JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 52
  1. Nyundo Kavu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 6th December 2011
   Location : Locker Up
   Posts : 117
   Rep Power : 531
   Likes Received
   20
   Likes Given
   36

   Cool SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   MSANII wa filamu ambaye pia anang’ara kwenye muziki kwa sasa, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameuanza mwaka 2012 kwa kulinadi penzi lake akidai, anayetaka kuwa mume wake awe na mkwanja wa kutosha.
   Tamko hilo amelitoa mbele ya paparazi wa Ijumaa hivi karibuni Mwananyamala jijini, Dar alipokuwa akizungumzia mikakati yake ya kikazi kwa mwaka mpya.
   “Mwaka jana sikuutendea haki sana katika kazi hivyo mambo yangu mengi hayakwenda sawa kiivyo lakini sasa nimekuja kivingine kwani mkwanja siyo tatizo hivyo hata huyo mwanaume atakayetaka kulifaidi penzi langu kama mke wake lazima awe nazo la sivyo bora nibaki peke yangu.
   “Nimegundua wanaume wengi wanapenda mteremko kwa wanawake hivyo mwaka huu huyo anayejiita mume basi ajipange kweli kweli maana na mimi si mlaini bila fedha,” alisema Shilole.

   SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo - Global Publishers

  2. Nyani Ngabu's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 15th May 2006
   Location : Ikungulyabashashi
   Posts : 54,331
   Rep Power : 429508093
   Likes Received
   22875
   Likes Given
   1819

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   Quote By Lizzy View Post
   Mtakoma sana, vidola vyenu vya mabox na vijisent vya kula vumbi lazima vipukutishwe kama majani.
   Thubutu! Nilivyo mbahiri...hakuna cha Shilole wala Mtoto Shoo
   Miafrika Ndivyo Tulivyo.

  3. Msarendo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th January 2011
   Location : Rich Forever.
   Posts : 5,540
   Rep Power : 98096
   Likes Received
   904
   Likes Given
   11

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   Na awe tayari kuambukizwa Ngoma.

  4. Gaijin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2007
   Posts : 11,898
   Rep Power : 25013
   Likes Received
   5104
   Likes Given
   2566

   Default SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   Quote By Nyani Ngabu View Post
   Aaaah Shilole Shilole....mtoto kutoka Igunga, Tabora.
   Steve Dii kanambia umefulia...shilole utamuona kwenye kideo tu! Hahaha

  5. Safari_ni_Safari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2007
   Location : Kibaruani
   Posts : 17,814
   Rep Power : 3277026
   Likes Received
   9582
   Likes Given
   3670

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   Quote By Lizzy View Post
   Wanaume mtakoma karne hii. . .
   ...wa mia mia mbona bado wako wengi tu......huyu katumika sana hata hivyo
   "If you can't RESPECT EXISTENCE then you must EXPECT RESISTANCE!"

  6. Saint Ivuga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2008
   Posts : 25,341
   Rep Power : 88801448
   Likes Received
   7583
   Likes Given
   13009

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   wtu watammega na kusepa..kumbe yeye shida yake ni mipesa
   JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

  7. Lizzy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Location : UngaLTD!
   Posts : 22,151
   Rep Power : 106245155
   Likes Received
   8944
   Likes Given
   2169

   Default

   Quote By Nyani Ngabu View Post
   Thubutu! Nilivyo mbahiri...hakuna cha Shilole wala Mtoto Shoo
   Hahahha mpaka mtoto shoo unambania? Sasa ataendeleaje kung'aa bila matunzo?

  8. Nyokamzee's Avatar
   Member Array
   Join Date : 31st December 2011
   Posts : 97
   Rep Power : 524
   Likes Received
   15
   Likes Given
   1

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   jamani mwambieni aje huku arusha, kama ni pesa 2 hamna shida atapata pesa anazotaka, lakn aje akiwa bikra na si yakutengeneza.

  9. Lizzy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Location : UngaLTD!
   Posts : 22,151
   Rep Power : 106245155
   Likes Received
   8944
   Likes Given
   2169

   Default

   Quote By Safari_ni_Safari View Post
   ...wa mia mia mbona bado wako wengi tu......huyu katumika sana hata hivyo
   Hata hizo mia mia ni pesa...ukimpa mara tano anapata fungu la mchicha. Alafu kutumika kwani nyie hamjatumika?

  10. Joyceline's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2009
   Location : dar es Saalaam
   Posts : 1,017
   Rep Power : 863
   Likes Received
   128
   Likes Given
   92

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   Quote By BADILI TABIA View Post
   kwa hiyo anauza? khaaa
   ndiyo maana yake

  11. Zion Daughter's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2009
   Location : Mlimani
   Posts : 8,934
   Rep Power : 28554457
   Likes Received
   4115
   Likes Given
   2167

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   Quote By Kibanga Ampiga MKoloni View Post
   cheki humu!!!!! zingatia 3:16, 3:48, 6:14,
   Wengine ugonjwa wetu huuuuuuuuuu, anapatikana wapi jamaniiiiiiiiiii?

