Unawakumbuka watuma salamu wa zamani RTD kipindi cha salamu? Kuna jamaa mmoja namkumbuka Chidi Chidi Chitanda alikua hakosekani kipindi cha saa sita mchana. Taja wengine.
Wote mliowataja nimeshawasikia,lakini yote tisa kumi mmemsahau mtuma salamu maarufu sana wa Radio free Afica akijiita Kun`gombe Chacha Werema Sukari Muhiri Obhare na ukipenda unaweza kumuita Muhiri Obhare,muite sasa jina hilo usikie vituko vyake ataitikia dakika nzima Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaa
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaam
UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE . By Simon Kitururu.
Ha ha ha ha!!
Eti walikua wananunu "Postcard" kama moja tu then wanamtafuta mtangazaji wa salaam na kumshikisha kitu kidogo.
Kinachofuata huyo mtangazaji atakua anarudia kuisoma Postcard hiyohiyo kila siku!!!
Follow Us Here