Nauliza tu wakuu kwa maana nimeona leo kwenye gazeti flani kwamba aliugua ghafla na akalazwa.
Nauliza tu wakuu kwa maana nimeona leo kwenye gazeti flani kwamba aliugua ghafla na akalazwa.
anaendelea vizuri,anasema baada ya kuumwa sana kifua ikabidi apime ngoma maana alikuwa na wasiwasi nayo,lakin ajataja majibu,ila anaendelea vizuri baada ya kupata matibabu ya kifua yaliyotokana na kufanya kaz sana bila kumpumzika,hivo usijali mkuu
Kikwete ajaenda kumpa pole??
mimi sichezi karata
Naogopa kuolewa
Na nkiramba Garasa
Watu watanizomea...X2
Follow Us Here