JamiiSMS
  Show/Hide This
  Report Post
  Page 116 of 120 FirstFirst ... 16 106114115116117118 ... LastLast
  Results 2,301 to 2,320 of 2382
  1. Maseto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd April 2012
   Posts : 595
   Rep Power : 799
   Likes Received
   253
   Likes Given
   6

   Default Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

   Tukiwa tunaendelea kuomboleza kifo cha mpendwa wetu,msanii kanumba,tutafakari maisha yake.Kanumba hakuwa tofauti sana na wasanii wetu walio wengi kimaadili.ni kweli alituburudisha,lakini hakutufuza maadili mema.

   Alikuwa mfano mbaya kwa vijana kwani alifanya ngono na wasichana warembo kwa kuwahonga kuonekana kwenye runinga wakati wa kuigiza.

   Alikuwa mkoloni kwa akina dada hawa.kuna msemo wa kifalsafa:WHAT COMES AROUND GOES AROUND.Kanumba amekufa kutokana na mazingira ya matendo yake yasiyofaa katika jamii. TAKE CARE!


  2. barumoja's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th February 2012
   Posts : 22
   Rep Power : 479
   Likes Received
   1
   Likes Given
   4

   Default Re: Eti....Ramsey Nouah "NIGERIAN ACTOR" kachangia haya kwa Kanumba+ Lulu+ Kajala!

   sawa tumesha kusoma na wewe upo japokuwa unatupatia pumba!

  3. Chaaakoon's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Posts : 12
   Rep Power : 472
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By RRONDO View Post
   Ur 100% right, she is underage,Kanumba alikuwa anatembea na minor hivyo alikuwa MBAKAJI,najua nawaudhi wengi lkn huo ndio ukweli ambao wengi wanaukwepa kwenye tuhuma hizi
   acheni kupayuka jana, juzi na siku za nyuma mlikua mnawataja hao mapedee wenye uzto kuliko kanumba na aliesababisha hayo yote ni lulu kwa ukahaba wake. Waligombana kwa ajili ya cm je alikua anaongea na baba yake akitaka kujua kama bdo yuko tution? Msilete za mkutwa na ngozi ndo mwizi. Ni wangap Tz wanafanya ivo. Huyu kindegaten hakua na shida ya hela bali ni pepo la uzinzi.
   Lakucha mbe...

  4. Chaaakoon's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Posts : 12
   Rep Power : 472
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By i pad3 View Post
   mdogo mmemzaa nyie?
   yap apooo sasa wajib... wao mbona wanawakimbiza wa lasaba na form njuka huko mitaani kwao au kwasabab inakuwa ni gizan uchochoroni. Nyani haoni ...dule.

  5. afrodenzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Location : sweet home
   Posts : 16,218
   Rep Power : 429500216
   Likes Received
   6319
   Likes Given
   6296

   Default Re: Eti....Ramsey Nouah "NIGERIAN ACTOR" kachangia haya kwa Kanumba+ Lulu+ Kajala!

   Pumba tupu ....

  6. Biznocrats's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 5th April 2011
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 449
   Rep Power : 0
   Likes Received
   28
   Likes Given
   29

   Default Re: Binti anywa sumu kisa kifo cha Kanumba

   Inawezekana kwenye banda la kuangalia filamu la makuti alimokuwa anaingia kideo pekee kilikuwa picha za Steven.


  7. Mkereketwa_Huyu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th February 2011
   Location : London | Dar Es Salaam
   Posts : 3,031
   Rep Power : 86127563
   Likes Received
   1110
   Likes Given
   886

   Default

   To be serious, I don't see msanii yeyote wa kibongo kuwa kioo cha jamii. They are fake na wanalazimisha their celebratory status, very lame indeed! Mfano angalia mademu waliozimia ile siku, utakuta yote yale ni maigizo ili waandikwe magazetini to boost up their status.

  8. mpayukaji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st October 2010
   Posts : 950
   Rep Power : 1031
   Likes Received
   339
   Likes Given
   1498

   Default Video hii ya Lulu kumbe Tanzania imegeuka nchi ya garbage! Lord who will save this country?

   LULU akiongelea maisha yake baada ya MIAKA 18 ndani ya TAKE ONE - YouTube

   Ukiangalia hivyo video, kwa wale ambao wametoka Tz muda mrefu unalia. Kumbe runinga zetu siku hizi ni garbage bins! Where are human beings who know why they were created. Tunaambudia upuuzi na kuchukia hekima. Lord help this lost nation. Tazama huyo anayejichanganya kwenye mahakama.
   Mr GM likes this.

  9. Mnyama Hatari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2012
   Posts : 335
   Rep Power : 536
   Likes Received
   80
   Likes Given
   16

   Default Re: Video hii ya Lulu kumbe Tanzania imegeuka nchi ya garbage! Lord who will save this country?

   Sijakuelewa unachoongelea!!
   Kwa usalama wako kaa mbali na Mnyama Hatari

  10. uttoh2002's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2012
   Posts : 912
   Rep Power : 660
   Likes Received
   346
   Likes Given
   17

   Default

   Huwezi elewa maana hujaangalia hiyo video utaelewaje sasa? Ndio shida hiyo sasa!

   Quote By Mnyama Hatari View Post
   Sijakuelewa unachoongelea!!

