Re: Steven Kanumba: Has a Very Touching Story!

By
Pasco
Wababodi,
Japo mimi sio mshabiki wa Bongo Movies, wife na mabinti ni washabiki (Father of 6!, 3 girls & 3 boys).
Leo nimewahi home na kuangalia Clouds TV kipindi cha "Take One" na Zamaradi Mketema akimzungunzia Bongo Movies No. 1 Top Celeb, Steven Kanumba.
Story yake ni very touching. Ni product ya broken family aliyekumbana na madhila ya wicked step mother!. Jamaa ameteswa sana utotoni na mateso yake yamenigusa sasa na mimi nampenda huyu jamaa.
Kanumba sio tuu ana kipaji cha uigizaji, pia ana kipaji cha muziki anapiga kinanda, gitaa la Galaton na anaimba!.
Kimaisha yuko safi, nyumba nzuri, magari na pesa ya maana. Ni good looking Msukuma ana roho nzuri na hajaoa wala hana mchumba!. (eligible bachelour!).
Pia namkubali sana huyu dada Zamaradi Mketema ni kipaji na kichwa! nae yuko single!, si wa match tuu!.
Kwa mtakaotaka kuona angalieni marudio kesho saa 4.00 usiku Clouds. J4 ijayo part 2 ya Kanumba itaendelea!
Pasco.
Pasco bana hiyo red nimekubali wewe msukuma chapa ya ng'ombe
Hiyo red umekuja kupigia debe kijanja nini kati ya hao kuna aliyekutuma??
A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!! "Dont Loose your temper nobody need it"
Follow Us Here