Ni mwandishi pekee aliyekwenda kwa hiyari yake mwenyewe kutoa ushahidi kwenye tume ya mwakyembe na amekuwa akisakamwa na mafisadi kila kukicha lakini ametoa maisha yake kwa nchi yake
Ni mwandishi pekee aliyekwenda kwa hiyari yake mwenyewe kutoa ushahidi kwenye tume ya mwakyembe na amekuwa akisakamwa na mafisadi kila kukicha lakini ametoa maisha yake kwa nchi yake
"Flaming enthusiasm, backed by horse sense and persistence, is the quality that most frequently makes for success."
Wakuu,
itapendeza zaidi iwapo watu wa MwanaHALISI wataongea na Chama cha Walimu Tanzania na kuhakikisha kuwa kila Mwalimu analipata gazeti bora la MwanaHALISI kila Jumatano kwa kulinunua. Pia ni muhimu wakawa karibu sana na TUCTA na kuwafanya wanachama wao kuwa wateja wao wa kudumu wa MwanaHALISI.
Ukipenda sana hata chongo huita kengeza!
JK kufanya maamuzi mazito, RA kufukuzwa CCM wiki hii. Wiki inapita, hakuna maamuzi mazito wala RA kufukuzwa. Tena hizo zinadaiwa kuwa habari kutoka ndani ya NEC ya CCM! Hakuna wa kumhoji Saidi Kubinua kama imekuwaje hayo maamuzi mazito uliyotuambia kwenye gazeti lako mbona hayakufanyika? Hiki ndiyo kizazi cha jamii aliyoijenga Nyerere kwa kuwa-keep busy kuukimbiza mwenge na kuimba nyimbo za mchakamchaka pamoja na kuitikia miito ya zidumu fikra za Mwenyekiti wa chama... Wanashindwa hata kuhoji vitu vilivyokuwa basic kabisa.
Saidi kubenea ni mfano wa kuigwa kwa waandishi wote tanzania, amekuwa na msimamo na anaamini katika jambo analoliandika, kikubwa zaidi saidi kubenea ni mtaalamu wa habari za kiuchunguzi. Kama udom walipaswa kutoa udakitari basi walipaswa kutoa kwa kubenea. Taifa hili litamkumbuka kwa haya
1. Ameendeleza vita na mafisadi bila kuyumbishwa
2. Pamoja na kumwagiwa tindikali ameendelea na msimamo wake kuonesha media ni muhimili wa nne katika kuleta maendeleo
3. Amekuwa akitoa habari na vielelezo
4. Siyo mnafiki -hasa pale alipowabana wanaojulikana ni vigogo wa nchi hii list of shame aliyotaja dr slaa-ikiwahusisha kikwete, rostam, lowassa, salma na wengineo
5. Alimlipua hamadi rashid kwa kusahau historia yake ya kutoitambua serikali ya zanzibar 1995, 2000, na 2005

6. Anafuata ethics za uandishi na kuelimisha umma

7. Ni mpinaji asiyenunulika

8. Ni mkombozi wa wanyonge

9. Ni mwandishi aliyesema pasipo na haki hakuna amani

10. Ni mwanahabari mwanamapinduzi

11. Ni kiongozi mpambanaji

hongera kubenea na timu yako songa mbele
Kuna ambaye ana CV ya huyu mwandishi wa habari? Nataka kujua, licha ya hulka yake, ni wapi ambapo amepata mafunzo ya kumpa ustadi huo.
Semper fi!
Huyu ni mzalendo halisi
KUBENEA ni mzalendo hasa, system yenyewe inamgwaya, maana kila anachokiandika kina evidence.NAMPA BIG UP SANAAAA!!!
Said ni mmoja wa wapiganaji haswa hili halina upinzani, HONGERA SANA SAIDI
Pamoja na hiyo facts, naamini JF ni sehemu ya great thinkers na ni lazima tuende beyond abstract au book cover...
Ni wakati muafaka sasa kwa kubenea kwenda deeper kwenye challenges zinazohosu mfumo na haswa kwenye grassroot level - mawilayani, mikoani na idara nyingine za serika
Amefanya kazi kubwa sana against Lowassa, sasa ni wakati pia wa kutanua wogo wake na kuangalia madudu mengi yaliyopo kwenye mambo ya ardhi, mawasiliano, afya, kilimo, elimu, nk.
si vibaya Mwanahalisi wakapanua team yao ya wachunguzi na kuweka pia wataalam wa fani mbali mbali kwenye chunguzi zao ili kuzipa mashiko na uhalisisa hasa kwenye technical issues
awe pia analinganisha au kurejea kesi na matukio yafanannayo na aliyofanyia kazi ili kusaidia kutoa mwanga kuhusu solutions na namna ya ku-deal na hayo matatizo
BINAFSI PONGEZI BILA CHANGAMOTO HUDUMAZA, NA IT IS THE RIGHT TIME FOR HIM TO MAKE ANOTHER STEP... SIKOSI GAZETI LAKE NA PIA SIKOSI HABARI ZA LOWASSA HUMO NDANI KILA WAKATI
.....Ana sifa zote, nzuri na mbaya!!!
Nashauri pia aanze kulea vijana ambao kama wataonekana wanaweza mrithi awaachie agombee ubunge kupitia chadema
Big up saed kubenea
This is very true! huyu jamaa hana chembe ya uoga moyoni mwake. He is a real revolutionist na amejitoa kwa hilo!
Cha msingi tu ni kupanua wigo wa mapambano ili pia kufichua uozo uliopo kwenye other staff like health, elimu, ardhi na miundombinu.
keep it up men. God bless ya na akulinde na hila za hao mafisadi wanaojifanya miungu watu...!
Kila siku huwa napenda kujua kama ameamka hai na yu salama.
Manake anaelea kwenye ulimwengu wa vifaru,jaguar,cheetah,sharks na bado anapuyanga
WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.
Nina wasiwasi sana na Saed Kubenea kuwa kwa namna moja au nyingine anatumiwa na kundi fulani la kisiasa maana huwezi kukosa habari za EL kwenye Mwanahalisi never najiuliza sana hivi uoaza upo kwa EL tu naamini upo mwingi sana ila pengine wanaomchimba EL ndio wanaompelekea data!
I'd rather die standing than live kneeling (Che guavara)
Nilikuwa nikimheshimu sana Kubenea, nikimuona kwamba ni mwandishi aliebobea na muadilifu lakini baada ya kumfuatilia maandiko yake kadhaa niligundua kwamba hana tofauti na waandishi wengine, naye pia anaangalia TONGE lake liko wapi!? YAWEZEKANA AKAWA VILE WANAVYODHANI WENGI NA KINYUME NA VILE NINAVYOMDHANI... Kwa hakika Saidi ni mbomoaji na wala sio mjengaji. Hapana muda ukweli utajulikana AKISHASHIBA.. ama wale wanaomlisha wakitindikiwa!
MUDA Utaamua!
"...If crime fighters fight crime and fire fighters fight fire, what do freedom fighters fight?"
Follow Us Here