Sijaelewa.
Alitutangazia humu humu kuwa ameachana na Shree but kila aendapo mbona yupo ???
nami anishangaza...labda wamerudiana
Zabibu haimenywi...
chezea mpunga weye
Ni nani huyo jaffarai jaman?
chezea pesa za ubunge nn? Nani anapenda kuishi maisha ya kimaskini? Not jaffarai ofcoz
Sugu vipi nae kamtema shy?mdee nikija club utanikubali tucheze pamoja blues?
Kwani tatizo likuwapi, watu wakiachana haimaanishi wamegombana, watu wamekuwa pamoja kwa muda mrefu kwa hiyo kuna mengi wamefanya pamoja kwa hiyo waacheni watu wana mipango sio kla mkiwaona mnawaza mapenzi tu.
Tukiwa wenye kushughulikia yanayotuhusu zaidi itatusaidia kujikwamua kiuchumi mapema sana, lkn km tutazidi kuendekeza maisha yetu ya kufatilia kila lisilo na mashiko kwny maisha haya ya mchakamchaka tutaishia kuwa wauza kahawa na wambea tusioeleweka mwanzo wetu wala mwisho wetu! Ni mawazo yangu tu!
REALITY IS THE ONLY SOLUTION TO ALL THE PUZZLES!
Sasa akimuacha atakula nini, wakati albamu zake haziuzi?
ingawa tumeachana yaliyobaki mazoea
ASIYEUMBA HAUMBUI
Baada ya kulialia redioni na vyombo vya habari mzigo wake unaliwa na Sugu, hadi kuishia kumwita Shyrose "kicheche" dume zima bado linajigonga kwa demu. Si ajabu Jaydee na Gadner hapo wanajaribu kusuluhisha mambo, maana njemba njaa kali tuu na usanii wake wa bongofleva kwani ukweli ni kwamba alikuwa analelewa na Shyrose.
Follow Us Here