Unawakumbuka watuma salamu wa zamani RTD kipindi cha salamu? Kuna jamaa mmoja namkumbuka Chidi Chidi Chitanda alikua hakosekani kipindi cha saa sita mchana. Taja wengine.
Unawakumbuka watuma salamu wa zamani RTD kipindi cha salamu? Kuna jamaa mmoja namkumbuka Chidi Chidi Chitanda alikua hakosekani kipindi cha saa sita mchana. Taja wengine.
I take it personal with Mafisadi.
Digoa Mohamed Digoa...
mtoto wa vitoto
Kulikuwa pia na Thomas Mushi Kimboka wa hospitali ya kaloleni Arusha. Huyu alishakuwa bingwa wa salamu kanda ya kaskazini.
Nimemkumbuka Ima kulaya, ekangai kulaya na isaya kulaya. Hawa walikuwa ni wa enzi za redio one! Waliimbwa sana kwenye miziki ya dansi
Zacharia ndemfoo wa babati au karatu km sikosei
I don’t know what the key to success is, but the key to failure is trying to please everyone.
- Bill Cosby
Daudi Omary Makuka
Kuna mmoja alikuwa Motel Agip mtumaji sana jina nimelisahau
Walikuwa wakijiita Mabingwa wa Salamu miaka hiyo ya 70 na 80 na sijui waliishia wapi
Nawakumbuka- Zakaria Ndemfoo wa Lake Babati salamu Club, Rashidi Nguruwe wa Sokoni Korogwe, Ezekiel Greyson Mbaga wa Namanga Border Control(maarufu kwa salamu za mpira wa Simba na Yanga), na wengineo.
Mdoe wa arusha sokoni.
Zena Msakuzi
Dereva Abdallah Mgeni
kuambiana s kuambiana
memory lane.... mmenirudisha miaka iyoooooo
ONLY THOSE WHO GO TOO FAR KNOW HOW FAR THEY CAN GO...
Issa Hassan Majeshi
Hahaha nimecheka coz chidichidi chitanda nlikua namskia af nlisahau nimemskia wapi nkawa nadhani mayb nlisoma nae primary...kumbe RTD duh kitambo.
Nnde Mwasandende wa ukonga banana... hiltek
Hassan Marejeta.....duh! wakati umeenda sana.
wengi wao walikuwa toka kusini.yaani lindi na mtwara
Follow Us Here