Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Dr. Isaack Ndodi: Hisia mchanganyiko

    Report Post
    Page 2 of 12 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 226
    1. #1
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,253
      Rep Power : 2622
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      834

      Default Dr. Isaack Ndodi: Hisia mchanganyiko

      Nadhani wadau wengi humu mtakuwa mmeshamsikia au kumwona huyu bwana machachari ambaye ni dokta, mchungaji, mshauri, mwalimu, n.k. binafsi napenda kumsikiliza kila wakati anapotoa mada hasa ukichangia na ile spidi yake ya kuongea bila kukosea. tatizo lake ni mtu ghali sana linapokuja suala la matibabu. zaidi ya kumwona kwenye kioo, kuna ya ziada juu yake? tumzungumzie kwa wema tu kwani ni mtume yule
      Beware of a sucker punch

    2. Miaka 50

    3. #21
      Mateso's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th August 2008
      Location : Bongo
      Posts : 224
      Rep Power : 594
      Likes Received
      3
      Likes Given
      1

      Talking Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Nafikiri kuna mambo muhimu yanayohitajika kujadili hapa na kutangaza biashara za watu hapa.

    4. #22
      Mateso's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th August 2008
      Location : Bongo
      Posts : 224
      Rep Power : 594
      Likes Received
      3
      Likes Given
      1

      Talking Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Nafikiri kuna mambo muhimu yanayohitajika kujadiliwa hapa siyo kutangaza biashara za watu hapa.

    5. #23
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,253
      Rep Power : 2622
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      834

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Quote By Mateso
      Nafikiri kuna mambo muhimu yanayohitajika kujadiliwa hapa siyo kutangaza biashara za watu hapa.
      hakuna mtu anayetangaza biashara ya mtu, ni mawazo yako tu. akijadiliwa lwakatare, mengi, n.k tunawatangazia biashara zao? changia hoja mkuu
      Beware of a sucker punch

    6. #24
      Indume Yene's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Chumbani
      Posts : 2,139
      Rep Power : 4951
      Likes Received
      331
      Likes Given
      308

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Management ya JF ina mipango gani kuwaalika watu kama hawa jamvini kwa manufaa ya wanajamvi wengine? anaweza kuruhusu haki zake kama video kutumika hapa kuelemisha wengine ambayo wanayohitaji elimu zaidi.
      Mie nashauri JF kuwa na utaratibu wa kuwapa mwaliko kutoa mada hapa kama wageni waalikwa, si lazima wawe memba.

    7. #25
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,253
      Rep Power : 2622
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      834

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Quote By Indume Yene
      Management ya JF ina mipango gani kuwaalika watu kama hawa jamvini kwa manufaa ya wanamvi wengine? anaweza kuruhusu haki zake kama video kutumika hapa kuelemisha wengine ambayo wanayohitaji elimu zaidi.
      Mie nashauri JF kuwa na utaratibu wa kuwapa mwaliko kutoa mada hapa kama wageni waalikwa, si lazima wawe memba.
      umenena mkuu. wakuu wa meza walitazame hili
      Beware of a sucker punch

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      Nanu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th May 2009
      Posts : 1,212
      Rep Power : 754
      Likes Received
      38
      Likes Given
      77

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Star Tv ina ofisi zake Dar, sio lazima aende Mwanza. Ni kweli ni ghali na kwa mwananchi wa kawaida ni vigumu kupata service zake. Kama mtumishi angetakiwa afanye matibabu asilia kwa bei nafuu, lakini ni ghali hata kuliko virutubisho vya GNLD n.k.
      Peace is meaningless if nothing is right. Do it and Do It Right or Not at All.
      Swallowing His Own Words has never Killed the Politician!

