JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

  Report Post
  Page 60 of 120 FirstFirst ... 505859606162 70 ... LastLast
  Results 1,181 to 1,200 of 2382
  1. Maseto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd April 2012
   Posts : 631
   Rep Power : 827
   Likes Received
   268
   Likes Given
   6

   Default Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

   Tukiwa tunaendelea kuomboleza kifo cha mpendwa wetu,msanii kanumba,tutafakari maisha yake.Kanumba hakuwa tofauti sana na wasanii wetu walio wengi kimaadili.ni kweli alituburudisha,lakini hakutufuza maadili mema.

   Alikuwa mfano mbaya kwa vijana kwani alifanya ngono na wasichana warembo kwa kuwahonga kuonekana kwenye runinga wakati wa kuigiza.

   Alikuwa mkoloni kwa akina dada hawa.kuna msemo wa kifalsafa:WHAT COMES AROUND GOES AROUND.Kanumba amekufa kutokana na mazingira ya matendo yake yasiyofaa katika jamii. TAKE CARE!


  2. Daudi Mchambuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Location : Arusha
   Posts : 13,497
   Rep Power : 429499690
   Likes Received
   7216
   Likes Given
   40040

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   Quote By Kongosho View Post
   Duh, kwani ndugu wa marhemu wanataka afungwe?
   ndugu wa marehemu hawahisiki hapa.
   hii ni Republic Vs Lulu
   "UJINGA NI NUSU YA KIFO"

  3. Jimbi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th August 2010
   Location : ILALA
   Posts : 804
   Rep Power : 736
   Likes Received
   147
   Likes Given
   562

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   mwe mwe mwe, hakuna hata ka picha wandugu
   KIKUPACHO UTAMU.... NA UCHUNGU KITAKUPA!!

  4. Ulukolokwitanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th September 2010
   Location : ndzengelendete
   Posts : 6,490
   Rep Power : 14239
   Likes Received
   3894
   Likes Given
   614

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   Mama yake amesema mwanae ana miaka 17, tena ametimiza juzi juzi tu, nyie mnasema ana miaka 18, nani tumuamini??

   Hata katika mahojiano kalikuwa kanamuuliza Salama na wapambe wake kuna ambaye amewahi kukiona cheti chake cha kuzaliwa? Kalikuwa kanajiongezea umri ili kapate fursa ya kuingia viwanja vya WAKUBWA wenzie akina Kanumba...
   Watanzania wote ni kama NYUMBU, tunafuata matukio na kusahau nini kilitokea jana

  5. zimmerman's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2011
   Posts : 430
   Rep Power : 712
   Likes Received
   377
   Likes Given
   75

   Default Re: Chanzo na Siri ya Kifo cha Kanumba The Great

   Yaani mtu ukishakuwa maarufu na tajiri basi we ni Freemason? Basi wote tuwe maskini ili tusionekane kuwa Freemason (whatever whata that mean).

   Anyway, Kanumba mafanikio yake yalikuwa kwenye kujituma na kucheza na akili za watu. Alicheza na akili za wabongo akajua wanapenda maigizo ya ukatuni -- mapenzi feki, maisha ya anasa na utajiri wa ndoto -- na watu wakanunua movie zake akawa na pesa ya kula. Sasa ufreemason unatoka wapi hapa?

  6. kisukari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th July 2010
   Posts : 2,972
   Rep Power : 106276919
   Likes Received
   1737
   Likes Given
   853

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   huyu mtoto muongo,hata ukiangalia kipindi cha mikasi,maelezo yake ya ki uongo uongo.alivyotimiza 18,alitangazia mpaka face book.inaonyesha kuna watu wanamwambia aseme hivyo.ila anaweza kujiponza mwenyewe.


  7. Guyton's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th January 2011
   Posts : 239
   Rep Power : 606
   Likes Received
   60
   Likes Given
   52

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   Quote By Kongosho View Post
   Duh, kwani ndugu wa marhemu wanataka afungwe?
   kwani anashitakiwa na ndugu wa marehemu au na jamhuri ya muungano wa Tanzania(wazinzi)?

  8. Yo Yo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2008
   Posts : 11,194
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1490
   Likes Given
   2625

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   Quote By Kibunango View Post
   Ana miaka 17... Ile kujitanua kuwa ana miaka 18 ilikuwa ni mbwebwe za kimaisha!
   sasa arifu...hizi mbwembwe ndio zinamgarimu....

   hiiv benki zinaruhusu minor kufungua account yeye kama yeye?
   ...kuwa na baba maskini ni mipango ya Mungu ila kuwa na baba mkwe maskini ni ujinga wako mwenyewe.....

