huyu mheshimiwa nilianza kumsikia kupitia redio fulani ya dini mwaka jana kama sikosei.........
baadae nikamsikia ile redio yenye beef na mbunge...ana kipindi cha weekend tu..sijui wik nzima ndo anakula bata tuu.. hainihusu
juzi kati nimemkuta akisherehesha arusi fulani....nilifurahi mwanzoni lakini baadae sikufurahishwa sana na jinsi alivyoiendesha ile shughuli...............
huwa sipendi kuongea sana..lakini sikupenda alivyokua amejipigilia make-ups na kutinda nyusi..that is one
pia sikupenda alivyokuwa anahandle ile sherehe....its like it was not that too man enough!! nawasilisha mawazo yangu
improve something brah..........unless otherwise stated...![]()

Reply With Quote



Follow Us Here