wadau mambo vipi! naomba kufahamu web au blogs nazoweza kudownload miziki ya kibongo! pia muvi kali za action za kizungu!
wadau mambo vipi! naomba kufahamu web au blogs nazoweza kudownload miziki ya kibongo! pia muvi kali za action za kizungu!
Vuclip, skull.com, waptrick
hulkshare.com kwa nyimbo za Bongo.
tubidy.com
asanteni sana wandugu ngoja nijaribu hizi!
Pitia hapa pia japo umeulizia sites NOLNIZ
89.com
GongaMx.com
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Follow Us Here