Duh First Lady mtarajiwa, kaazi kweli kweli!!!
Duh First Lady mtarajiwa, kaazi kweli kweli!!!
Zitto ni Msaliti enyi wadanganyika kuweni makini nae Tunaomfahamu kwa karibu huyu jamaa ni wa kuogopa kama ukoma
Alipendeza sana huyo binti hiyo siku,alikuwa amepania kwenda "kumwibia mtu"lol!However huu ni udaku wa Sani,sidhani kama una nafasi jukwa hili.
"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato
Jamni hivi inakuja kweli?hebu toeni maoni yenu
Zitto Kwaheri, Masumbuko Lamwai kwa wanaomkumbuka
Siasa maji taka na uchafu at work
Siasa chafu zinatumika kiumchafua Mh Zito ,wanaomchafua hawako mbali ni wanachadema wenzake wakiongozwa na mbaya wake mkubwa ndani ya chadema lengo kufifisha nyota ya Mh Zito na kumtoa kwenye njia ya kugombea uraisi kiukweli si vizuri ata kidogo Mh Zito usilifumbie macho suala hili litolee maelezo na uwataje hadharani watiu wanaokuchafua najua unawajua kuna kipindi ulipokuwa Inda kwenye matibabu ulishawahi kushutumu jinsi wabaya wako wanavyotumia gazeti la Tanzania Daima na Mwana Halisi kilkuichafua leo wamekuja na shtaili nyingine bado wanaendelelea kukuchafua ili kukudhohofisha kisiasa sisi wananchi tunajua kwa kuwa tunafuatilia habari zako lkila kukicha imefika atiua wanawatumia vijana njaa ndani ya chadema kuingia mitandaoni kukusema vibaya kwa jamii tafagdhari Mh Zito usifanye mzaha katika hili chukua hatua madhubuti ili kulinda heshima yako kwa sasa wanakushambulia sana eti kwa kuwa umesema una nia ya kugombea uraisi kwa kuwa wrwe si mchaga wala mkristo wamepania kwa dhati kabisa kukwamisha ndoto zako tena uwe makini wanaweza kukuua kama walivyofanya kwa Chacha Wangwe! Kuna vijana wako humu mitandaoni wala si wengi ni wachache sana ila wamejisajili kwa IDs tofauti tofauti wanapewa Posho kwa ajili ya kukuchafua kweli kweli kuwa makini katika hili na chukua hatua madhubuti!
Jamani hizi picha si za kuunganishwa kweli. Mbona kila picha mtu kakunja mikono.
Chakubanga
come easy go easy.....
"A man's or woman's best or worst choice in life is his or her spouse"
Pamoja na matatizo yote ya zitto hii habari sitaki kuiamini kabisa.
grt thinker da! tunaelekea kwenye blog
Hakuna nafasi kwa Mwislam kuwa rais 2015.
"we are addicted to our thought, we can not change anything if we can not changing our thinking" santosh kalwar
Follow Us Here