Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Swali kuhusu PIUS MSEKWA

    Report Post
    Results 1 to 16 of 16
    1. #1
      Game Theory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 10,054
      Rep Power : 3352
      Likes Received
      240
      Likes Given
      0

      Default Swali kuhusu PIUS MSEKWA

      HIVI HUYU MZEE BADO YUKO SERIKALINI TUU?

      inamaana hakuna damu changa ambayo inawez akufanya hiyo kazi anaifanya?

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,616
      Rep Power : 2891
      Likes Received
      3834
      Likes Given
      12214

      Default

      drWHO,
      Hivi anafanya kazi gani? Nijuavyo alikuwa kwenye bodi ya Vodacom. Unakumbuka alivyotukebehi kwa wivu wa kike?

    4. #3
      Mwawado's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2006
      Location : Tulsa, Oklahoma/MFA-TZ
      Posts : 1,263
      Rep Power : 898
      Likes Received
      113
      Likes Given
      219

      Default

      Mhe, Jasusi!
      Katibu Mkuu huyo wa kwanza wa CCM,bado yupo kwenye Board mbalimbali.Hivi karibuni alikuwa huko Japan,Holland na Germany kutangaza mambo ya Hifadhi ya Ngorongoro.Yeye ni Mwenyekiti wa Hifadhi ya Ngorongoro na pia ni Mjumbe kwenye kamisheni ya Ustawi wa makao makuu (Dodoma) ni Mjumbe kwenye kamati ya Ustawi wa kisiwa cha saa nane na pia mjumbe kwenye Board ya kampuni ya simu (Vodacom) ukiacha wadhifa wake wa Ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM,wanaomjua kwa karibu wanasema yeye ni CCM asilia pamoja na watu wengine wachache kama Mzee Kawawa Mzee Jumanne na Pius Ngeze bila kumsahau Athuman Kabongo.Ikumbukwe kuwa Mama pia bado yupo kwenye chart,kwani baada ya kuondoka kwenye serikali amejikita zaidi kwenye UWT (Mwenyekiti).Mzee Msekwa muda mwingi anautumia akiwa Dodoma,ambako haswa ndio makazi yake na sio Ukerewe!

    5. #4
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,616
      Rep Power : 2891
      Likes Received
      3834
      Likes Given
      12214

      Default

      Mwawado,
      Thanks. Kwa mtaji huu angekuwa Marekani angekuwa tayari millionaire. Kwa sababu Marekani influence pays.

    6. #5
      Kichuguu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th October 2006
      Location : Popote Porini
      Posts : 6,836
      Rep Power : 3271
      Likes Received
      1314
      Likes Given
      916

      Default

      katika ile miaka ya sabini na mwanzoni mwa miaka ya themanini Msekwa alikuwa akifanya mambo yake kiakaili kweli kweli. Alikuwa ni kiongozi aliyekuwa na sifa mbili: (a) alikuwa akijiamini (b) alikuwa hababishi. Ni wachache sana kama Sokoine, Salim, Msuya, Amil Jamal na Mtei ambao pia walikuwa sifa kama hizo katika madaraka yao. Kuanzia Azimio la Zanzibar kuzaliwa na kuzuka kwa dira tofauti ya uongozi wa nchi, Mzee huyu aligeuka na kuwa mtu wa ajabu kweli kweli. Nashangaa kuwa bado yuko katika politiksi za nchi: Labda Jasusi na Mkandara wananaweza kumchambua huyu Mzee vizuri zaidi kuhusu kile kilichomkumba baada ya mabadiliko yale kwani kuanzia hapo hayuko tena kama yule Vice Chancellor wa UDSM wa enzi hizo au yule Principal wa Kivukoni College.
      Last edited by Kichuguu; 19th March 2007 at 08:13.
      Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo

    7. Miaka 50

    8. #6
      Jembajemba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2007
      Posts : 706
      Rep Power : 770
      Likes Received
      8
      Likes Given
      3

      Default

      Jasusi,

      kwani huyo muheshimiwa sasa hivi sio millionaire???

    9. #7
      Jafar's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2006
      Location : Msoga, Chalinze
      Posts : 1,249
      Rep Power : 895
      Likes Received
      13
      Likes Given
      0

      Default

      Jemba,

      No, he is not. He is a billionaire.

    10. #8
      Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th March 2006
      Posts : 1,725
      Rep Power : 1021
      Likes Received
      54
      Likes Given
      6

      Default

      Quote By Jafar
      Jemba,

      No, he is not. He is a billionaire.
      No, he is not Billionaire, He is multibillionaire!

