Celebrities ForumMazuri na Vimbwanga vya wakubwa: Rais, Mawaziri, Wabunge, Wafanyabiashara wakubwa n.k (Public Figures in general) The right place for celebrity enthusiast!
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???
Mkuu, nadhani kuna ukweli kwenye hili, kwenye matangazo ya BBC leo jioni, nimemsikia Sarleem Kikeke akimtania kuwa 'kwenye kidole cha chanda kuna kitu upo tayari kunambia?' Akasema 'hapana, nimefumba mdomo'
So kuna ukweli fulani, japo details ndo bado scant
Hongera Flora kwa kumpata mwenza
Haha hapana mkuu I was being sarcastic.
__________________ "Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country"-JFK.
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???
Haya Mambo yenu ya kijinga myarudishe ze Utamu. Na wale wanaolilia ze utamu, kuna Ze-Utamu part two imeanzishwa. Huko ndo upuuzi kama huu upelekwe siyo hapa kwetu siye wasomi
Mkuu tunaomba hii thread ya kijinga iondolewe. Flora ni dada yangu wa Damu na siwezi kuwaachia wajinga wamseme
Sioni sababu za kuifunga Flora yupo juu bana lazima atumulike yeye ni kioo cha jamii mkuu hutaki shemeji nini? Mi nataka nimpindue huyo aliyetoa posa nakuja kamili kamili na ninatangaza harusi kabisaaaaaaa nakuwa shemeji yako mkuu. Mwenye dada hakosi shemeji kwikwikwikwi jiandae.
__________________ Ukiuza utumbo usiogope nzi. Chuda Raha
Jamani badala ya kumpongeza mnaanza kumchimba kwani kuolewa si kawaida jamani au yeye alitakiwa asiolewee???mpeni pongezi yake tumtakie maisha mema ya ndoa......ukishajua mumewe then what?
__________________
"No matter how far down the wrong road you've gone,TURN BACK"
watu bana......umeuliza swali....bado na wewe hujaweka wazi ili usaidiwe duku duku lako....alafu ukishajua kaolewa na nani utafanyaje?...
bilivu me zeutamu inahitajika......kipindi kile ilipokuwa hewani thread za saluni hazikuwepo
Nakuunga mkono 300%(kama bungeni haha!) kwa mwenye kuweza afungue blog ya gossip haraka sana,ile crowd ya zeutamu imehamia hapa tunaishia kuongelea mambo binafsi ya watu badala ya mawazo au matukio.Kuna haja ya hawa ndugu zetu kuwapatia sehemu ya ku-gossip ili tupumue hapa.
__________________
"Kila kukicha afadhali ya jana" Mrisho Mpoto-poet