JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mpoki...

  Report Post
  Page 8 of 9 FirstFirst ... 6789 LastLast
  Results 141 to 160 of 165
  1. BAGAH's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th January 2012
   Posts : 4,510
   Rep Power : 119251
   Likes Received
   1016
   Likes Given
   1476

   Default Mpoki...

   ...huyu jamaa anakipaji cha kuchekesha...hatumii nguvu nyingi...ana maneno yasiyokwisha...."bata hata awe mchafu vip, atataga yai jeupeee"
   moja ya maneno yake jana kwenye KILI MUSIC AWARDS...

   tupia vimbwanga/vijimaneno vyake vingine....


  2. elmagnifico's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th July 2011
   Location : Brussels
   Posts : 2,941
   Rep Power : 2842
   Likes Received
   1054
   Likes Given
   136

   Default

   Quote By Muuza Sura View Post
   mbona jazba dogo?nna uhakika kama una demu asilimia mia hawezi kunikataa........maneno yako inaelekea umaskini na muonekano wa ajabu ndo unakusumbua!
   Hivi unaweza changia topic yoyote bila kusifia wanaume wenzako na kujisifia wewe kama ni mzuri? Yani nadhani sio mimi pekee ni hakika washangaza wengi.
   Topic inamhusu mpoki kuwa mchekeshaji, wewe ushaanza uzuri.
   Haya na uzuri wa sura haujalishi sana kinachojalisha ni pesa, famous na kula pamba thats all. Ndo maana unayemwita mnyama anatembea na akina dada mastar si kwamba ana sura inavutia, ni kwamba ni famous, anapiga pamba za ukweli na sa hivi ana ela. Haya nenda na demu wako kwake huyo unaye mwita mnyama na huo uzuri unaodai unao akimtaka demu atakutosa kama vile hakujui.

  3. David kivuyo's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 12th April 2012
   Posts : 2
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   1

   Default Re: Mpoki...

   Part ya commd ase op amaanishi anachokiongea.......

  4. Ally Kombo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th November 2010
   Location : Dar es salaam
   Posts : 10,448
   Rep Power : 2353
   Likes Received
   2075
   Likes Given
   518

   Default

   Quote By 124 ali View Post
   Nice promo!
   Mie namuona mtu wa mizodo tu ! Kuchekesha live sio mchezo, inatakiwa mpaka mtu unalia !

  5. Judi wa Kishua's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th April 2012
   Posts : 459
   Rep Power : 510
   Likes Received
   132
   Likes Given
   13

   Default Re: Mpoki...

   eh kumbe kuna midume inashindana uzuri umu ndani!!??

  6. Judi wa Kishua's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th April 2012
   Posts : 459
   Rep Power : 510
   Likes Received
   132
   Likes Given
   13

   Default

   Quote By Muuza Sura View Post
   mbona jazba dogo?nna uhakika kama una demu asilimia mia hawezi kunikataa........maneno yako inaelekea umaskini na muonekano wa ajabu ndo unakusumbua!
   kwani we mzuri kiasi gani mpaka unamsema ivyo mwenzio?


  7. Angel Msoffe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st June 2011
   Location : Tanzania
   Posts : 6,579
   Rep Power : 1985
   Likes Received
   1495
   Likes Given
   68

   Default

   Quote By ritz View Post
   Huwezi kuzuia mvua.
   jibu umelibeba

  8. Chilli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th July 2011
   Location : Nowhere
   Posts : 1,566
   Rep Power : 7739
   Likes Received
   653
   Likes Given
   225

   Default

   Quote By elmagnifico View Post
   Hivi unaweza changia topic yoyote bila kusifia wanaume wenzako na kujisifia wewe kama ni mzuri? Yani nadhani sio mimi pekee ni hakika washangaza wengi.
   Topic inamhusu mpoki kuwa mchekeshaji, wewe ushaanza uzuri.
   Haya na uzuri wa sura haujalishi sana kinachojalisha ni pesa, famous na kula pamba thats all. Ndo maana unayemwita mnyama anatembea na akina dada mastar si kwamba ana sura inavutia, ni kwamba ni famous, anapiga pamba za ukweli na sa hivi ana ela. Haya nenda na demu wako kwake huyo unaye mwita mnyama na huo uzuri unaodai unao akimtaka demu atakutosa kama vile hakujui.
   Huyu dogo wale waarabu si washamharibu!? Mzoee! Hana tofauti na yule mwenzie alotoboa pua.

  9. BlackBerry's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd March 2011
   Location : Down Town
   Posts : 1,844
   Rep Power : 879
   Likes Received
   931
   Likes Given
   707

   Default Re: Mpoki...