  9. TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 13,875
   Rep Power : 8840
   Likes Received
   1923
   Likes Given
   220

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   Quote By Jimbi View Post
   mwe mwe mwe, hakuna hata ka picha wandugu

   Hapa akila bata kiwanja cha kati enzi hizo
   Mwisho wa Ubaya Aibu.

  10. BPM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2011
   Location : shamba
   Posts : 2,765
   Rep Power : 1161
   Likes Received
   552
   Likes Given
   224

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   mashtaka yake yakoje???

  11. Ruttashobolwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 31,481
   Rep Power : 152353588
   Likes Received
   12433
   Likes Given
   13500

   Default Re: Lulu’s side of the story of Kanumba's death

   their trying to comfuse us,why every day they come with new report! i don think if we should trust police!

  12. samirnasri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Posts : 1,370
   Rep Power : 838
   Likes Received
   198
   Likes Given
   73

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   Quote By Zemu View Post
   Ki ukweli kanapikiwa maelezo ili Kanumba aonekana alikuwa anakabaka, ila kama ni kupigwa kameanza na miaka 6 so ni kazoefu kwa kwenda mbele, ila kwa kesi hii marehemu hana haki uwezekano wa kushinda kwa kigezo cha umri na kutokuwa/kukosa ushahidi wa kumsukuma inaweza ikamtoa.

   hapo kwenye red fafanua kidogo una maana klianza kupigwa viboko au P..bu!!!

  13. TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 13,875
   Rep Power : 8840
   Likes Received
   1923
   Likes Given
   220

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   Quote By Yo Yo View Post
   sasa arifu...hizi mbwembwe ndio zinamgarimu....

   hiiv benki zinaruhusu minor kufungua account yeye kama yeye?

   Yo Yo hujui kuna account za watoto?
   Mwisho wa Ubaya Aibu.

  14. EMT's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th January 2010
   Location : Tandahimba
   Posts : 14,202
   Rep Power : 429499876
   Likes Received
   13880
   Likes Given
   8595

   Default Re: Lulu’s side of the story of Kanumba's death

   Quote By King'asti View Post
   EMT, if there is any help that she needs, its a good lawyer. Not because she has a very bad case, but bongo systems she might stay in prison for 5 years to be told she doesn't have a case to answer. By that time tutakuwa tushamsahau. Isn't she schooling?
   Kwenye interview yake na Mkasi alibabwa kama anasoma akasema kwa sasa hasomi lakini anataka kuanza kusoma tena.
   "Poverty makes people do reckless things, but [the rich] do worse to protect their [interests]" - Immortal Technique.


  15. Guyton's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th January 2011
   Posts : 239
   Rep Power : 606
   Likes Received
   60
   Likes Given
   52

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   Quote By Wakuletwa View Post
   Mmmh nina shaka tunataka kuhukumu bila kuwa na ushahidi... tusubiri tuone mwenendo wa kesi si vizuri kuhukumu kwa hisia. Ni muhimu kujizuia hisia zenu kwani kesi haiamuliwi kwa hisia. Hebu na tutunze hazi ya jamii forum na si vizuri kuleta habari za kimtaa humu ndani.
   mbona ghafla tu watetezi wa lulu wamekua wengi?? JF sio mahakama so far hizi sio hukumu bali ni maoni ya watu binafsi jamani.

  16. TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 13,875
   Rep Power : 8840
   Likes Received
   1923
   Likes Given
   220

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   Quote By samirnasri View Post
   hapo kwenye red fafanua kidogo una maana klianza kupigwa viboko au P..bu!!!
   Walianza na kichwa tu mkuu baada ile kitu haina mabega
   Mwisho wa Ubaya Aibu.

  17. amiride's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 25th August 2011
   Posts : 207
   Rep Power : 564
   Likes Received
   35
   Likes Given
   8

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   Mbona mshaanza kumuhukumu kama amefikishwa mahakamani tusubirie je kama kanumba alianguka mwenyewe mtamsingizia lulu leo hii kama ndo lulu alianguka akaaga maisha mngesema kitu gani na yy ni binadamu sio kuanza kumrushia maneno. Nani asiyedanganya hata ww kazini umri mwingine , kama unapasport umri mwingine na kwa mpenzi wako umri mwingie. Angalieni upande wa pili wa shilingi

  18. CAMARADERIE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2011
   Location : 1 Luthuli Street
   Posts : 4,314
   Rep Power : 2881
   Likes Received
   1706
   Likes Given
   1169

