Hivi ni nani ni miss tz 2012?
Hivi ni nani ni miss tz 2012?
Nimepotea njia!
Aisee!
Acha ujinga wewe! Sisi tulio nje hatujui mambo yanayoendelea nchini!
Haaaaaa kuku mgeni hakosi kamba mguuni,ni kweli upo nje ya nchi lol
Lisa jehnsen
Ndio mie nikusaidie nn mwenthangu?
huyo hapo
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
kwani mashindano tayari.....?
Swala lipo mahakamani. Marufuku kulijadili humu.
Anayeruhusiwa kulijadili ni JK tu.
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
mashindano bado mkuu!
Lisa Jensen ndiye kaenda kuwakilisha nchi miss world, ila mashindano yenyewe bado.
Follow Us Here