2011 successful womens in tz ni pamoja na, 1.mwamvita makamba 2.shyrose banji 3.asha baraka na 4.khadija mwanamboka.
2011 successful womens in tz ni pamoja na, 1.mwamvita makamba 2.shyrose banji 3.asha baraka na 4.khadija mwanamboka.
Ushaanza kuwashwa!...badala ya kusema wewe ndio unawajuwa hao na kupendekeza hapa unasadikisha watu uwalishe ujinga ambao umekukaa wewe kichwani.
Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.
Hii ni thread yenu endeleeni mpaka tujue nani anawashwawashwa
mada inasemaje hapa?
....ukubwa AKILI...NDEVU uchafu...
Mkishampata anaewashwa zaidi ndio mtuambie tuanze kuchangia.
Wanajamii changieni tu ipo sawa hiyo list achaneni na uncivilized people
Successful women kwa category Zipi? Acha kutuchosha
Hapa sijui kinacho endelea
successful based on what...naona kama majina mengine nayajirudia
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Follow Us Here