JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Shigongo: Chanzo cha kuharibika kwa vijana?

  Report Post
  Page 7 of 23 FirstFirst ... 56789 17 ... LastLast
  Results 121 to 140 of 444
  1. Maxence Melo's Avatar
   JF Founder Array
   Join Date : 10th February 2006
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 3,033
   Rep Power : 100000
   Likes Received
   1705
   Likes Given
   2974

   Default Shigongo: Chanzo cha kuharibika kwa vijana?

   Kuna malalamiko mengi kuwa vijana wamebadilika sana kitabia hadi familia zinashindwa kuelewana kutokana na vyanzo mbalimbali vya sababu hizo.

   Mojawapo ya vyanzo hivi ni Global Publishers ambayo ni kampuni ya Bwana Eric Shigongo. Kumradhi si kama namwandama ila nataka aujue ukweli wa mambo.

   Hali ya malalamiko ya watu iko hivi:

   Vijana wengi wa shule hawana jadi ya kusoma tena vitabu vya kujielimisha na badala yake wamelalia kwenye habari za udaku. Hili si kosa la vyombo vya Bwana Shigongo; ni kosa la jamii kutowaelewesha vijana wao lipi jema ama baya.

   Wanafunzi wengi hawasomi tena NOVEL badala yake wamekuwa wateja wazuri wa magazeti ya udaku ili kusoma "Hadithi za Shigongo". Naamini kupitia vijana hawa Bwana Shigongo ana-make kisawasawa! Hii si kwa vijana wa shule tu bali hadi wake zetu wengine badala ya kununua gazeti la habari za kutu-keep updated wananunua magazeti ya udaku tuuu!

   Shigongo anawezaje kubadili hii hali?

   Kuna siku nimeoneshwa gazeti mojawapo (nadhani Ijumaa kama sikosei); si kwa interest ya kujua kuna nini bali kutokana na kitendo chake cha kuweka tangazo la kuwakumbusha watanzania kuwa 'Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya zao'

   Kwa kuwa aliweza kufanya hivyo naamini basi anaweza kuongeza ka-tangazo ka-doogo bure kanakowashawishi vijana wajisomee vitabu vya kuweza kuwainua akili zao baada ya kusoma hadithi zake 'tamu' haswa vya kiingereza na vile vya kuwapanua upeo wao wa kufikiria na vya kuikuza lugha yetu adhimu ya kiswahili.

   Tupo pamoja???
   Candid Scope likes this.
   I may not agree with what you have to say, but I'll defend to the death your right to say it!


  2. Zogwale's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th July 2008
   Posts : 10,586
   Rep Power : 201427362
   Likes Received
   2948
   Likes Given
   1322

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Who is this rat called Eric Shigongo? Who is this pity latrine, with horrible smell that weakens the culture of our kids? Who is this python, who has swallen the credibility of innocent people in Tz. He has attacked so many personalities in Tz just for a pay, kashilingi, kathumuni. A low class Eric Shigongo!!!!

   Hivi walivyolifungia mwanahalisi walikuwa wanawaza nini? Au ni kwa vile wenye pesa ndo walikazana lifungwe???

   Hivi hawa wabunge na viongozi wengine hawaoni yanayoandikwa ndani ya magazeti ya udaku ya paka shume Shigongo??? Yaani uongozi wa tz unataka kutuambia hauoni jinsi gani magazeti ya huyu mwehu yameharibu maadili kwa watoto wetu? Ukipita jirani na vibanda vya wauza magazeti unaona wanafunzi wanakodolea magazeti ya udaki macho, wenye uwezo huyanunua na kuingia nayo darasani na yanazunguka darasa zima, masomo hapo hakuna tena.

   Hivi hakuna mtu anaweza kumzima huyu jamaa??? Ulia mbali kabisa. Mbona wamekufa watu muhimi kama Chacha Wangwe, mzee wetu J.K. Nyerere still life goes on japo kwa shida sana maana tumeshauza uhuru na rasilimali!! Kwani huyu Eric akipotea itakuwa issue. After all he does not have a constructive role rather a distructive role to the society.

