Napenda kutoa pongezi kwa dada yetu, rafiki yetu Captain Hilda kwa kujifungua mtoto mzuri kabisa wa kiume leo huko USA. Mama na mtoto wote wako salama na tunawaombea afya tele na furaha.
Naomba kuwasilisha
Napenda kutoa pongezi kwa dada yetu, rafiki yetu Captain Hilda kwa kujifungua mtoto mzuri kabisa wa kiume leo huko USA. Mama na mtoto wote wako salama na tunawaombea afya tele na furaha.
Naomba kuwasilisha
Jamii forums
Ni celebrity?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
nimekaona katoto u-turn blog ni kazuri
BTW, Who is she?
Kama kuoga ni usafi kwanini taulo linachafuka?
Mmh kazi ipo...hii sasa itakuwa kama Bango la ile Televisheni yetu
welcome to the world baby AICHI! Congrats captain Hilda! may the ALMIGHTY AKUPE NGUVU HARAKA, NA MTOTO AKUKUZIE! AMEN!
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
Mmh huu uselebriti wa bongo ni kama taji la miba
....Aliishapata u-Captain? Last time I checked, she was still a First Officer??
Sema Kwa Sauti, Mimi Ni Mweusi Na Najivunia Kuwa Hivyo!
Ndo nani?
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Simfahamu huyu Captain Hilda ni nani?
Kila shetani na mbuyu wake, wanaume ndo nachowapendea, hata kama angekuwa ndiye aliyevumbua ndege lazima angefumuliwa na kupata kibendi. Hongera zake mdada ila pongezi nyingi kwa huyo kidume! Saaaaafi!
Hongera hilda
"Captain" wa hizi bogus airlines za Kinaigeria zinazopata ajali kila mara na kuanguka na kuua passengers na crew wote? Halafu huyu mdada hakumtendea haki fiance wake wa Kihaya ambaye mwaka jana alim-dump kupitia statements kwenye blog ya yule malaya wa Dubai. Ni noma sana jinsi alivyomdhalilisha jamaa kwa kuvunja uchumba in public utadhani yeye ni mtu mmoja muhimu sana kwenye jamii au superstar fulani.
Hivi ni kwa nini hawa aviators wa Kitanzania wanakimbia job market ya nyumbani, wakati wageni wame-dominate kwenye sekta ya aviation Bongo? Jee, wanaonewa na kupewa inferior compensation in their own country ukilinganisha na Wazungu na wageni wengineo? Or what exactly is the problem?
Last edited by Ndjabu Da Dude; 20th June 2012 at 02:31.
Follow Us Here