mmoja wa fans wake amwambia dogo......
mmoja wa fans wake amwambia dogo......
...kuwa na baba maskini ni mipango ya Mungu ila kuwa na baba mkwe maskini ni ujinga wako mwenyewe.....
Wabongo mna midomo sana, so hate,umasikini unatusumbua.. imagine mtu yupo Vacation/leave its about rest n spending sijui mnataka afanyaje..dude is doin well with Blazers nowdays...midomo waachieni wanawake fanyeni maisha na career zenu.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Nizar Halfan alikuwa anacheza ligi ya kulipwa Marekani lakini sasa hivi amesajiliwa na Yanga, Mrisho Ngasa pia ilibidi awe anacheza hiyo ligi ya Marekani ila mpaka leo anaangaika na viwanja vya Chamanzi, na badly ile nafasi yake kule USA ameichukuwa mkongo, na hata huyu Hasheem naye si muda mrefu mtasikia anachezea Pazi au Vijana. its matter of time.
Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.
huyu jamaa vipi si alishampeleka jokate kwake usa...kwani walikwisha bwagana?
Ivi huyu jamaa anajichubua......mbona vidole vya miguuni vyeusi........
Anaboa
Ana asili ya wapi huyu?
Maana ni dhahiri si mtu wa mwambao huyu
Follow Us Here