| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 760
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ukweli hajageuza vyombo vyake kumtukuza lakini la kutoa uhuru maslahi ya wafanyakazi hilo ni la kitafiti zaidi
|
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
|
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
tena kanikuna sana alivyoichachafya bajeti ya MIUNDO MBINU, hao ndio wabunge wanaotakiwa, sio wengine wakishatolewa kwenye uwaziri basi ni usingizi kwa kwenda mbele wakati wa bunge session.....
|
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Diallo ni mnyantuzu mjanja sijapata kuona!
|
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
wewe kandambilimbili mchokonoaji wa majungu.Unataka kusema nini hasa na unataka ulinganinshe na nani na kwanini haswa.Wewe nadahani ungekuwa na chombo cha habari ungekuwa unajitukuza kuliko unaotaka kuwalenga ila kwa vile mwenzangu uko hoi ndo maana unataka kuchokonoa wengine na kuwasifu wengine
|
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mkuu wewe kila mtu unamsema ukiombwa utoe sababu utasema tukamuulize mtu fulani.
__________________
"Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country"-JFK. |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Jamani kuna watu watakuja hapa na vizingiti lakini kwa vile hajagusa mtu mmoja mmoja najua watabaki kimyaa tu kama kawaida yao. Lakini jamaa kiboko amemuwamba Shukuru Kawamba hehehe safi sana mkuu lakini mbona kwenye ufisadi hupigi kelele na wewe unaogopa kunyoshewa kidole nini mkulu?
__________________
Ukiuza utumbo usiogope nzi. Chuda Raha Email: fidel80@jamiiforums.com |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Teh teehh teeehh
wakati yeye akiwa waziri alithubutu kumnyooshea kidole waziri yoyote? au ni kutoelewana kwa wawili hawa? na ikumbukwe alipania tokea kkao cha kwanza cha kamati ya bunge walipopitia `FIRST DRAFT` au ndo yaleyale ya next election???? NAWAKILISHA! |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Dialo si lolote si chochote kwani alipokuwa bosi wa wizara ya Maliasili na utalii aliendesha operation ya kuondoa wavuvi haramu lakini alipozama na bot akielekea ukerewe aliokolewa na wavuvi hao hao. msimamo wake ni kwa kulipiza kisasi baada ya kutemwa katika cabinet ya JK inagawa hoja yake ni ya msingi lakini kwa nini sasa hivi.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 06:01 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||