    11. #9
      Mafuchila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2006
      Posts : 915
      Rep Power : 852
      Likes Received
      13
      Likes Given
      6

      Default

      Anazilipia kodi?

    12. #10
      Mafuchila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2006
      Posts : 915
      Rep Power : 852
      Likes Received
      13
      Likes Given
      6

      Default

      Vodacom alishapigwa chini looong time, baada ya kuukosa uspika tu jamaa wakamwandikia barua kumjulisha kipindi chake katika bodi kilishakwisha. Kwi kwi kwi.

    13. #11
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,616
      Rep Power : 2891
      Likes Received
      3834
      Likes Given
      12214

      Default

      Mafuchila,
      Hawa hawalipi kodi. EL halipi kodi mali zote alizo nazo. Lakini Kichuguu, umegusa swala muhimu. Watu kama Msekwa na Kingunge walikuwa mstari wa mbele katika sera za ujamaa lakini baada ya Zanzibar ndio wamekuwa vigeugeu wa kupindukia.

    14. #12
      Lunyungu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th August 2006
      Location : Malampaka
      Posts : 8,005
      Rep Power : 2559
      Likes Received
      783
      Likes Given
      28

      Default Serikali kutoa ajira 300,000 kila mwaka

      Magazeti ya last week kila mmoja alisoma kwamba sasa Serikalio haina kazi 1milioni kama walivyosema wakati wa kampeni na wakati JK anachukua Nchi. They have backed down hadi 300,000 jobs to be created kila mwaka . Je ni sera ya CCM kusema uongp ili kuopata kura ? Kwa nini JK alikuwa anaahidi na kusisitiza jambo hili bila ya kulijua kwa undani ? Au nimekosea mimi kuelewa kwamba walisema kazi kila mwaka 1milioni ? Je kama wamekuja hadi kwenye 300,000 mwaka wameyajua lini ? Je kauli zao na akiwemo rais zichukuliwe vipi na watanzania ?
      Je tumemwamini Rais na kauli zake ?
      Je watanzania tumedanganywa tukawapa kura leo wanasema ukweli ?
      Je kama tumedanganywa twende mahakamani kumshitaki Rais kusema uongo kabla wakat wa kampeni na baada yaa kiapo cha Urais ?

    15. #13
      Mkira's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2006
      Posts : 417
      Rep Power : 1140
      Likes Received
      36
      Likes Given
      7

      Default

      Quote By Jafar
      Jemba,

      No, he is not. He is a billionaire.

      Jafar I wrote the same sentense as yours!!

      But later on I decided not to post it!!!

      HE IS A BILLIONAIRE WITHOUT DOUBT

    16. #14
      Katibu Tarafa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th February 2007
      Posts : 1,201
      Rep Power : 867
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default

      ana nini kinachomfanya haonekane billioner biashara,majumba,wake. tuambieni siri yake,sio kuandika kiujumla tu.
      kuna thread ilianzishwa hapa juu ya mali za viongozi lakini imepita bila kuona baadha ya mali za hawa viongozi wetu zaidi ya porojo tu.hii ni sehemu ya ukweli na uwazi.

    17. #15
      Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th March 2006
      Posts : 1,725
      Rep Power : 1021
      Likes Received
      54
      Likes Given
      6

      Default

      Quote By Mafuchila
      Anazilipia kodi?
      Tuwaulize TRA........................... !

    18. #16
      Steve Dii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th June 2007
      Location : Kihesa - Iringa
      Posts : 6,794
      Rep Power : 3278
      Likes Received
      921
      Likes Given
      2800

      Default Re: Swali kuhusu PIUS MSEKWA

      Quote By Jasusi
      Mwawado,
      Thanks. Kwa mtaji huu angekuwa Marekani angekuwa tayari millionaire. Kwa sababu Marekani influence pays.
      ...kwani siyo?!

    Similar Topics

    1. Pius msekwa the political scientist
      By Taifa_Kwanza in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 1
      Last Post: 26th May 2011, 16:25
    2. Replies: 9
      Last Post: 19th December 2010, 21:05
    3. Mtoto wa Pius Msekwa afariki!
      By Tusker Bariiiidi in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 77
      Last Post: 23rd September 2010, 21:13
    4. Pius Msekwa Vs Makamba
      By Mroki in forum Celebrities Forum
      Replies: 4
      Last Post: 5th November 2007, 23:32

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...