  11. Kigogo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2007
   Location : Calabash
   Posts : 17,704
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3680
   Likes Given
   2005

   Default Re: Babake Kanumba atoa siri nzito Dar

   Hii habari kaandika wassira au lusinde?? Pumbafu sana yaani hapo siri nzito iko api

  12. WA-UKENYENGE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st October 2011
   Location : Inside a Smart Grid
   Posts : 2,723
   Rep Power : 5209
   Likes Received
   905
   Likes Given
   2191

   Default Re: Video hii ya Lulu kumbe Tanzania imegeuka nchi ya garbage! Lord who will save this country?

   Mtoto keshasherehekea miaka 18, saizi anadai ni chini ya miaka 17. Ndiyo bongo!! Sijui kama anakumbuka au ndiyo chetu kinasema hivi na hiyo ilikuwa interview.
   "The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".

  13. Mnyama Hatari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2012
   Posts : 335
   Rep Power : 536
   Likes Received
   80
   Likes Given
   16

   Default Re: Video hii ya Lulu kumbe Tanzania imegeuka nchi ya garbage! Lord who will save this country?

   Quote By WA-UKENYENGE View Post
   Mtoto keshasherehekea miaka 18, saizi anadai ni chini ya miaka 17. Ndiyo bongo!! Sijui kama anakumbuka au ndiyo chetu kinasema hivi na hiyo ilikuwa interview.
   Mahakamani kitakachojalisha ni kile kilichopo kwenye nyaraka halali.
   Kwa usalama wako kaa mbali na Mnyama Hatari

  14. Ulukolokwitanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th September 2010
   Location : ndzengelendete
   Posts : 6,097
   Rep Power : 14138
   Likes Received
   3627
   Likes Given
   610

   Default

   Quote By WA-UKENYENGE View Post
   Mtoto keshasherehekea miaka 18, saizi anadai ni chini ya miaka 17. Ndiyo bongo!! Sijui kama anakumbuka au ndiyo chetu kinasema hivi na hiyo ilikuwa interview.
   Jamani tusiwe wagumu kuelewa, cheti kinaonesha anatimiza miaka 17 jumanne ijayo. Hayo mahojiano yalikuwa motivated na mpango wake wa kutaka kuruhusiwa kuingia disco na kuuziwa pombe. Mbona akidanganya hana boyfriend wala hamuhoji?

  15. Waberoya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd August 2008
   Location : Busia-Uganda
   Posts : 7,005
   Rep Power : 3102475
   Likes Received
   2241
   Likes Given
   4196

   Default Re: Video hii ya Lulu kumbe Tanzania imegeuka nchi ya garbage! Lord who will save this country?

   Quote By Mnyama Hatari View Post
   Mahakamani kitakachojalisha ni kile kilichopo kwenye nyaraka halali.
   kweli kabisa lakini historia yake ya kudanganya inaashiria kuwa haaminiki tena kwa lolote atakalosema kuhusu marehemu, upo?
   Ambitious likes this.
   You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X

  16. RRONDO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd January 2010
   Posts : 8,716
   Rep Power : 298051961
   Likes Received
   4522
   Likes Given
   1786

   Default

   Quote By Mnyama Hatari View Post
   Mahakamani kitakachojalisha ni kile kilichopo kwenye nyaraka halali.
   Hivi watu wangapi mmekutana nao wakiulizwa umri wanadanganya?hasa watoto(teens)...ndio maana wenzetu kununua sigara,kuingia club etc unaonyesha id,kitakachothibitisha umri wake ni cheti chake cha kuzaliwa siyo maelezo aliyotoa kwenye tv au movie

  17. SURUMA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd March 2011
   Posts : 2,742
   Rep Power : 1072
   Likes Received
   879
   Likes Given
   2400

   Default

   Quote By Mnyama Hatari View Post
   Mahakamani kitakachojalisha ni kile kilichopo kwenye nyaraka halali.
   Bahati mbaya kwamba kwa uozo wa mifumo ya nchi yetu; nyaraka HALALI zinatengenezeka unavyotaka zisomeke as long as wawajua wahusika au MADALALI WAO na una hela wanayohitaji...

  18. BADILI TABIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th June 2011
   Location : DUNIANI
   Posts : 22,914
   Rep Power : 171830618
   Likes Received
   10854
   Likes Given
   9609

   Default

   Quote By shosti View Post
   wameyakalisha mtoto akauze mbunye awalishe...hawana hata haya kujitokeza hadharani ptyuuuuuu!
   binadamu kwa kuhukumu, hata kama wanachokiongea hawana ushahidi nacho......................

  19. Sumba-Wanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd February 2011
   Location : Gambushi
   Posts : 5,317
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1138
   Likes Given
   1389

   Default Re: Video hii ya Lulu kumbe Tanzania imegeuka nchi ya garbage! Lord who will save this country?

   Quote By SURUMA View Post
   Bahati mbaya kwamba kwa uozo wa mifumo ya nchi yetu; nyaraka HALALI zinatengenezeka unavyotaka zisomeke as long as wawajua wahusika au MADALALI WAO na una hela wanayohitaji...
   Mbaya zaidi marehemu hana haki!
   "A man's or woman's best or worst choice in life is his or her spouse"

  20. Sumba-Wanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd February 2011
   Location : Gambushi
   Posts : 5,317
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1138
   Likes Given
   1389

   Default Re: Babake Kanumba atoa siri nzito Dar

   Quote By The Boss View Post
   hii ndo siri nzito???????????
   Udaku Mtupu!

  21. Asu tz's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th December 2011
   Posts : 233
   Rep Power : 532
   Likes Received
   14
   Likes Given
   6

   Default Re: Eti....Ramsey Nouah "NIGERIAN ACTOR" kachangia haya kwa Kanumba+ Lulu+ Kajala!

   kawape story hii kitaa na co hapa.


  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...