JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

  Report Post
  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 21 to 40 of 75
  1. Money Stunna's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th August 2011
   Location : BeechGrove City
   Posts : 13,117
   Rep Power : 16967207
   Likes Received
   5584
   Likes Given
   1741

   Default Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma
   HAYA NDO MADHARA YA BANGI NA MADAWA YA KULEVYA......NI BORA TUJIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA.... RAY C ANATIA HURUMA.LAWAMA ZOTE ZIMEELEKEZWA KWA LORD EYEZ AMAYE NDIYE ALIYEMFUNZA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA SHUKRANI ZA DHATI KWA GLOBAL PUBLISHER: HABARI IMEANDIKWA KWA KIREFUKATIKA GAZETI LA LEO LA IJUMAA

   apo kabla madhara ayajaanza kuonekana

   kuna mdau ameomba niweke picha alivyokuwa kabla ndio hiyo sasa
   Last edited by Money Stunna; 2nd November 2012 at 15:05.

  2. Bob Fern's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th October 2012
   Posts : 835
   Rep Power : 628
   Likes Received
   108
   Likes Given
   280

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   Picha very faint

  3. Zion Daughter's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2009
   Location : Mlimani
   Posts : 8,934
   Rep Power : 28554457
   Likes Received
   4115
   Likes Given
   2167

   Default

   Quote By kisilo View Post
   Mtandao wamauzo nimkubwa kiackwamba hatawaliopewa kuzuia uingizwaji
   ndio mamember coz naniatamfunga paka kengele???
   Hapo tunasikia na watoto wa mkulu wa inji nao wanahusika kuuza..kazi ipo

  4. Mkare_wenu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th March 2011
   Location : daslam
   Posts : 1,670
   Rep Power : 880
   Likes Received
   313
   Likes Given
   135

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   huyu c ndo alijifanya kukimbia bongo kwenda kenya kufanya mziq,ndo mziki huu?!

  5. pretty n's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2012
   Location : Arusha
   Posts : 298
   Rep Power : 530
   Likes Received
   69
   Likes Given
   18

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   Duuh hvi yana faida eeh?

  6. Chilli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th July 2011
   Location : Nowhere
   Posts : 1,618
   Rep Power : 7783
   Likes Received
   687
   Likes Given
   241

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   Dah, madawa nooma.

  7. Wamunzengo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2012
   Posts : 513
   Rep Power : 576
   Likes Received
   134
   Likes Given
   4

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   Jamani kiuno bila mfupa....., umekuwa hivi tena jamani!!!??? Poleee.

  8. Concrete's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2011
   Posts : 3,609
   Rep Power : 0
   Likes Received
   492
   Likes Given
   0

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   Please waliopo karibu na huyu dada wachunguze na vitu vingine vya kiafya kama sero status... maana kwa mwenendo wake ni risk candidate wa mambo mengi ya kiafya.

  9. Concrete's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2011
   Posts : 3,609
   Rep Power : 0
   Likes Received
   492
   Likes Given
   0

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   Yote kwa yote Mungu ni mwema na anaweza yote.
   Ray C bado Mungu anakupenda tengeneza maisha yako sasa.

  10. #29
   LEGE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th October 2011
   Location : Mwenge dar es salaam
   Posts : 2,920
   Rep Power : 63029
   Likes Received
   891
   Likes Given
   426

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   mwacheni atangulie tuuu dunia yenyewe hii tumejaa wangine wanazingua zingua tuuuu??

  11. #30
   Comm's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 14th October 2012
   Posts : 112
   Rep Power : 485
   Likes Received
   6
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By LEGE View Post
   mwacheni atangulie tuuu dunia yenyewe hii tumejaa wangine wanazingua zingua tuuuu??
   Utaishi milele...