  3. AmaniGK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th January 2008
   Location : MAHALI FLANI
   Posts : 1,104
   Rep Power : 919
   Likes Received
   223
   Likes Given
   304

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Huyu jamaa huwa ananifurahisha pale anapokua anatoa mihadhara kwa uchungu kama mjasiriamali aliejikomboa.Jamaa hua akitoa speech zake za kuwa inspire vijana anakuaga too emotional nusura awalize watu pale UDSM miaka miwili nyuma.

   all in all wokovu sio kitu kirahisi kama wengi wanavyodhani na kama huu ndio wokovu basi kila mtu ataionja mbingu.... Huu... Huu nido wokovu?? walahi kama ndio hivyo basi kila mtu atakua kaokoka!!!!
   He who wants to keep his garden tidy doesn't reserve a plot for weeds

  4. MmasaiHalisi's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th January 2009
   Posts : 192
   Rep Power : 684
   Likes Received
   12
   Likes Given
   0

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   mimi naomba kuuliza hivi serikali kwa nini isipandishe kodi ya magazeti ya udaku,maana haya magazeti yanaharibu maadili ya watoto wetu,yanaandika mambo ya kijinga na kipuuzi,hata kama huyo dada ni mhuni Shigongo kina mkera nini?mbona yeye anatembea na dada mmoja wa UDSM na tumekaa kimya au yeye ndiye mwenye haki,halafu wewe waziri Masha na Magai acheni ujinga kutumia magazeti ya huyo ibilisi kutishia watu maisha

  5. Mlalahoi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st August 2006
   Location : London, UK
   Posts : 2,051
   Rep Power : 1589
   Likes Received
   319
   Likes Given
   172

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Quote By Balantanda View Post
   Shigongo anatumiwa na nani?,binafsi si kwamba namtetea Shigongo,yeye ni mmiliki wa GPL,ni mfanyabiashara na kuna waandishi aliowaajiri (japo hata yeye huandika baadhi ya makala na Hadithi),tatizo mi naona lipo kwa waandishi wake zaidi ambao kama wangeweza kufuata misingi sahihi ya uandishi wa habari,wasingekuwa wanakubaliana na upuuzi huu,lakini kwa vile most of waandishi siku hizi ni wale wanaoitwa Makanjanja tusitegemee mabadiliko hata kidogo,yanayofanywa na magazeti ya GPL kwa sasa hayana tofauti na yale yanayofanywa na magazeti ya IPP,Habari corporation,Tazama,Taifa Tanzania n.k,kwa kifupi sekta ya habari Tanzania imevamiwa,ndio maana yanatokea haya ya akina Mange Vs Shigongo
   Kaka,

   Tatizo sio waandishi bali MMILIKI.Kwani Shigongo akiamua waandishi wake wafuate maadili WATAGOMA?Kama inawezekana kwa majarida kama RAIA MWEMA na MWANAHALISI (wamiliki wake pia ni wafanyabiashara) kwanini isiwezekana GPL?

   Shigongo sio tu sehemu ya uhuni wa GPL bali ndio source.Ni consent yake inayowawezesha waandishi (waajiriwa) wake kuandika watakacho!Kufanya biashara sio excuse ya kukiuka maadili

  6. MwanaHaki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2006
   Posts : 2,252
   Rep Power : 85933869
   Likes Received
   569
   Likes Given
   459

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Kila mtu anaujua ufisadi na unafiki wa huyu "mlokole" Shigongo. Mimi najiuliza, ni mlokole gani anayewalipa watu kuchapisha picha za ngono kwenye mtandao wa Intaneti (read ************) au kuandika habari za udaku, kila siku huyu kafumaniwa pale, yule kafumaniwa pale. Huo ndio ulokole?

   Endelea tu, Eric, lakini siku zako zinahesabika! Hunitishi hata mimi!

   ./Mwana wa Haki
   Speaking Openly, without fear!


  7. Oloronyo's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th March 2009
   Posts : 79
   Rep Power : 651
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Kuna tetesi kuwa Erick James Shigongo atakuwepo katika kinyang'anyiro cha ubunge 2010! Tayari kule jimboni kwake na maeneo yanayomzunguka yeye ni HOUSE HOLD name kwa kuanzisha kombe lake la Kandanda na michezo mingine.Haya tusubiri tuone aweza kuwa waziri wetu wa habari katika kipindi cha lala salama cha JK.

   Waziri wa habari na michezo Bw.Erick James Shigongo. tunakusubiri unyooshe taifa uliloliharibu SHAME ON U!

