Joti ana miaka 50 mbeye ya kumfikia huyo jamaa,sura yake tu..mmh unachekaje?!
Daa Mmenikumbusha Marehem Max jamaa alikuwa next king after Majuto. Majuto yupo juu ila mrithi wake ni Joti.
Ki- King Majuto To- tone la maji Ji- Jitu la kale le-..... Huyu babu hachuji mpaka tukiwa watoto tulikuwa tunamwimba na mpka sasa binafs schoki kumtizama na vimbwanga vyake!
King Majuto ni zaidi ya mchekeshaji.
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
japo kwa mstari mmoja tu.. .sio vibaya ukamsifia hapa huyu babu...au chochote kinachokupendeza kuhusu yeye!
BINASI: Namuona kama bonge la comedian...akicheka tu na mm nimecheka!
Mr. Bean wa Tz.
Sipendi comedy zake, I dont find them funny.
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Majuto anaweza kuchekesha isipokuwa analazimisha kuchekesha.
Alianza kazi hii siku nyingi. Alikuwa akifanyia maigizo yake (kwa kiingilio) mitaani, ktk shule za msingi, na ktk majukwaa wakati wa sikukuu km sabasaba, mjini Tanga.
Ni mtunzi wa, takriban, michezo yote anayoshiriki.
Ni hodari wa kubuni kichekecho papo kwa papo.
Mightier than the sword
MadameX umedhihirisha jinsi mungu alivyotuumba tofauti, sio kimaumbo na jinsia tu bali hata vionjo ni tofauti mno! ndio maana binadamu wote hatukosi wenza!
Have patience with all things, but chiefly have patience with yourself.- Saint Francis de Sales
Hakuna comedian kwa tz anaemfikia huyu mzee'
Follow Us Here