Ogopa mtu anachekesha watu kwenye kipindi cha radio, enzi hizo. Anaongea tu na wewe humuoni lakini unavunjika mbavu.............He rocks, the dude!
"Smile though your heart is aching"...Me says
Kuna picha nyingine inayotwa nakwenda mjini yaan ni balaa!
kuna kipindi alikuwa anausifia sana Mgahawa wa Aljawaz...
Akidai kuwa pale unaweza pata Mahalat na Mahanjumati.
Dah basi alivyokuwa anayasifu madikodiko ya Aljawaz utasema hata Muheshimiwa Mzee Mwanakijiji huenda kupata mlo wake wa jioni pale.
Majuto ni Noma.
patamu pakafika.
Majuto akaanza kuisifia bendi ya Njenje...
La la la la laaaa unataka utacheka hutaki utatabasamu.
hitimisho ilikuwa ni palee alipokuwa akipapaisha Mikadi beach...
Teh teh watu walikuwa wanatoka Bunju, Boko, Pugu, ukonga, Maji matitu, Kibamba, Kiluvya kwenda kupigwa na upepo ambao King Majuto alikuwa anausifia ile mbaaya
mzee Majuto ni legend yaani yeye ni sawa ni Bill Cosby wa USA. Mzee Majuto anatisha
huyu babu ni noma bwana, kama wewe humpendi hulazimishwi minoitie katika jamii yoyote hawakosekani
A life lived in love will never be dull
Wenye maduka ya filamu za bongo wanasema mikanda ya Mzee Majuto ndio inaongoza kwa kuuzwa ktk maduka yao!uzuri huyu hukubali kwenda na wakati
Huyu Mzee mwisho mwanzo,akiwa na Kingwendu na Mtanga raha kumoyo,hao akina marehemu na wengineo wote ni vituko tu
MFUNGWA HACHAGUI GEREZA
Mzee Majuto, Bambo, kingwendu na Mtanga ni vichwa vya ukweli
mzeeee Majuto anatisha hana mpinzan bongo afu hatumii nguvu nyingi...
A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
[email protected]
Huyu ndiye mchekeshaji mwenye kipaji na sio wale wa clouds tv wanajiita vuvuzela hawana kipaji cha uchekeshaji wanalazimisha alafu hata haichekeshi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
thats tru mze majutto ndie legendary wa ukweli na inapaswa mtu kama yeye serikali yetu imuenzi kama mojawapo ya watu muhimu yasije kumtokea kama yale ya bibi kidude ambaye sasa anaumwa bila mtu yyote kwenda kumjulia hali na kumfaliji
Kwa mara ya kwanza nilichekeshwa na King Majuto mwaka1980 Korogwe kwenye shule ya Msing Kilole!!
UKIDHANI WEWE SI MWENDAWAZIMU PIMA KWANZA UHUSIANO WAKO NA MACHIZI!!
Big up sana King Majuto, Ni comedian anayekwenda na Alana za nyakati. Anamknga nyoyo za watanzania wote wazee Kwa vijana, Congrat's.
Follow Us Here