Atoa siku 7 asema waliohusika kuumbuka vibaya.
Ufufuo manyau nyau.
Atoa siku 7 asema waliohusika kuumbuka vibaya.
Ufufuo manyau nyau.
Kanumba, rest in peace ''Ong'wise'', watu wanataka kutengeneza jina kwa mgongo wako...
Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.
mimi nia yangu ilikua kuona jinsi anavyo kamata misukule. isitoshe nilikuwa sijawahi ona msukule so nilitaka nishuhudie mwenyewe. Nilipofika pale bima kuna bar fulani inaitwa chem chem, ikanibidi nipumzike nianze plan za kuchukua daladala. so mimi niliishia hapo but waliendelea hadi maeneo ya segerea. watu walikua kama buku nne. plani ilikua kumfufua na amina pia.
Enyi Wagalatia ni nani aliyewaloga? Anataka watu wamwamini? Apeleke upuuzi mbali huko,kwanini asionyeshe anachoweza kabla hata kupelekwa Muhimbili au tuseme kifo kilikuwa siri. Wakati mtu amekufa hakuwepo hapa nchini? Tanzania huo ndiyo msiba wa kwanza kutokea mbona anataka kuleta mambo ya kusadikika,huyu mapusi sasa watu watamfanyia kazi.
Sasa mkuu hukuchukua hata picha tuone Nyau wa mtaani wanavyopungua statistically. na hilo kundi lote lilikuwa linauga tu, na shugukli walizoacha nazo ni vipi? Maana wabongo ni kama hatujambo kwa hilo. sawasawa na mdundiko ukipita, kila mtoto huyooo.
ONYO: If you like your cat, don't let him near daktari 'catcat'
ha ha ha ha.............Dubu uzalendo umenishinda, kwa mara ya kwanza najitumbukiza JF.....umenichekesha mpaka basi......so fuuuuunnnnyyy................. .
heheheeaaaa.. hii nooma..
you lose some, you win some
kwenye CV yake aliwahi kumfufua nani?
Siku hazigandi!
Manyau nyau si ahamie Chadema
Hata Sokoine alipofariki 1984 tulisikia mengi. Wakadai kageuzwa msukule. Mganga mmoja akadai ana uwezo wa kumrudisha lakini eti aliomba ruhusa kwa Nyerere akakataliwa! Tukasikia uvumi kuwa Sokoine kaonekana Kariakoo wakati alishazikwa Monduli-Juu! Uvumi tu. Na huyu Manyaunyau ni walewale. Lakini ana ujasiri wa ajabu sana, hebu fikiria anavyomkata paka shingo na kunyonya damu yake! Hiyo tu inatosha kuwabadili watu akili maana wanaamini haiwezekani mtu anywe damu ya paka bure tu! Loh, tunayo kazi!
yeye anawafahamu. yaani akishaanza kazi anapandisha mzuka anakua kama nyama ndo maana anakunywa damu ya paka ili mashetani yapande. kwahiyo akimuona mchawi anamtambua na kutokana nguvu kuzidiana mchawi anakua mpole na kuomba msamaha asidhuliwe. so chuma ulete alikua anasema huyu ni chuma ulete mara wanaanza kukimbizana hadi anamkamata na anasalimisha zana zake kwa manyaunyau. ukibisha anakupaka dawa, kama ni kweli utawashwa hadi uvue nguo
Huyu kanyumba alikuwa maarufu enh!naona habari zake nyingi humu kwani ndo yule wa tangazo la haki elimu?kafa lini kwani huyu?
hizo ni mbwembwe tu kajifia zake basi kama ni kumrudisha asisubiri siku saba
Hiyo, noma. Sijawahi ku comment, ila imebidi leo. Nimekaa na watu hapa hadi wamenishangaa nlivocheka. Kweli ulikua committed!
Follow Us Here