Hongera Dogo,
Picha juu ni Taswira mbalimbali za mwanamuziki machachari nchini Diamond Platinumz akiwa mbele ya gari yake mpya aina ya Land Cruiser Prado VX.
source: hakingowi blog
Hongera Dogo,
Picha juu ni Taswira mbalimbali za mwanamuziki machachari nchini Diamond Platinumz akiwa mbele ya gari yake mpya aina ya Land Cruiser Prado VX.
source: hakingowi blog
Hongera zake ila bado kwangu naona ni kawaida sana, akijenga mjengo ndo ntaona kafanya la maana.
Liwalo na liwe
Hongela, ila kumbuka kujenga nyumba kwanza, alafu wasanii wa bongo awajifunzi mnanunua magali atapa kupaki auna jenga nyumba kwanza ndio uonyeshe gali likiwa kwenye parking ya mjengo wako, gli sio dili kwani nyumba ndio aset ya kudum gali ni machuma tu ayo likipata ajali kwisha kazi,
awe na health insurance sio akianza kuumwa hapa kina joti waanze kusumbua watu kuchangisha pesa
Pumbavu............be unique bana unakimbilia gari za wanasiasa.........haya mastaa ya bongo yanakera kila siku magari yaleyale tuuu toyota...........fuc..fuc mimi sifagilii. Sasa tutatofautisheje gari la mnyika na gari la diamond. Aisee acheni ushamba... Nunua kigari chako muundo wa kipekee mpaka kiwe gumzo mjini hapa sas prado jina zeeeeeeeeeeeeeeeeee..........m agari ya cccm hayo kaka
Diamond ana myumba 2 na ya tatu iko hatua za mwisho kukamilisha ni mwanamziki mwenye mafanikia nadhani kuliko wote na pia ana despline sana ya matumizi mbali na gari hiyo pia anamiliki range rover
All good things in the World are not things
Show off, pakulala kukodi.............upuuuzi.
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Saaafi Dogo, from Opa to PRado and 2 houses.. Dogo is full controlled,ana nidhamu sana ataishi vizuri
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hongera zake bana
hebu msilete habari za kijiweni. Hizo nyumba leteni picha zake kama mlivyoleta hiyo picha ya STK yake!
Yangu iko chumvini, wewe endelea kusifia Wanaume wenzako kwa kitu ambacho una uwezo wa kukifanya. Ndoa za jinsia moja zikiruhusiwa zitaathiri wengi.
2004 Toyota Sequoia SR5
CLEAN CARFAX * THIRD ROW SEATING * REAR A/C * TOWING *
Item Location: Dallas, Texas., United States Time left: 5d 04h (Jun 25, 201209:08:59 PDT) Price: US $8,950.00 Buy It NowBuy It Now Best Offer: Make OfferMake Offer Add to Watch list
Get low monthly payments
Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.
Na wengne tusio wanamuzk pia tuna magari yetu, cjui tunaruhusiwa kuya expose.
tunaomba picha ya nyumba zake....
Hongera sana diamond. Tumia vzuri ela.
Follow Us Here