   Yule sista duu presenter,ni bomba sanaaaaa, kiuno sura mguu,mtoto kaumbika sana yule,japo mie msichana ila hilo nililiona, Mpoki ni kiboko aisee,nilicheka mpaka nilipaliwa,Eti mwimbo wa Diamond moyo wangu, eti mtu mzima unaimba moyo moyo si uende india ukatibiwe
   Simple Look But Tough in Wallet

  10. Rjohn's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th February 2012
   Location : Morogoro
   Posts : 541
   Rep Power : 570
   Likes Received
   57
   Likes Given
   0

   Default Re: Mpoki...

   anaweza yule bro kwa upande mwingi alifunika sana dat day

  11. Ruttashobolwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 26,743
   Rep Power : 160835366
   Likes Received
   10081
   Likes Given
   10154

   Default

   Quote By Judi wa Kishua View Post
   kwani we mzuri kiasi gani mpaka unamsema ivyo mwenzio?
   kumbe jamaa mzuriiiiiiiiiiiiiiiiii
   karibu dubai

  12. Ney wa Barca's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th February 2011
   Posts : 314
   Rep Power : 578
   Likes Received
   34
   Likes Given
   12

   Default Re: Mpoki...

   wasichana wa sinza mnaringa nini na wakati kwenu maji yanatoka kwa wiki mara moja

  13. GAM's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th January 2012
   Posts : 20
   Rep Power : 473
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Mpoki...

   kweli mpoki anachekesha lakini sio kila mtu anamfahamu, maarufu kwako hawezi kuwa maaarufu kwangu bana.

  14. Angel Nylon's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th July 2011
   Location : ZANZIBAR
   Posts : 3,311
   Rep Power : 172058964
   Likes Received
   1148
   Likes Given
   2755

   Default Re: Mpoki...

   Kazi kweli kweli.

  15. SURUMA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd March 2011
   Posts : 2,696
   Rep Power : 1050
   Likes Received
   856
   Likes Given
   2261

   Default

   Quote By Judi wa Kishua View Post
   eh kumbe kuna midume inashindana uzuri umu ndani!!??
   Dalili za kuwa MABWABWA..,,,,Nafikiria kwa sauti

  16. zedlyn's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th March 2012
   Posts : 260
   Rep Power : 512
   Likes Received
   61
   Likes Given
   1

   Default Re: Mpoki...

   mwanamke hasingiziwi mimba teh teh mpoki bana

  17. Muuza Sura's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st August 2011
   Location : kinondoni manyanya
   Posts : 1,827
   Rep Power : 857
   Likes Received
   954
   Likes Given
   860

   Default

   Quote By Chilli View Post
   Huyu dogo wale waarabu si washamharibu!? Mzoee! Hana tofauti na yule mwenzie alotoboa pua.
   Usishindane na star mwenye award ya mauzo we pimbi!!!unamchukia mtu ambaye demu wako anampenda!unapoteza muda

  18. Muuza Sura's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st August 2011
   Location : kinondoni manyanya
   Posts : 1,827
   Rep Power : 857
   Likes Received
   954
   Likes Given
   860

   Default

   Quote By Judi wa Kishua View Post
   eh kumbe kuna midume inashindana uzuri umu ndani!!??
   Swag tu sema sura ndimu ndo wanahisi wakali wanashindana uzuri!wanashindwa kutofautisha swag na maringo!....usafi siyo utozi

  19. jc--'s Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 3rd February 2012
   Posts : 137
   Rep Power : 492
   Likes Received
   37
   Likes Given
   48

   Default Re: Mpoki...

   kwa upande wangu huyu jamaa hanichekeshi hata kidogo, labda fuse zangu za kuchekea zimeungua!!

  20. Maayo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2011
   Posts : 319
   Rep Power : 556
   Likes Received
   45
   Likes Given
   5

   Default

   Quote By Cantalisia View Post
   Mpoki ni zaidi ya mchekeshaji,na siku ile nilikua namtizama na kumsikiliza yeye tu,
   Jamaaa yuko fiti sana na anaijua kazi yake!
   Umenena. Unajua watu huwa hawatak kusema ukwel mpaka m2 afe utasikia ooh, alkuwa mchekeshaj mzuri. Wakat mzima wanamkandia. Mpoki hata me namkubali.

  21. Chilli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th July 2011
   Location : Nowhere
   Posts : 1,566
   Rep Power : 7739
   Likes Received
   653
   Likes Given
   225

   Default

   Quote By Muuza Sura View Post
   Usishindane na star mwenye award ya mauzo we pimbi!!!unamchukia mtu ambaye demu wako anampenda!unapoteza muda
   Una mawazo ya kibwege sana we mrembo.
   Sasa kwa nini demu wangu asikupende wakati we ni mwenzie tuu. Hamna mnachotofautiana as long as majukumu yake yote huwa unayaperform vizuri tuu hasa yale ya kindoa.
   Aaah baby H!! Does this make any sense to u?!


  Page 8 of 9 FirstFirst ... 6789 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...