Ha ha ha!
kiukweli Majuto namzimia sana.
This guy is a true comedian...
leo nimecheka mpaka yaani mbavu zinauma, nilikuwa sijaiona hii, majuto kweli kiboko, huyo jamaa angekuwa huko kwa wenzetu yani pesa angezikimbia haki ya mungu jamaa anachekesha sijaona.
Love is my Religion
king majuto, mwanachia na kistuli squad ilikuwa inatisha
Haaah toobaaaaaaaaaaaa aaaaah...
HATA UKINICHUKIA...LA MOYONI NTAKWAMBIA.
Huyo jamaa ni noma ndugu zanguni...
Akilia utacheka
Akicheka utacheka
Akitembea uacheka
Akiwa anachambana na mwanamke utacheka,
Akiongea kingereza kama cha kanumba utacheka,
Sura yake na meno yake yalivyokaa mbalimbali utacheka,
Akitongoza utacheka
Akifoka utacheka....
Kutoka moyoni Alshamshuudin Amri Athuman ni noma.
HATA UKINICHUKIA...LA MOYONI NTAKWAMBIA.
Halafu sasa yeye sio kama hao wababaishaji weengine wanaokwenda kufanya shooting kwenye mahoteli na kwenye majumba yenye hadhi...
Mzee majuto anaweza akamaliza shughuli zake zote chini ya mti na akawaacha mmeshika matumbo kwa vicheko.
HATA UKINICHUKIA...LA MOYONI NTAKWAMBIA.
Huyo jamaa mwengine kafanana na Mpoki vile au ndugu yake?
hahaha inachekesha sana
No one is in charge of your happiness except you...
God time is the best..
jamaa wala hatumii misuli na kujikakamua kuchekesha.
nlicheka sana last week alipokuwa akihojiwa na bonge wa clouds fm akiwa tanta...
jamaa alidomonate interview kiasi kwamba bonge ndio akageuzwa mwalikwa na kupigwa maswali ya ukweli mno.
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE
Hi kali jamani nacheka sana mpaka mbavu zinaniuma tehteheteh
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
dah anaangalia mazingira, hajakosea yuko right haaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaa
Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
ahaaaaaaaaaaaaaaa
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Mzee majuto ni wa kitambo sana bila shaka sasa hivi ametajirika na usanii.
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
Follow Us Here