Habari.
Nmesikia Mtangazaji aliekua akiripoti habari za BBC wa hapa kwetu Bongo amefariki leo asubhi.
Source: Radio Tumain, mtangazaji wakati wa kipindi cha magazeti...nae ametumiwa msg! Akaisoma on air.
Habari.
Nmesikia Mtangazaji aliekua akiripoti habari za BBC wa hapa kwetu Bongo amefariki leo asubhi.
Source: Radio Tumain, mtangazaji wakati wa kipindi cha magazeti...nae ametumiwa msg! Akaisoma on air.
R.i.p brother.
Tulikupenda ila mungu amekupenda zaid yetu.
Amina.
na John Ngahyoma hatunae! EEh Mungu mlaze pema huko paradiso pamoja na marehemu wengine
Promises are comfort to a fool
Wanajamii nimetoka kusikiliza Clouds FM muda si mrefu imetangazwa kwamba Mwanahabari wetu Mkongwe John Ngayoma amefariki leo saa moja asubuhi nyumbani kwake Segerea. Imetangazwa kuwa Marehemu alikuwa akisumbuliwa na Saratani ya Ini kwa muda mrefu na alishawahi kupelekwa India kutibiwa mara kadhaa. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema.
John Ngayoma - R.I.P Brother!
Hadha Min Fadhil Rhabi - Hizi ni Rehema za Mwenyezi Mungu
Poleni wafiwa na tasnia ya habari Tanzania..Tutakumisi bro!
Fikiria kwa u-makini...!
Hii imo humu saa nyingi.
RIP John Ngyahoma ! Mchango wako ktk tasnia ya habari daima utadumu.
r.i.p mwanahabari na Mtanzania mwenzetu
RIP John Ngahyoma
Mungu aipe familia nguvu na ustahimilivu ktk kipindi hiki kigumu
Daily News halisomwi tandale kwa mtogole - MPOKI
R.I.P J. Ngahyoma, kiukweli jamaa alikuwa fit sana kwenye utangazaji. Sauti yake nilikuwa nikiifananisha na ya Marehemu David Wakati
“If you can not get what you love, then love what you have”
R.I.P John Ngyahoma
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu, na kwake tutarejea. Poleni wafiwa wote kwa ujumla.
Lala salama John Ngahyoma. Poleni familia
Mtangazaji ambaye kweli sauti ilikuwa inavutia.
RIP!
Wars are caused by undefended wealth - Ernest Hemingway, famous American writer
Mtangazaji mahiri sana,namkumbuka sana wakati huo yupo ITV miaka ya 1994 au 1996.RIP Ngayoma!
RIP bwana John N.Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie,apumzike kwa amani.Amina
Follow Us Here