Sasa hapa kidogo Najivunia nchi yangu; Sio lazima kufanya kazi serikalini au mtoto wa mkubwa au Mashamba makubwa
Mwanamuziki ukiwa na Akili ina lipa; Sasa angalia Diamond kajifunza kiingereza; Anajifunza kuogelea kwenye Hoteli nzuri
What a success... LOVE TANZANIA...
mbona Shetta huyo!
Daaa kumbe dogo hajui kupiga mbizi
Hicho alichokivaa ndio nini?
Walikuwa wamfunze pia kuwa nguo za ndani zinaendelea kubaki ndani na hazipaswi kuonekana nje, hata kama ni ndani ya hodhi la kuogelea..........
Ana safari ya Zanzibar nini?
hivi mbagala hakuna bahari??? halafu si nasikia kuna swimming pool pale siku hizi??
!!..BAR ikiwa na wahudumu wa KIUME TUPU sikai dakika nyingi..!!
Superb
"Our Lives begin to End the Day We Become Silent About Things that Matter"-Dr Martin Luther King Jr.
shetta au shettani
pikipiki haina R
Damn!!!!!what a body!!!!I'm so in luv with those six pacs!!! So kama kina Muuza Sura kushindia viepe
Hotel gani hii?
Who Jah bless, No one Curse!
Kuoga hajui, je ataweza kuogelea?...
Follow Us Here