  8. Narumba's Avatar
   Member Array
   Join Date : 11th January 2009
   Posts : 34
   Rep Power : 653
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   jamani msimseme SHIGONGO, Kkila mtu ana uhuru wa kufanya kitu anachotaka.Haijarishi kama mlokole au vp. KUMBUKA mlokole naye ni binadamu kama wengine.

  9. MyTanzania's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 9th September 2008
   Posts : 105
   Rep Power : 686
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Quote By narumba View Post
   jamani msimseme SHIGONGO, Kkila mtu ana uhuru wa kufanya kitu anachotaka.Haijarishi kama mlokole au vp. KUMBUKA mlokole naye ni binadamu kama wengine.
   Nani kakuambia kila mtu ana uhuru huo? Uhuru wako unaishia mahali haki ya mwingine inapoanzia. Hakuna mtu mwenye uhuru wa kuingilia mambo binafsi ya mwingine.
   Unatakiwa kuwa huru lakini usiingilie uhuru wa wengine. Shigongo yeye ni nani mpaka aingilie uhuru wa watu kiasi kile?
   His days are numbered!! HAkuna anayeweza kuvunja sheria na kuingilia uhuru wa watu milele. Itafika siku yake ataingia pabaya ndipo atakapojua.

  10. Isaac's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th January 2009
   Location : Omnipotent
   Posts : 502
   Rep Power : 748
   Likes Received
   31
   Likes Given
   8

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Habari wanajamii!Sipendi kusema hivi lakini ninahisi huyu bwana Erick ni kama muhudumu wa kuzimu.Anachofanya yeye ni kupotosha watu kwa kutumia magazeti yake.Pia ni mchonganishi mzuri sana.Hebu tazama alivyomchafua huyo mwanamke.Kama uisilamu ni mavazi wangapi wanavaa mavazi ya aibu?Mimi si mwisilamu na sijawahi kufikiria kuokoka kwa sababu matendo ya watu kama Shigongo yananikwaza sana.Sipendi kabisa unafiki wa kutumia dini kama kivuli cha kufanyia maovu.Nilitegemea magazeti yake yangekuwa namba 1 kukemea maovu hasa unyanyasaji wa wanawake.Hivi,huyu mwanamke naye hajui haki zake?Kama anayodai ni ukweli basi amshitaki huyu fisadi wa habari.Kama maelezo yake ni ya uongo basi amtake Erick radhi na asubiri kesi yake.

  11. WomanOfSubstance's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th May 2008
   Posts : 5,480
   Rep Power : 85964243
   Likes Received
   791
   Likes Given
   721

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Quote By mtimti View Post
   Shigongo sio kama MENGI au RA,yeye ni mmiliki wa magazeti na mwandishi wa magazeti yake,hilo halina ubishi na nna hakika nalo.shigongo ameshawahi kumtafuta sana kwenye simu demu mmoja alishawahi kuwa miss ili aongee nae kwa sababu walipata picha zake za utupu,alishindwa kuongea na yule miss kwa kuwa hakuwa na namba yake ya simu akafanikiwa kuongea na boyfriend wake lakini jamaa aliposikia aliempigia anaitwa shigongo akamyeyusha kwa kumwambia ampigie baadae,hakumpata tena....kilichotokea ni gazeti la shigongo(amani) likaandika kuwa yule miss ni malaya na anajiuza arusha,yule miss akawapeleka mahakama kuu kuwadai mamilioni kwa kumchafua,amini usiamini kuwa shigongo alikuwa anaenda pale mahakamani na akamwomba sana yule miss ili wayamalize na mwisho wake alimlipa yule miss million kadhaa ndio ikawa mwisho wa ile kesi....unaujua mkwara wa shigongo?..huwa anadai MANUMBA ni mtu wao toka enzi hizo akiwa chini ya ADADI hivyo hawana wasi.
   Kuna msemo kuwa " opportunity makes the thief"!Sasa hao wanaopiga picha za utupu nao..hawaoni wanajitengenezea mazingira ya kuwa blackmailed?..kama hizo picha chafu hakuna, huyo Shigongo angemtafutia nini?

