JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Wema Sepetu na Aunty Ezekiel waomba radhi kwa picha za uchi jukwaani

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 29 of 29
  1. HUNIJUI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th October 2012
   Location : Unknown
   Posts : 1,298
   Rep Power : 2805834
   Likes Received
   380
   Likes Given
   48

   Default Wema Sepetu na Aunty Ezekiel waomba radhi kwa picha za uchi jukwaani

   WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIEL WAOMBA RADHI KWA PICHA ZA UCHI JUKWAANI

   Wema Sepetu (katikati) akizungumza na wanahabari katika ukimbi wa habari maelezo jijini Dar kwa nia ya kuomba radhi kwa watanzania kwa niaba yake na msanii mwenzake Ant Ezekiel kuhusiana na tukio la wao kupigwa picha zilizowaonyesha nusu uchi wakati wakijiachia katika Tamasha la Serengeti Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma. Kulia ni Msanii wa Bongo Movie Ant Ezekiel na kushoto Katibu Mkuu wa TAFF Wilson Makubi.

   Wema Sepetu Mbele ya kamera akiomba radhi na kusema watanzania “ Kiukweli hatujafurahia na tumeumia sana” na tunatumia fursa hii kuomba Msamaha.

   Moja ya picha ya Msanii Aunty Ezekiel iliyosamba kwenye mitandao ya Kijamii hivi karibuni wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012.

   CHANZO:
   TANZANIA ONE: WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIEL WAOMBA RADHI KWA PICHA ZA UCHI JUKWAANI

   Sir-mganah likes this.
   Ukitaka kumjua mme mwenzio, Mwache mkeo


  2. #21
   Lis's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 2nd June 2012
   Posts : 185
   Rep Power : 462
   Likes Received
   32
   Likes Given
   11

   Default re: Wema Sepetu na Aunty Ezekiel waomba radhi kwa picha za uchi jukwaani

   nimewasamehe.

  3. Viper's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2007
   Location : Zaragoza (Spain)
   Posts : 3,652
   Rep Power : 3502
   Likes Received
   1272
   Likes Given
   849

   Default re: Wema Sepetu na Aunty Ezekiel waomba radhi kwa picha za uchi jukwaani

   Quote By Mphamvu View Post
   Watanzania wepi hao uliozungumza nao wakakuagiza uwe mwakilishi wao? Mi naona so far so good, mara ngapi wanasiasa wanaporomosha mitusi na husikii lolote la aina hii toka kwao.
   Tuache ubishi usio na mpango, tuwasapoti wasanii wetu kwa hatua yao ya kiungwana.
   Mkuu hili jukwaa limekuwa la ku diss wasanii ... Inasikitisha ... Interesting though
   “Not only am I better looking….I’m just plain better.”
   Arsenal My heart Juventus My soul

  4. chiko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2010
   Posts : 458
   Rep Power : 635
   Likes Received
   46
   Likes Given
   51

   Default re: Wema Sepetu na Aunty Ezekiel waomba radhi kwa picha za uchi jukwaani

   Kwani Usanii ni ninii???????, Mi naona Msanii ni mtu afanyae mambo yasio ya kawaida!!!!!!!!
   DOGO, SICHEZE MBALI, KWANI UNGA NI ROBO.....!!!!!!

  5. FirstLady1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2009
   Location : Mama Mwenye Nyumba
   Posts : 15,750
   Rep Power : 85937792
   Likes Received
   4156
   Likes Given
   7004

   Default re: Wema Sepetu na Aunty Ezekiel waomba radhi kwa picha za uchi jukwaani

   wasanii wa TZ wana mambo lol
   No one is in charge of your happiness except you...
   God time is the best..
   Tupo wangapi?

  6. hasason's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th September 2012
   Posts : 1,030
   Rep Power : 496952
   Likes Received
   374
   Likes Given
   10

   Default Re: Wema Sepetu na Aunty Ezekiel waomba radhi kwa picha za uchi jukwaani

   yani na tbc inaitwa na hawa wendawazimu wanaenda matukio ya vyama vya upinzani vyenye kutoa mustakabali wa nchi hii wanakosa good coverage wanaenda kuwasikiliza hawa mataahira only in tz!

  7. Gang Chomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th February 2008
   Location : hell
   Posts : 6,723
   Rep Power : 2135
   Likes Received
   1447
   Likes Given
   0

   Default Re: Wema Sepetu na Aunty Ezekiel waomba radhi kwa picha za uchi jukwaani

   libwaaja libwaaja
   Liko paandeeee
   Na huko pande liliko ni kwenye shamba
   La Jumanne, ingekuwa gogo ningelikataa
   Nikaligawa mapande
   Ingekuwa gogo ningelikata wee
   Nikaligawa mapande
   Ingekuwa gogo ningelikata wee
   Nikaligawa mapande


   Aaaaeeeeeeeeeeeeeee
   Lelile lele lile leleee
   Lile lile lile lele lile lile
   Lile lelee
   Lelilelileleeeee
   Lele lile lileleele

   Nyoka huyo
   Hana kiuno
   Shanga wewe wamvishaje?
   Nyoka huyoo
   Hana sikio
   Hereni wewe wamvishaje

  8. PlanckScale's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th September 2008
   Location : Bongo
   Posts : 445
   Rep Power : 59890488
   Likes Received
   66
   Likes Given
   155

   Default Re: Wema Sepetu na Aunty Ezekiel waomba radhi kwa picha za uchi jukwaani

   Tusihate sana...
   I, for one thing, have come to admire their courage na creativity katika usanii huu mchanga Wakibongo. Yes, most of the stuff they talk about is rubish, but they do satisfy that part of our psyche, which sometimes yearns for this rubishness and curiosity. But let's face it, Wema has been around for some time now and actually doing ok financially than most of us who are doing 9 to 5 (employed). More pic would be helpful …;)
   "It is better to die for an idea that will live, than to live for an idea that will die." Steve Biko

  9. Chandaruaz's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st July 2014
   Posts : 133
   Rep Power : 340
   Likes Received
   20
   Likes Given
   0

   Default Re: Wema Sepetu na Aunty Ezekiel waomba radhi kwa picha za uchi jukwaani

   Quote By Mkare_wenu View Post
   Tehe! Tehe! Tehe! Eti kuna wajinga wanamuita mfalme wa Bongofleva,labda wangemuita mfalme wa kugonoka
   Hahahaaaaa,Jf raha sanaaa duuuh…!!

  10. kimbunga jnr's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 11th March 2014
   Posts : 144
   Rep Power : 361
   Likes Received
   14
   Likes Given
   13

   Default Re: Wema Sepetu na Aunty Ezekiel waomba radhi kwa picha za uchi jukwaani

   Wanatafuta kick hao


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...