Kati ya hawa wachekeshaji wa2 machachari wa hapa bongo, we unaona ni nani mkali zaidi ya mwenzie?
Kijyotojotiii
Blessed are hearts that bend but shall never broken
ushasema mwenyewe King Majuto, huyo babu balaa
ndo maana king, majuto ni noma
"Ni UPENDO tu"
king majuto noumah of all tymz uwa haexpire
acha kufananisha alcers na njaa au panya na punda milia king is king of life tym majutoo
Acha kufananisha mlima na kichuguu wewe.
Hivi wewe unaweza kumlinganisha king na joti? kweli king majuto hana mfano.
huwezi linganisha mlima kilimanjaro na kilimanyege wa pale oysterbay. king majuto yupo juu sana. yupo juu kama povu la bia.
King majuto ni mkali
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
joti yupo juu
“Talk slowly but think quickly”
King majuto
...king Majuto.
Mzee majuto anachekesha sana bana.
King mkare
Joti ni kichuguu, majuto ni mlima kilimanjaro!
Miili ya waliokufa katika ajali ya Meli ya Spice Islander ipimwe DNA ili kutambua Ndugu zao - Dk. Jakaya .M. Kikwete,, September 2011.
Ni sawa na kumchukua Charlie Chaplin au Rowan Atkinson (Mr. Bean) na kumfananisha na Matthew Richard "Matt" Lucas wa kwenye tamthilia za Little Britain na ile ya Come Fly with Me.
“I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”
'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.
(¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)
mh.loading.....
Majuto nouma wakuu..nadhani kuwafananisha Majuto na Joti unakuwa umtendei haki Majuto..Joti si saizi yake kabisa.
"Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
"Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"
Jotie juu zaidi
Follow Us Here