MAAJABU! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, kaburi la aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’ limeanza kuweka nyufa na kutitia ikiwa ni siku 5 tu tangu alipozikwa.
MAAJABU! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, kaburi la aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’ limeanza kuweka nyufa na kutitia ikiwa ni siku 5 tu tangu alipozikwa.
ni ufundi ndogo tu hapo hakuna kitu, hata wakikuta mavi ya mbwa watasema mengine
"Mtoto wa Maskini Hachagui Malezi, Tanganyika siyo Masikini Masikini ni wewe Unayehonga Haki yako Kwa Mafisadi" Bamugileki
that should have been a common and normal engineering problem ..... the crowd at the grave yard looks to be excessive in a small area that caused downward forces and hence un even-settlement at the grave yard structures of Steven Kanumba ... either it was supposed to be made in a form of precast concrete instead of green concrete .... that is the tomb stone of the grave yard
Hebu leteni habari za maana jamani
likiota majani usisahau kuandika kwa blog yako
No!!! anachosema hapa kipo so realy lile kaburi lilijengwa kwa cement na kumwagwa zege na nondo, haikuwa sawa kwa lenyewe kuanza kutitia leo hii 5 days after. watu walichanga sana kumzika star wao kiheshima, hata kama kuna watu wengine hawakumfaham hadi anafariki, ni kule kukosa kwao uzalendo kwa Entertainment industry za Home. HAPO IULIZWE KAMATI TENA BWANA LUGE NA BWANA MTITU NA SHIGONGO Walikuwa ndani na wote CV zao c nzuri sana.
Ngoja nikimbie fasta, nikiongeza neno 2 ntakula ban hapa.
Adhabu zilizidi kaburini so anajaribu kulivunja!
Hamna cha kuandika ama?
Mkuu usiseme haiwezekani! Hii obviously itakuwa ni technical problems. Km umewahi kuona ghorofa likijengwa,formwork kwa ajili ya suspended slab zinashikiliwa na mirunda(props). Kwa kaburi km lile hakuna uwezekano wa kuweka mirunda,hivyo yatakiwa kuwepo na members imara,holizontally ili kubeba uzito wa nondo na zege! Hapo ndo kosa lilipo! Kudidimia huko wenda kumesababishwa na udhaifu wa formwork. Lakini pia 1.5m iliyotajwa na baadhi ya media kuwa imetumika kujenga hilo kaburi yaweza kuwa kidogo kwa kufanya kitu imara na cha uhakika!
Maajabu mengine yatatokea, baada ya siku kumi utakuta mashada ya maua yamekauka alafu muweke kwenye blog zenu.
Lazima mjue expansion force
kuna expansion
We unadhani ni kwanini??
nawezekana wasanii wenzake walichakachua hadi pesa ya kujengea kaburi... FULL USANII
.....Ana sifa zote, nzuri na mbaya!!!
Upuuzi mwingine bwana. Tell it to the birds sir.
hakuna cha ajabu hapo au wewe hujawahi kutembelea makaburi?
ngoja nipite mie nishatosheka.
Follow Us Here