  12. mojoki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2010
   Location : everywea
   Posts : 1,311
   Rep Power : 829
   Likes Received
   246
   Likes Given
   59

   Default

   Quote By Ghian Carter View Post
   ahaha by the way pictures hazipo clear sana. Kwahiyo i cant say anything. Anaonekana kama amelala tu, zingeonekana vizuri ningesema something. By the way madawa sio inshu...
   Kanunue gazeti la udaku utaziona clearly

  13. Suzie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th May 2010
   Posts : 1,264
   Rep Power : 0
   Likes Received
   385
   Likes Given
   512

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   Ila mnapenda kuchafua watu sana. Sikatai anakula sembe lakini hizi picha alikuwa kalala acheni kukuza mambo

  14. Gang Chomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th February 2008
   Location : hell
   Posts : 7,644
   Rep Power : 2375
   Likes Received
   1782
   Likes Given
   0

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   rais Kikwete alipelekewa majina ya wauzaji Unga hapa nchini lakini mpaka sasa kimyaaaaaaa.
   asa sijui anasubiri kuunda tume au laa

  15. CaptainDunga's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 17th July 2009
   Posts : 107
   Rep Power : 653
   Likes Received
   20
   Likes Given
   30

   Default Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   Quote By Money stunna View Post   HAYA NDO MADHARA YA BANGI NA MADAWA YA KULEVYA......NI BORA TUJIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA.... RAY C ANATIA HURUMA.LAWAMA ZOTE ZIMEELEKEZWA KWA LORD EYEZ AMAYE NDIYE ALIYEMFUNZA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA SHUKRANI ZA DHATI KWA GLOBAL PUBLISHER: HABARI IMEANDIKWA KWA KIREFUKATIKA GAZETI LA LEO LA IJUMAA

   apo kabla madhara ayajaanza kuonekana

   kuna mdau ameomba niweke picha alivyokuwa kabla ndio hiyo sasa
   Duuh mwenyezi Mungu amjalie arudi katika hali yake ya awali[ingawa najua ni ngumu]

   Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

  16. Rapha's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 6th August 2009
   Posts : 563
   Rep Power : 742
   Likes Received
   119
   Likes Given
   44

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   Umejuaje ka cause ni drugs?!

  17. mathematics's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Location : MY PLACE
   Posts : 3,237
   Rep Power : 1464
   Likes Received
   881
   Likes Given
   1131

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   Ray c yuleyule aliyekuwa anachanganya wanaume kwa uzuri , macho yake , kiuno amekuwa hivi?!!
   kama upo karibu naye na unaweza kumsaidia please help her!
   i am sure the creator of the universe is the perfect mathematician

  18. Muuza Sura's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st August 2011
   Location : kinondoni manyanya
   Posts : 1,880
   Rep Power : 902
   Likes Received
   1035
   Likes Given
   952

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   bongo watu wasahaulifu sana!!!huyu mtoto kipindi anasoma F.K alichapika sana na wazee wa umeme na tetesi kama naye kakanyaga zilivuma!huu unga ni kijisababu tu ili mdudu ndo atakuwa anamtesa sana!.....mayanki wengi wa mjini wakishaikanyaga wanaingia katika unga!......................... .AIDS KILLS
   a.k.a mnyama!!!!

  19. Jay One's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th November 2010
   Posts : 7,077
   Rep Power : 199202581
   Likes Received
   658
   Likes Given
   7

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   Eeeeehh.....!!
   Yale macho yake so attractive yamegeuka kama mbuzi kachinja.... hii ni nusu kaputi .... starehe noma...

  20. Natalia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd July 2011
   Location : NY,CT
   Posts : 3,419
   Rep Power : 542007
   Likes Received
   898
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Money stunna View Post   HAYA NDO MADHARA YA BANGI NA MADAWA YA KULEVYA......NI BORA TUJIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA.... RAY C ANATIA HURUMA.LAWAMA ZOTE ZIMEELEKEZWA KWA LORD EYEZ AMAYE NDIYE ALIYEMFUNZA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA SHUKRANI ZA DHATI KWA GLOBAL PUBLISHER: HABARI IMEANDIKWA KWA KIREFUKATIKA GAZETI LA LEO LA IJUMAA

   apo kabla madhara ayajaanza kuonekana

   kuna mdau ameomba niweke picha alivyokuwa kabla ndio hiyo sasa
   Picha sio rahisi kujua Kama yeye.can be anybody

  21. Nazjaz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2011
   Posts : 4,377
   Rep Power : 1540813
   Likes Received
   1702
   Likes Given
   649

   Default Re: Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

   'muwacheni apumuwe'

  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...