   Pamoja na kumlaumu huyu Shigongo, basi na mienendo yetu tujiulize ni sahihi mbele ya jamii?
   Educating the mind without educating the heart is no education at all.... Aristotle  12. Fundi Mchundo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th November 2007
   Posts : 4,719
   Rep Power : 2870
   Likes Received
   414
   Likes Given
   284

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Quote By WomenofSubstanc View Post
   Kuna msemo kuwa " opportunity makes the thief"!Sasa hao wanaopiga picha za utupu nao..hawaoni wanajitengenezea mazingira ya kuwa blackmailed?..kama hizo picha chafu hakuna, huyo Shigongo angemtafutia nini?

   Pamoja na kumlaumu huyu Shigongo, basi na mienendo yetu tujiulize ni sahihi mbele ya jamii?
   WoS. Si picha zote za utupu zinapigwa kwa ajili ya public consumption. Wengine wakizama katika mapenzi na mwenzie akiomba picha yake ili amkumbuke akiwa mbali naye basi wanashindwa kukataa. Nyingine zinapigwa bila wahusika kujua. Huu wakati wa kamera kwenye simu na digital cameras bila shaka nafasi ya kufanya hivyo hujitokeza baina ya wapenzi wawili. Nyingine ni kuwa kwetu sisi binti akivaa bikini nayo tunaita utupu na inatosha kumharibia jina! Si kila wakati victims wanakuwa na makosa. Cha muhimu nionavyo mimi ni kukataa mtu kutumia picha ya mwingine ya aina yeyote bila hiari yake. Huo ni unyanyasaji na dhulma na haustahili kuungwa mkono. Hata kama aliyepigwa picha ni changu wa mtaa wa Ohio au Jolly Club! Utu wake haubadiliki kutokana na kazi na nafasi yake katika jamii.

   Amandla......

  13. Msanii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2007
   Posts : 6,447
   Rep Power : 2094
   Likes Received
   428
   Likes Given
   822

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Quote By Invisible View Post
   Huwa siangalii sana issues za huku lakini hii imeniingia sana kichwani.

   Nimeyakumbuka mambo mengi ya bwana Eric Shigongo.

   Huyu aliyeandika hii habari ameandika mwa machungu na kwa kuuandika ukweli wake tena kwa hasira (nahisi) maana kuna maneno yameingia kwenye chekecheo la JF yakatupiliwa mbali na kuacha nyote tu.

   Eric anaonekana kuhaha kumtafuta wa kumgeuzia kibao aonekane hayupo nyuma ya mtandao ambao wengi wanauona kuwa chanzo cha kuchafuana.

   Serikali yetu nayo inambeba SANA huyu blackmailer na ndivyo hivi anavyoigeuza sekta ya habari za udaku kuwa ya kuchafuana badala ya kuandika ukweli wa mambo.

   Ni wengi ambao wameonewa na Eric kwa habari ambazo anakuwa hajazifanyia uchunguzi wa kina.

   Eric ana tabia ya kupigia simu watu na kuwatisha kama alivyomfanyia mama huyu.

   Nasikia kaokoka, siamini HATA CHEMBE kwakuwa baadhi ya info nilizo nazo nikiziunganisha siamini kama anaweza kusimama na kudai kaokoka! Ule mtandao wake ambao ameamua kukaa kando na kuwatumia wengine huku akitafuta mtu wa kumgeuzia kibao nao unanifanya nisiamini kauanzisha kupinga ufisadi wa ngono! Hapana, mara zote mtu aliyeokoka angeanika ukweli wa jambo, aliainishe kinagaubaga na kuwakanya watu dhidi ya matumizi ya maneno machafu.

   Siungi mkono hata chembe ufisadi wa ngono lakini vilevile siungi mkono uchafuaji wa watu kwa kisingizio ambacho proof yake haipo katika mahusiano yao. Hakuna kitu kibaya kama kucheza na ndoa za watu ama mahusiano yao.

   Inasikitisha, lakini Eric bado ana nafasi ya kubadilika. Akitaka anaweza!

   Alianzia kwenye server yangu hivyo hawezi kunidanganya kitu!
   ...Mkuu
   Shigongo ni chariot chasser si lolote. Na ninatahadharisha ni soon mafia to be.
   pamoja na kuwachafua watu pia karibu mali zake nyingi hasa majumba ameyapata kwa kuwadhulumu watu.... Mkimuita Eric ni mlokole ni kumtukana Mungu.
   Liyumba ni fuska ila shigongo ni mlawiti wa watoto wa kike. anawapangia nyumba na kuwaingilia kinyume na maumbile. Nyumba yake inawaka moto maana mkewe ni mtulivu ila ameshaanza kuchoshwa na tabia ya mumewe.

