mnaojua alifanya procedure gani akapungua? inaitwaje?? wapi inapatikana hapa nchini??? shilingi ngapi hapa nchini??? na nje wapi inapatikana??? price ina range shilingi ngapi??? nataka nifanye wadau....msaada kny tutazzz,......
mnaojua alifanya procedure gani akapungua? inaitwaje?? wapi inapatikana hapa nchini??? shilingi ngapi hapa nchini??? na nje wapi inapatikana??? price ina range shilingi ngapi??? nataka nifanye wadau....msaada kny tutazzz,......
Subiri aje Hassanali mwenyewe, atakujibu
Alifanyia south africa,waulize watu wake wa karibu kina Nancy,shamim,mke wa mengi(jaqline) watakueleza!
Dah!Unapenda uwe fake asilimia ngapi?
I thought he is diabetic or something else? was it just a diet? If yes, no wonder diet is a "die" with a "t".
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
mmmmmmmm.
"It is better to be hated for what you are then to be loved for what you are not."
jamani msaaada,hakuna anayejua...mustafa kama upo hapa ni PM basi,lol
Sasa ww kwa nini unataka ya Mustafa?
Acha majungu, google hapo how to loose weight. Hapa nchini tunahangaika kuzuia vipindupindu na kutibu malaria, vitambi sio priority!
"Gastric bypass.. "Google it for more info.
P.s - si uhakika kama ndio kafanya hasanali .. ila hii procedure hata ukiwa mnene vipi utakonda.. ila inakuja .. consequences ikiwa pamoja na sheria nyingi kwenye maswala ya lishe.. inshort ni mateso..
Be thankful for whatever shape god has given you
kuna mtu wake hapa kaniambia eti japo kapungua lakin ana nyama inaninginia due to shrinking uwa anaibana na kuifunga kwenye kiuno. So kuna effects zake pia
mh hapa mie mpita njia tu
umeshamuona kwa sasa lakini? ana tairi kiunoni linaninginia la nyama shauri yako...
ninvyojua mimi alifanya plastic surgery south africa ila kiafya sio nzuri sana na inaweza kusababishia kifo, vuta kumbukumbu yako mke wa raisi mmoja west africa aliifanya hiyo plastic surgery pande za europe akafariki akiwa surgery theatre room but story ilifichwa wakasema ni pressure imemua. nakushauri kama una pesa yako ya kutosha kuna doctor mmoja anapatikana pande za uk hutumii dawa wala hufanyi surgery unapewa ball watu wengi wameitumia sana na wamekuwa slim ila wengi wanashindwa kwa sababu ya gharama maana lazima awe anakucheki kila mwezi na uangalizi huu ni wa miezi 12 so kama unahitaji na kuuliza maswali yako yooote unayoyataka use this email [email protected] k kazi kwako mkuu andaa mpunga wako tu.
Nadhani alifanya surgery, sidhani kama ni diet na exercise....Surgery huwa ni chaguo la mwisho ambalo pia lina complications na ni permanent pia ni gharama
Surgery hujumuisha upunguzaji wa tumbo - hii hufanya kiasi kidogo cha chakula kupita kwa wakati na kufanya mtu kuhisi kushiba haraka.
Njia nyingine ambayo si ya upasuaji huitwa 'gastric baloon'- hii inahitaji commitment ya hali ya juu ya ulaji na pia inaleta side effects kadha. Njia hii hufanyizwa sana Uingereza. Mgonjwa humeza ki'baloon' ambacho humfanya mgonjwa ajihisi ameshiba na hivyo kula kidogo na mara chache.Pia humfanya mgonjwa kuwa na tabia tofauti ya ulaji.
Njia hizi huhitaji maandalizi ya kisaokolojia na support ya wauguzi.
Njia hizi ni last resort, unashauriwa kujaribu njia asili za vyakula na mazoezi kabla ya kufikiri njia hizi.
Follow Us Here