   Msikilize anaongea nini kwenye 5:07, jamanii mimi hoiiiiiiiiiiiiiii

   Duuu!!Mungu tusaidie.Halafu hizi nyimbo za pwani mbona kama ni matusi jamani...Huko kucheza kweli kunaruhusiwa na Baraza la sanaa???????
   Blessed and highly favored

  12. Nyani Ngabu's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 15th May 2006
   Location : Ikungulyabashashi
   Posts : 54,331
   Rep Power : 429508093
   Likes Received
   22875
   Likes Given
   1819

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   Quote By Gaijin View Post
   Steve Dii kanambia umefulia...shilole utamuona kwenye kideo tu! Hahaha
   Wiki mbili tu narudi kwenye form...msimu wa tax return huu....
   Miafrika Ndivyo Tulivyo.

  13. Nyani Ngabu's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 15th May 2006
   Location : Ikungulyabashashi
   Posts : 54,331
   Rep Power : 429508093
   Likes Received
   22875
   Likes Given
   1819

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   Quote By Zion Daughter View Post
   Duuu!!Mungu tusaidie.Halafu hizi nyimbo za pwani mbona kama ni matusi jamani...Huko kucheza kweli kunaruhusiwa na Baraza la sanaa???????
   Za Wazaire vipi?
   Miafrika Ndivyo Tulivyo.

  14. Zion Daughter's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2009
   Location : Mlimani
   Posts : 8,934
   Rep Power : 28554457
   Likes Received
   4115
   Likes Given
   2167

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   Quote By Nyani Ngabu View Post
   Za Wazaire vipi?
   Kaka hizi zimezidi naona...lakn si vibaya kama na hizo za wazaire zikitazamwa pia..
   Blessed and highly favored

  15. EL MAGNIFICAL's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th January 2011
   Location : mbeya
   Posts : 939
   Rep Power : 833
   Likes Received
   123
   Likes Given
   21

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   ye ana pesa ama ?

  16. nashy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th January 2011
   Location : MANG'ORA
   Posts : 678
   Rep Power : 690
   Likes Received
   138
   Likes Given
   124

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   hana lolote, anauza mapenzi? aende kwa akina kanumba wamchezee then alainike kama wema

  17. Mihayo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2010
   Posts : 262
   Rep Power : 646
   Likes Received
   49
   Likes Given
   9

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   Haya maneno awambie wengine sio mimi. Anakera kwa kuomba omba. Mara Vocha mara .............................. ..Ahaaaaaaaaaaaaaa Bure kabisa

  18. Nyani Ngabu's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 15th May 2006
   Location : Ikungulyabashashi
   Posts : 54,331
   Rep Power : 429508093
   Likes Received
   22875
   Likes Given
   1819

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   Quote By Zion Daughter View Post
   Kaka hizi zimezidi naona...lakn si vibaya kama na hizo za wazaire zikitazamwa pia..
   Kama baraza la sanaa limejaa wanaume sahau kabisa! Sisi tunayapenda haya mambo bana.
   Miafrika Ndivyo Tulivyo.

  19. masewa's Avatar
   Member Array
   Join Date : 16th January 2012
   Posts : 35
   Rep Power : 509
   Likes Received
   4
   Likes Given
   3

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   cku zote wanaoyabahatisha maisha kidogo ukubwani wanamatatizo kama shillole

   Ama kweli pata pesa tujue tabia yako

  20. Kaliua urambo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st April 2009
   Posts : 599
   Rep Power : 764
   Likes Received
   118
   Likes Given
   29

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   Quote By Nyundo Kavu View Post
   MSANII wa filamu ambaye pia anang’ara kwenye muziki kwa sasa, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameuanza mwaka 2012 kwa kulinadi penzi lake akidai, anayetaka kuwa mume wake awe na mkwanja wa kutosha.
   Tamko hilo amelitoa mbele ya paparazi wa Ijumaa hivi karibuni Mwananyamala jijini, Dar alipokuwa akizungumzia mikakati yake ya kikazi kwa mwaka mpya.
   “Mwaka jana sikuutendea haki sana katika kazi hivyo mambo yangu mengi hayakwenda sawa kiivyo lakini sasa nimekuja kivingine kwani mkwanja siyo tatizo hivyo hata huyo mwanaume atakayetaka kulifaidi penzi langu kama mke wake lazima awe nazo la sivyo bora nibaki peke yangu.
   “Nimegundua wanaume wengi wanapenda mteremko kwa wanawake hivyo mwaka huu huyo anayejiita mume basi ajipange kweli kweli maana na mimi si mlaini bila fedha,” alisema Shilole.

   SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo - Global Publishers
   Hamna kitu humo

  21. Vmark.'s Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2011
   Location : Arusha/Moshi.
   Posts : 1,359
   Rep Power : 797
   Likes Received
   235
   Likes Given
   24

   Default Re: SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo

   C apeleke kwa mengi, bakhressa au manji coz c ndo wanaaminika wanazo???

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...