeleo ya watanzania, tafuta sababu nyingine.
   A congregation is not mandated by law to pay taxes, a citizenry is.

   The flaw is clearly on your side.
   A house divided against itself cannot stand.

  21. St. Paka Mweusi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd September 2010
   Location : Ukune,
   Posts : 5,786
   Rep Power : 14021
   Likes Received
   1867
   Likes Given
   3850

   Default Re: Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

   Quote By Phillemon Mikael View Post
   Makoloni yetu mazeee.....hawa mabinti wakiweka list ya Watu waliowachojolea mtajificha chini ya meza......enzi ray c akiwa ray c kweli....nani rijali angekataa kfursa cha kuandika jina lake kwake?

   Nimekugongea LIKE hapo umeiona.......
   Phillemon Mikael likes this.
   UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE . By Simon Kitururu.

  22. Kobello's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th February 2011
   Posts : 3,722
   Rep Power : 1862
   Likes Received
   1635
   Likes Given
   249

   Default Re: Video ya siku ray c alipofika ikulu kumshukuru rais kikwete kwa matibabu

   Quote By Kiranga View Post
   A congregation is not mandated by law to pay taxes, a citizenry is.

   The flaw is clearly on your side.
   No hommie ... it depends on what kind of congregation you are talking about.
   Christian, jewish and muslim congregations have to pay taxes!!!
   Lol, you are so predictable..... I already know ur next question.
   Keeping quiet is a war crime.

  23. JF SMS Swahili

  Page 20 of 21 FirstFirst ... 1018192021 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...