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   AliKiba kufia jela

   a

   ENDAPO itathibitika kuwa, ni kweli msanii wa Bongo Flava, Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ anavunja amri ya sita na nyota mdogo anayetamba katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, basi mwanamuziki huyo anaweza kuingia matatani ikiwemo kwenda jela maisha au kifungo cha miaka 30, Risasi Jumamosi limenyetishiwa.   Hilo linathibitishwa na baadhi ya Wanasheria wa Tanzania ambao waliongea na gazeti hili Alhamisi (juzi) na kutoa baadhi ya vifungu vya sheria ambavyo vinaweza kumweka pabaya Ali kiba a.k.a Kiba endapo tu itathibitika anacheza mchezo wa ‘baba na mama’ na kinda huyo mwenye umri chini ya miaka 18.


   Kufuatia kuwepo kwa hali hiyo huku Lulu akiwa hajafikisha umri wa kuamua kuwa na mpenzi, Risasi Jumamosi liliongea na Wanasheria, Dk. Ngali Maita, Sylvester Shayo na Issa Maige, ambao waliweka bayana kuwa, kufanya mapenzi na binti mwenye umri wa chini ya miaka 18 ni ubakaji hata kama msichana atakuwa ameridhia.


   Mawakili hao waliweka bayana kuwa, kwa mujibu wa sheria za mwenendo wa Makosa ya Jinai Sura ya 16 (The penal code, caption 16) pamoja na sheria ya kujamiiana ya mwaka 1998 (Sexual Offences Special Provission Act of 1998 (SOSPA) adhabu yake ni kifungo cha maisha (life sentence imprisonment).


   Kuwepo kwa adhabu hiyo kunasisitizwa na Wakili Issa John Maige wa MJ Diamond Advocates ambaye aliweka kweupe kwamba, kwa mujibu wa sheria mpya ya ubakaji, mwanaume au mwanamke anayefanya mapenzi na mtu wa chini ya miaka 18 anahesabiwa kubaka hata kama wawili hao watakuwa katika ridhaa.


   Alisema kuwa, kinachotakiwa kuwepo na mtu atakeyelalamika ili sheria ichukue mkondo wake ambapo ni pamoja na vyombo vya Dola kumtia nguvuni mhusika.


   Katika mahojiano na Kituo cha Televisheni cha Clouds hivi karibuni, Lulu alikaririwa akisema kuwa, mwananume anayeamini atamuoa ni Ali Kiba hivyo kuifanya jamii kuamini minong’ono ya mara kwa mara kuwa, wawili hao wanatoka kimapenzi.


   Hata hivyo, kwa upande wake, Ali Kiba alipopewa fursa ya kulielezea hilo, alisema Lulu alikuwa anajifurahisha tu lakini yeye hana uhusiano na ‘sidanganyiki’ huyo licha ya kukiri kwamba, wanafahamiana na wana ukaribu.


   Sintofahamu kwa usiri wa wawili hao unazidi kujikunja na kisha kukunjuka kufuatia miezi ya karibuni, Lulu kufikishana Polisi Magomeni na mrembo aliyewahi kushiriki Miss Dar City Centre wakidaiana kuibiana simu lakini mlimbwende huyo alikwenda mbele zaidi pale alipoweka wazi kuwa, Lulu amekuwa akimwonea wivu akiamini yeye (mrembo) ana uhusiano wa kimapenzi na Kiba.

   Tanganyika
  19. TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 13,875
   Rep Power : 8840
   Likes Received
   1923
   Likes Given
   220

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo   Marehemu Kanumba alikuwa anafaidi jamani uongo mbaya mtoto amejaliwa mashallah
   Mwisho wa Ubaya Aibu.

  20. samirnasri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Posts : 1,370
   Rep Power : 838
   Likes Received
   198
   Likes Given
   73

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   wamemshitaki kwa makosa yapi? na ni nani watakuwa mashahidi wa mshitaka???? I hope lulu atashinda kesi kwa sababu hakutakuwa na ushahidi wa kutosha kumtia hatiani.

  21. Guyton's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th January 2011
   Posts : 239
   Rep Power : 606
   Likes Received
   60
   Likes Given
   52

   Default Re: BREAKIN NEWS: Lulu afikishwa mahakamani leo

   Quote By Mende0 View Post

   Hapa akila bata kiwanja cha kati enzi hizo
   hapo alikua ana miaka 18+ ila mahakamani hana miaka 18-, hii ndio Tanzania bwana, no critical thinking, ni hisia kwenda mbele.


  Page 60 of 120 FirstFirst ... 505859606162 70 ... LastLast

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...