Ni nani, wa nchi gani, je ameshatoa single yoyote???
I REAL LIKE HER VOICE ..
Ni nani, wa nchi gani, je ameshatoa single yoyote???
I REAL LIKE HER VOICE ..
Yule dada ni wakuowa kabisa mana amejaaliwa sana
huyu binti hata mimi ananichanganya sema waweza kuta injini ishanoki mpaka basi!
Nilidhani sauti ni ya Maunda. Kitu ambacho sijapenda kwenye tangazo ni ukweli kuwa umaarufu unahusianishwa na uzungu. Dada ana mabutu yake, anaanza kuimba mara wigi hilo!
Yule modo anaitwa vero kamaliza jitegemee now yupo udsm anasoma masscom na alieimba ni maunda jamani co enika na mwenye nyimbo ni mzee king kick over.
Yuko vizuri
Yule demu wangu,nawacheki 2 mnavyompigia plan
Dada huyo yuko bomba rangi ya mgomba kimaukweli nimemkubali
Follow Us Here