jamani fide amepungua had amekwisha. Tatizo sijui ni ugonjwa au ndo diet , watu wamjini mtujuze. We unamwonaje kapendeza au kaharibu? Angalia picha nilizoattach
jamani fide amepungua had amekwisha. Tatizo sijui ni ugonjwa au ndo diet , watu wamjini mtujuze. We unamwonaje kapendeza au kaharibu? Angalia picha nilizoattach
Swali la kwanza hizo picha ulikuwa unamvizia nini? La pili nakusamehe, back to the topic naona aliamua kuchagua maisha ya heri maisha mafupi yenye raha kuliko marefu yenye shida sasa anataabika maana ukianza kuloose unene more than 10% kwa muda mrefu ni hatari.
Mmmhh huyu si yuko kwa chronic diseases clinic!!
Duh sina la kusema.
Kama Mustapha Hasanali huenda ameamua kuji~prun...
Duuh, anatisha sio siri.
Kulikoni kajikondesha hivyo?
Sijui kama anaumwa au vipi lakini anatisha sana kwa kweli duh?
jf jamani kazi ipo.uki loose weight shughuli,ukinenepa shughuli.tusim judge mtu kwa kumuangalia machoni,na tusimnyooshee mwenzetu kidole,wakati na sisi ya mbele hatuyajui
mi mbona simjui huyu mtu,msanii,musician or?ila hiyo difference inatisha hadi rangi ka ipruni
inaweza kuwa kitu cha Arusha kimemzidia
Don't break the LAW, just Bend It!
Follow Us Here