diamondi amwambia bob kwamba anafaa kuwa mcheza shoo wake, bob amwambia diamondi anafaa kwa udalali sio mziki.! Habari zaidi Shafii dauda blog.
diamondi amwambia bob kwamba anafaa kuwa mcheza shoo wake, bob amwambia diamondi anafaa kwa udalali sio mziki.! Habari zaidi Shafii dauda blog.
Wote hamnazo tu wanashindana kupaka powder!
Diamond aache kiburi cha hela, mbona kuna matajiri kibao Bongo hawana tabia za kujishaushau hovyo, ni utoto au ndio maskini akipata...!
Dogo diamondi ndiyo anaaga gemu ya bongo flv
lakini ni kweli Bob Junior anafaa kuwa mcheza shoo wa Diamond, maana anakatika na zile skin jeans zake za kike!
Mtu wa kwanza mjinga ni blogger,,,,hamna la maana pale
Diamond wa kweli,ajiskii wala hana dharau.....ila uyo Bob Junior ana mambo ya kike sana,na ndio maana ana tumia nguvu nyingi sana kung'aa lakini hashain..
Diamond is right.
Mimi naona blog iko vyema unafiki itaandika baya endapo upo ubaya jema km kunajema diamond hatakiwi kufokiria malumbano hata km tu dalili hizo zipo
diamond lazima atapotea kwenye game!
Acheni umbea!Sh**zi!
kijana ni mkaliiiiiiiiiiii i mean daidomo
ASIYEUMBA HAUMBUI
Shule muhimu sana kwa wasanii wetu
Follow Us Here