   Kwa sentesi nyingine ni kwamba anafanya kazi idara moja na shetani. Roho ya Mpinga Kristo inafanya kazi ndani yake.

   Magazeti mengi aliyonayo ukitoa UWAZI ameyanunua ya washindani wake wa kibiashara baada ya kuwafanyia umafia (aliojifunzia CCM) na kuyaua. Ukitaka ushahidi fuatilia chanzo cha majarida yake ya Risasi, Ijumaa n.k.
   Mnataka niseme zaidi?.......
   Katiba mpya ituletee Taasisi imara na si viongozi imara- Msanii
   [email protected]

  14. Msanii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2007
   Posts : 6,447
   Rep Power : 2094
   Likes Received
   428
   Likes Given
   822

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Pia napenda kumhakikishia MANGE kuwa anaweza hata kuamua kumshitaki Shigongo na magazeti yake kwa kukiuka sheria ya haki miliki. I mean kama alitumia picha zake bila ridhaa yake kimaandishi ni kosa ambalo linaweza kusababisha kulipa na kufutwa au kuharibiwa kwa mitambo na zana zote zilizotumia kufanya uhalifu huo.
   Kama MANGE ana nia ya dhati naweza kumpa maelekezo cha kufanya ili atetee haki na utu wake. Kwani hawa kina shigongo hawatakoma kwa kuwa watu hawajui haki zao....

   ..Kama akitaka lakini...
   Katiba mpya ituletee Taasisi imara na si viongozi imara- Msanii
   [email protected]

  15. MwanajamiiOne's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 24th July 2008
   Location : On My Seat
   Posts : 10,434
   Rep Power : 201426645
   Likes Received
   6392
   Likes Given
   5730

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Quote By Msanii View Post
   ...Mkuu
   Shigongo ni chariot chasser si lolote. Na ninatahadharisha ni soon mafia to be.
   pamoja na kuwachafua watu pia karibu mali zake nyingi hasa majumba ameyapata kwa kuwadhulumu watu.... Mkimuita Eric ni mlokole ni kumtukana Mungu.
   Liyumba ni fuska ila shigongo ni mlawiti wa watoto wa kike. anawapangia nyumba na kuwaingilia kinyume na maumbile. Nyumba yake inawaka moto maana mkewe ni mtulivu ila ameshaanza kuchoshwa na tabia ya mumewe.

   Kwa sentesi nyingine ni kwamba anafanya kazi idara moja na shetani. Roho ya Mpinga Kristo inafanya kazi ndani yake.

   Magazeti mengi aliyonayo ukitoa UWAZI ameyanunua ya washindani wake wa kibiashara baada ya kuwafanyia umafia (aliojifunzia CCM) na kuyaua. Ukitaka ushahidi fuatilia chanzo cha majarida yake ya Risasi, Ijumaa n.k.
   Mnataka niseme zaidi?.......
   Duh e bana eee ina maana hata Jokate keshamharibu maana si nilisikia alikuwa demu wake?

   Shigongo ona aibu mwanaume wewe utakuwa kuni wewe shauri yako
   Serebuka unaweza pendwa tena, serebuka unaweza penda tena - Mwasiti, 2014

  16. Nahene's Avatar
   Member Array
   Join Date : 18th February 2008
   Posts : 31
   Rep Power : 700
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Quote By WomenofSubstanc View Post
   Pamoja na kumlaumu huyu Shigongo, basi na mienendo yetu tujiulize ni sahihi mbele ya jami[/COLOR]?
   Naam WoB, Kama anaandika uzushi wampeleka mahakamani lakini kama ana evidence sasa twamlaumu kwa kitu gani?, turekebishe mienendo yetu tuone ataandika nini, usipofanya hivyo tutaendelea kumpa ulaji.

   Yale yale, ya kuwapigia kelele ma-CD wakati wateja ni wao wenyewe, Wanaume wakibadili tabia, wale wadada si watakosa soko eventually biashara itafungwa. Hivyo hivyo kwa ES ni kubadili tabia na magazeti yatakosa cha kuandika hatimaye b'ra kufungwa.


   Ulokole wake usijekuwa kipingamizi cha kutokuibua maovu,nafikiri anaisaidia jamii ijirekebishe na uonyesha jamii matendo maovu yafanywayo na baadhi ya wa-Tz.

