Karibuni,kiingilio vip elfu kumi na kawaida ni elfu tatu:Kwetu pazuuuuuuri....
Karibuni,kiingilio vip elfu kumi na kawaida ni elfu tatu:Kwetu pazuuuuuuri....
Ni katika uwanja wa ccm kirumba
napenda nyimbo zao na mapozi yao sana sana yule aliyeimba kwetu pazuri,..hebu nichukue flight labda naweza kubahatika kupata namba yake ya simu..halafu nasikia wasabato kwa hiyo ofa yangu ya kitimoto niiweke kapuni,na wala hanywi coca cola
duh
Women are not allowed to attend school. You can be jailed for owning a television. A man can be jailed in Afghanistan if his beard is not long enough.George W.Bush,2001
Ambassador of christ,si ndio?
hili tangazo umelilipia au?
"Ni UPENDO tu"
Neema na Upendo wa Bwana wetu Yesu Kristo uwe pamoja nanyi nyote huko Mwanza.
Watoto wazuri sana hawa itabidi nimtafute mmoja wao mpaka nimpate.
wamekuja na passport au wameruka border kama walivyozoea?
Pole umeshachelewa, na mhanga mwenzako ni mpiga solo kwa maana hiyo hachezi mbali na huyo bibie
NDOA YA MACHUNGU - Global Publishers
"A man's or woman's best or worst choice in life is his or her spouse"
Yule Bibie hakuwepo yupo kwenye Fungate...
"A man's or woman's best or worst choice in life is his or her spouse"
Watunge na nyingine sasa....Hii Kwetu Pazuri mwishowe ITABOA......
Sidhani kama itaboa kwani bado tunasikiliza nyimbo za miaka ya nyuma kama nyimbo za Ulyankulu ni kwaya ya siku nyingi lakini nyimbo zake bado zinapendwa. Kikubwa katika muziki wa injili ni ujumbe uliopo sio midundo gitaa linavyopigwa etc. Sikiliza ujumbe utaelewa kwamba sio wimbo utakaokufanya uboreke.
Hata itakuwa kwa kila mtu atakayeliita jina la bwana atampokea roho wa mungu' 'Niiteni nami nitaitika anasema bwana wa majeshi.'
Follow Us Here