    10. #27
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,253
      Rep Power : 2622
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      834

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Quote By Nanu
      Star Tv ina ofisi zake Dar, sio lazima aende Mwanza. Ni kweli ni ghali na kwa mwananchi wa kawaida ni vigumu kupata service zake. Kama mtumishi angetakiwa afanye matibabu asilia kwa bei nafuu, lakini ni ghali hata kuliko virutubisho vya GNLD n.k.
      ni kweli kwani ukiangalia star TV asubuhi huwa wanawasiliana mwanza na Dar. Hope hizo safari zake huko MZ ni za kimaslahi zaidi hadi zinapelekea bei za huduma zake kupanda. he is extremely expensive
      Beware of a sucker punch

    11. #28
      Kaitaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2009
      Posts : 862
      Rep Power : 676
      Likes Received
      13
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Quote By Mziwanda
      umeongea pwent. Huyu Dr. ni public speaker mzuri sana. Kwa wenzetu huko nje angekuwa mtu muhim sana. Na usemavyo kuhusu kujiunga humu lingekuwa jambo la busara. Labda yupo ila ni kwa vile hatujuani
      Pwent? au pont, Any way sio kitu, mtoa mada amesema huyu bwana ni ghali sana, ukitaka kumuona ni Tsh 50,000/= hapo matibabu bado,

      Ni vyema tukamuomba akaangalia kipato cha watanzania akapunguza kidogo.

    12. #29
      Katabazi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th February 2007
      Posts : 352
      Rep Power : 697
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Wana JF,Ukitaka kujua thamani ya afya lazima uwe umeugua.Huyu bwana natoa ushuhuda ambao watu wa Hospitali zetu kubwa waliishamtema mgonjwa ambaye hapo zamani alichanjwa katikati ya kifua,ika develop shimo linalotoa usahaa na mwingine unatokea puani. Option ilikuwa kumpeleka India-gharama ilikuwa karibu USD 4600 au kujaribu kwa Ndondi,mimi nikajitolea kujaribu kwa gharama yangu. Ndodi akala 1.6M na huyu mgonjwa akapona na akarudi hizo hosp. kupigwa X-ray mara 5 lile tobo limezibika.Je huyu ni bora angekufa au kwenda India?gharama zake na Ujuzi wake ni sawa na Engineers,Dr's.wapiga boxes nchi za nje,etc etc wanaolipwa thousands of US$/mon kuwaona. Shujaa kwao huwa .....

    13. #30
      Kaitaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2009
      Posts : 862
      Rep Power : 676
      Likes Received
      13
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      [QUOTE=WomenofSubstanc;538492]Kwani cha ajabu yeye kuja na kuchangia ni nini? Kwani unadhani wanaochangia humu hawana bei? Si ni kujitolea tu na hata yeye mbona anaalikwa sehemu mbalimbali kama makanisani kuzungumza na halipwi?[/QUOTE]

      Huko japo halipwi, huwa anatafuta wateja kama nyie hamfahamu hilo.

    14. #31
      Visenti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th July 2008
      Posts : 605
      Rep Power : 677
      Likes Received
      117
      Likes Given
      276

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Quote By ludoking
      Binafsi nimekuwa mfuatiliaje wa Vipindi vya Dr Isaack Ndondi kuanzia vile Channel 10 mpaka StarTv. Ukweli ni kwamba kuna baadhi ya mambo ya msingi katika jamii ambayo uwepo wake kwenye screen kumewasaidia wengi. Vipindi vyote hivyo anavifanya kwa gharama zake mwenyewe, kwa hiyo hata gharama zake kimatibabu lazima ziwe juu. Laiti kama watanzania wasingeendelea kuifanya mioyo kuwa migumu na kumsaidia huyu bwana kama basi angekuwa msaada mkubwa jamii

      Binafsi huwa napata burudani saaaaafi napokuwa naangalia kipindi chake. Ni zaidi ya comedy . Pamoja na kujaliwa kipaji cha kuongea haraka haraka, pia huwa anajaribu kutumia lugha ambayo inaweza kueleweke kwa kila mtu.
      hapo umenenna ni Ze KOMEDI !, hasa kwa wanaoweza kuchambua na kuchagua yanayofaa, kumbuka watanzania walio wengi wanachukua na kuamini yote anayoyasema Ndodi.
      "Speed in a wrong direction is irrelevant" - M.Ghandi

    15. #32
      LeopoldByongje's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th April 2008
      Posts : 374
      Rep Power : 639
      Likes Received
      8
      Likes Given
      9

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Quote By Visenti
      hapo umenenna ni Ze KOMEDI !, hasa kwa wanaoweza kuchambua na kuchagua yanayofaa, kumbuka watanzania walio wengi wanachukua na kuamini yote anayoyasema Ndodi.
      Huyo bwana kwa wasiomfahamu utamuona ni mujuzi. Lakini kwa taarifa huyo bwana hajasomea taaluma ya utabibu. Ukifuatilia mada zake utagundua kuwa anaongea mambo ambayo hana ujuzi nayo. Kwa taarifa halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ilimpiga marufuku kuendesha Kliniki yake iliyokuwa magomeni Kagera na kumpiga marufuku kuendesha biashara ya Kliniki eneo lolote la Manispaa hiyo kwa sababu nilizozitaja hapo awali.

