Wadau tuwape pongezi wanandoa wapya mujini ni Richard Mziray na mrembo wa ukweeeeeee cynthia Masasi..Kila la heri kwenye maisha mapya.Epukeni marafiki wasiofaaa hasa kipinndi hiki amabpao mmekuwa mwili mmoja!!
Wadau tuwape pongezi wanandoa wapya mujini ni Richard Mziray na mrembo wa ukweeeeeee cynthia Masasi..Kila la heri kwenye maisha mapya.Epukeni marafiki wasiofaaa hasa kipinndi hiki amabpao mmekuwa mwili mmoja!!
Huyu Richard ndo nani? Ma celeb wa siku hizi bwana, kaaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli
sijaelewa kitu a up to z.
hayeni, kila la heri, waibe wasiibe bora wa heri na bora mkono unaenda kinywani!! ila cku inakuja yote hayo hamtayaona tena, siku mwenye kuiumba dunia hii atakaporejea.....
At least kuna Mwanaume kamuona anafaa kuwa mke na amemuheshimu,kuliko wanaoishia kuchezewa na kuachwa tu
ka Batamzinga.
Gauni la Bi Harusi Zuri sana. Wamependeza
mmmh!!!
Bésame Mucho...!!!
Roger that!!!!
Bésame Mucho...!!!
Ati wizi nao ni jasho?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Umesema huyu dada alikua anacheza video uchi Marekani? Au sijasikia vizuri?
Na huyo jamaa ni ze proffessional thief?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hawa ni wakina nani hapa bongo.?ni ma celeb wa nini.
Mbona sioni ufahari wowote hapo au macho yangu mabovu?
Some people are simply alive because it's illegal to kill them
Demu ni wa Mwanza mbona, kapiga kitabu Mwanza Sec alopomaliza alipepea zake Marekani.
Doreen na Mziray mdogo ni lini nao wanafunga ndoa
Cynthia bado unachezaga basketball, ulikuwaga unatisha best
Best wakati unaondoka kwenda marekani uliondokaga na cheni yangu, nitakusakanyaje unirudishie! na hivi unahela nadhani utanibariki kwa cheni ta diamond eeh!
''1 Samweli 7:12 - Eben-ezeri - Hata sasa BWANA ametusaidia''
T-pain. I'm in love with a stripper. Napita tuu nikiimba.
Follow Us Here