Atoa siku 7 asema waliohusika kuumbuka vibaya.
Ufufuo manyau nyau.
Atoa siku 7 asema waliohusika kuumbuka vibaya.
Ufufuo manyau nyau.
kwa nini kila kitu cha dogo ni 7,
baba naye alisema ataongea baada ya siku 7,
kufa saa 7,
mmmmmh, ngoja tuone, kwani ni nani asiyependa
hata mfu wake afufuke. na kama ni mbwembwe za manyaunyau inabidi ale kichapo cha mbwa mwizi.
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
hahaha, ikitimia siku ya 7 mtasikia anaibuka na visingizio manyau nyau anatafuta umashuhuri tu
manyaunyau anatisha. pale mwananyamala alifukuza mchawi mchana kutoka pale kwa bi zakalia ndani kwa ndani hadi kwa mtogole watu kibao wanamfuata akanyosha hadi manzese huku ameshikilia paka mdomoni na vijana wake wakipiga ngoma, akanyonya hadi mabibo ndani kwa ndani hiyo mi nikaunga tela, tukaibukia external tukapita makuburi tukatelemka tukapanda tukaibukia kimanga, akadaka paka mwingine kanyonya damu, tukaenda hadi tabata visiwani hadi tabata bima hiyo ishafika saa 12 jioni....
Huwa nawashangaa sana watu wanaoamini mambo haya! Wajinga ndo waliwao
Once more into the fray
Into the last good fight I’ll ever know
Live or die on this day
Live or die on this day
"We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"
huyo manyaunyau kama ni hodari amfufue Nyerere kwanza aje aone nchi ilivyoharibika
"We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"
SAFARI HII ATAPIGWA ngoja tuone
Huyu jamaa anajitaftia umaarufu kwakupitia kifo cha kanumba
Biashara matangazo>>>>>
Anatafuta umaarufu huyo.
mh, makubwa madogo yana nafuu!
Dr Manyau Nyau unatafuta umaarufu tu huna lolote!!
Kama unaweza we mtoe tu sio mpaka upige makelele meeengii halafu action hakuna.
Follow Us Here