      Jamani kuweni makini na watu kama hawa ambao wanajiita "Doctor" Wakati hawakuusomea hata hiyo kozi ya 'Rural Medical Aid' nako hawakupita.

      Kwa hiyo suala si kujua kuongea au kuwa na ushawishi; Suala hapa je ana taaluma inayotambulika? au ni comedian!!!!!!!

    16. #33
      Gerad2008's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2009
      Posts : 289
      Rep Power : 564
      Likes Received
      17
      Likes Given
      11

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Acha kabisa LIBIDOZY kwani tofauti kati ya Buberwa na Dr. Ndondi ni sawa na tofauti kati ya Farao na Musa.

      Buberwa ni member wa group ya anti-Christ na nina sema hivi kutokana na hotuba zake ambazo hazina hadhi ya kuitwa mahubiri bali KEJELI zinazosababishwa na UPOFU WA KIROHO.

      Dr. Ndondi anakusaidia si lazima ukanunue dawa lakini vipindi vyake ni dawa tosha. ni kweli ni mtu muhimu mno katika jamii ya watanzania ingawaje hawa madaktari wetu wa kuchonga wamemkataza kujitangaza kwa kigezo eti SI RUKSA KIMAADILI YA UTABIBU DAKTARI KUJINADI KWA WAGONJWA. Huyu dokta hata kma hana doctorate ya Darasani lakini ni zaidi sana kuliko hawa wanaozeeka au kufa na utaalam wao bila kmnufaisha mtu zaidi ya familia zao.

      Ndondi ni kweli ni public speaker mzuri mwenye mvuto na asiyechosha anapokalia kipindi chake sawasawa. Tunahitaji watu kama hawa katika huu mtandao watusaidie kukaza nati zilizolegea.

    17. #34
      BornTown's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2008
      Location : ???
      Posts : 1,482
      Rep Power : 863
      Likes Received
      283
      Likes Given
      104

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Quote By libidozy
      Ni ujinga kwa kila mganga wa kienyeji kujiingiza katika mambo ya kiuchungaji ili watu wawakubali!Alianza Yahaya Hussein,akaja Ndodi sasa Joseph Kalokola Buberwa wa JKB international nae eti anatoa neno la mungu!Acheni kukufuru mungu kwa kutaka ufalme wa hapa duniani.Kalokola mke kamshinda na wametengana kwa kupigana magumi pale ubungo plaza mimi pamoja na wafanyakazi wake akina Vick,Mrutu na Ndutu ndio tulioamulia hizo ngumi leo nae anafundisha watu jinsi ya kuishi katika ndoa!Aibu.Hawa ni wafanyabiashara tuu wala hawatendi mambo ya mungu,achaneni nao.
      Jamani ni shetani aka ibilisi aliwapitia tu hadi wakazipiga za bure ila maandiko yanasema samehe mara 7 sabini! Kwahiyo ameamua kumrudia Mungu wake na kutubu madhambi yake yote

    18. #35
      Kitoto Akisa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 23rd April 2009
      Posts : 52
      Rep Power : 523
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Kwani Dr Ndondi akija hapa hata kama halipwi hatapata wateja? ninaamini kwa ushuhuda uliotolewa na katabazi, na Dr Ndondi mwenyewe akija kama mgeni mualikwa wa JF wateja watapatikana tu japo lengo la kumualika JF halitakuwa kutafuta wateja. jamani kizuri chajiuza kibaya.....!

