Jamani kipindi hiki cha Dina Marious mbona hakisikiki au amefukuzwa kazi Clouds.
Mwenye taarifa zaidi anipe taarifa.
Jamani kipindi hiki cha Dina Marious mbona hakisikiki au amefukuzwa kazi Clouds.
Mwenye taarifa zaidi anipe taarifa.
Chaku si ungeuliza tu Dina yuko wapi mbona hasikiki masuala ya kufukuzwa kazi si kurushana roho tu ndugu yangu?
Subiri watakuja kukujibu wenye ufahamu
LOVE is a flower, and YOU,its only seed
Mjukuu Mtiifu, 2012.
Sijamsikia siku mbili tatu kwenye leo tena, mwenye taarifa tafadhali atujuze.
"I have decided to stick with love. Hate is too great a burden to bear."
Jumatatu ya tarehe 29 june mungu akipenda naweza kuwa hewani katika leotena najua mmenimiss na mnaimiss leo tena kama ninavyowa miss mimi tuombeane heri na uzima
Source: Dina Marios
LOVE is a flower, and YOU,its only seed
Mjukuu Mtiifu, 2012.
Jamani kachukua likizo fupi si mnajua tena akina mama.
Sawa nakubaliana na wewe kuwa ukiajili watu wengi huwezi kuwalipa ila inategemea na objective ya company yako kama ni kuwado... halafu unawapiga chini automaticaly utarun bankra soon.
Lakini Hata Gea ndo aondoke kisa Dina hayupo mbona hakuna correlation? nisaidie hapo tu hata kama ni ukata basi huu ni Tanzania economic crisis
Follow Us Here