    19. #36
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,253
      Rep Power : 2622
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      834

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Quote By LEOPOLDBYONGJE
      Huyo bwana kwa wasiomfahamu utamuona ni mujuzi. Lakini kwa taarifa huyo bwana hajasomea taaluma ya utabibu. Ukifuatilia mada zake utagundua kuwa anaongea mambo ambayo hana ujuzi nayo. Kwa taarifa halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ilimpiga marufuku kuendesha Kliniki yake iliyokuwa magomeni Kagera na kumpiga marufuku kuendesha biashara ya Kliniki eneo lolote la Manispaa hiyo kwa sababu nilizozitaja hapo awali.

      Jamani kuweni makini na watu kama hawa ambao wanajiita "Doctor" Wakati hawakuusomea hata hiyo kozi ya 'Rural Medical Aid' nako hawakupita.

      Kwa hiyo suala si kujua kuongea au kuwa na ushawishi; Suala hapa je ana taaluma inayotambulika? au ni comedian!!!!!!!
      sikatai, ila mbona anapewa air time ya kutosha tu pamoja na kutoa mihadhara kibao ttena yenye tija kwa jamii yetu hii? pia bado anaoperate hapo sanitariam magomeni. sioni sababu ya mtu huyu kupigwa vita hivyo ila mamlaka zihakikishe anakuwa fair.
      Beware of a sucker punch

    20. #37
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,253
      Rep Power : 2622
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      834

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Quote By Visenti
      hapo umenenna ni Ze KOMEDI !, hasa kwa wanaoweza kuchambua na kuchagua yanayofaa, kumbuka watanzania walio wengi wanachukua na kuamini yote anayoyasema Ndodi.

      kaka sioni ubaya kwa hawa waja wakichukua kila kitu kwani hana sumu kiivyo. ni bora huyu kuliko kakobe anayewaambia waumini wake wakae mbali na dhahabu na mapambo, kwamba ni ya miungu!!
      Beware of a sucker punch

    21. #38
      Patrick Nyemela's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2008
      Posts : 266
      Rep Power : 588
      Likes Received
      6
      Likes Given
      25

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Huyu bwana anajiita Dr, hakuna lolote. Ufahamu wake wa kutibu maradhi mbalimbali kwa kutumia lishe, kwa mfano mtu ana matatizo ya macho anamwambia kula sana matunda na mboga za majani, hakikisha mboga huzichemshi sana na kama una mafuta ya mawese weka. Jamani ni daktari gani wa muhimbili au hospital yoyote asiyejua umuhimu wa matunda na mboga za majani? Nakumbuka hata shule za msingi wanafundishwa haya. Sasa unatwambia tulipe Tshs. 50,000 kumuona huyu bwana!!! Wizi mtupu.

      Mimi nimemuona mara nyingi kupitia star TV na channel ten, sijaona ujuzi wake zaidi ya kuchomoa pesa za watanzania. Nilikuwa nataraji kama wanavyofanya wachungaji wengine kama kakobe, mzee wa upako n.k atowe huduma hiyo bure kwa kondoo wa bwana.

    22. #39
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,253
      Rep Power : 2622
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      834

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      Quote By Patrick Nyemela

      hapo umetuacha. kwani kakobe na lusekelo wanatoa huduma zao bure?
      Beware of a sucker punch

    23. #40
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,253
      Rep Power : 2622
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      834

      Default Re: Dr. Isack Ndodi-Hisia mchanganyiko

      wajameni jana nimemsikiliza tena Dr. ndodi. shuhuda za wagonjwa zinamuweka huru. pia nimegundua kuwa ile gharama yake kubwa inaenda kwa watu fulani kwa vile wale wanaopata ile elimu ya mtandao wanaipata kwa bure na kufaidika nayo. kama watu wangemchangia vya kutosha hapo ingebidi tumhukumu kwa gharama zake. otherwise, the guy is great!!
      Beware of a sucker punch

    Page 2 of 12 FirstFirst 1234 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Isaack Ndodi VS Babu Kikombe
      By GHOST RYDER in forum Celebrities Forum
      Replies: 6
      Last Post: 25th July 2011, 09:12
    2. Picha mchanganyiko
      By Somi in forum Jamii Photos
      Replies: 4
      Last Post: 3rd November 2010, 01:19
    3. Lawyer Ahmed Isaack Hassan To Head All Important Body.
      By Ab-Titchaz in forum International Forum
      Replies: 1
      Last Post: 2nd April 2009, 16:29

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...