  17. Msanii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2007
   Posts : 6,447
   Rep Power : 2094
   Likes Received
   428
   Likes Given
   822

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Quote By Nahene View Post
   Naam WoB, Kama anaandika uzushi wampeleka mahakamani lakini kama ana evidence sasa twamlaumu kwa kitu gani?, turekebishe mienendo yetu tuone ataandika nini, usipofanya hivyo tutaendelea kumpa ulaji.

   Yale yale, ya kuwapigia kelele ma-CD wakati wateja ni wao wenyewe, Wanaume wakibadili tabia, wale wadada si watakosa soko eventually biashara itafungwa. Hivyo hivyo kwa ES ni kubadili tabia na magazeti yatakosa cha kuandika hatimaye b'ra kufungwa.


   Ulokole wake usijekuwa kipingamizi cha kutokuibua maovu,nafikiri anaisaidia jamii ijirekebishe na uonyesha jamii matendo maovu yafanywayo na baadhi ya wa-Tz.
   ...naona unafanya kazi nzuri kama ulivyotumwa....
   Katiba mpya ituletee Taasisi imara na si viongozi imara- Msanii
   [email protected]

  18. Msanii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2007
   Posts : 6,447
   Rep Power : 2094
   Likes Received
   428
   Likes Given
   822

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Quote By MwanajamiiOne View Post
   Duh e bana eee ina maana hata Jokate keshamharibu maana si nilisikia alikuwa demu wake?

   Shigongo ona aibu mwanaume wewe utakuwa kuni wewe shauri yako
   ...mkuu unajua sisi tumeshikia bango ufisadi dhidi ya rasilimali ila kuna mafisadi halisi kwa maana ya kamusi ambao ni aina ya shigongo na wenzake.
   Dawa ya mtu mbabe ni kumzomea kila aendako ndipo adabu ataitafuta yeye mwenyewe.

   Jamaa ni noma nadhani hata shetani atampandisha cheo hivi karibuni
   Katiba mpya ituletee Taasisi imara na si viongozi imara- Msanii
   [email protected]

  19. Nahene's Avatar
   Member Array
   Join Date : 18th February 2008
   Posts : 31
   Rep Power : 700
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Quote By Fundi Mchundo View Post
   WoS. Si picha zote za utupu zinapigwa kwa ajili ya public consumption. Wengine wakizama katika mapenzi na mwenzie akiomba picha yake ili amkumbuke akiwa mbali naye basi wanashindwa kukataa. Nyingine zinapigwa bila wahusika kujua. Huu wakati wa kamera kwenye simu na digital cameras bila shaka nafasi ya kufanya hivyo hujitokeza baina ya wapenzi wawili. Nyingine ni kuwa kwetu sisi binti akivaa bikini nayo tunaita utupu na inatosha kumharibia jina! Si kila wakati victims wanakuwa na makosa. Cha muhimu nionavyo mimi ni kukataa mtu kutumia picha ya mwingine ya aina yeyote bila hiari yake. Huo ni unyanyasaji na dhulma na haustahili kuungwa mkono. Hata kama aliyepigwa picha ni changu wa mtaa wa Ohio au Jolly Club! Utu wake haubadiliki kutokana na kazi na nafasi yake katika jamii.

   Amandla......
   FM, Hizo picha za utupu zinamfikaje ES kama sio sisi wenyewe kuzipeleka aidha kwa malipo ili ES aandike story au upande mmoja pindi wanapokosana ili kumdahalilisha wenzie.
   Picha nyinginezo nakuunga mkono, apate ridhaa ya muhusika.

  20. Raia Fulani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2009
   Posts : 10,013
   Rep Power : 2893
   Likes Received
   1541
   Likes Given
   998

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   tatizo mnatetea sana haya mambo yanayofanywa na hawa dada zetu. kama vipi wekeni bayana mwanzo wa bifu tujue moja kwani tunasikia mara mange, mara shigongo, mara magai... akianika upuuzi wao mi naona shwari tu!! ngoja niendelee kuuchapa
   Beware of a sucker punch

  21. Nahene's Avatar
   Member Array
   Join Date : 18th February 2008
   Posts : 31
   Rep Power : 700
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Mnafiki Erick Shigongo!

   Quote By Msanii View Post
   ...naona unafanya kazi nzuri kama ulivyotumwa....
   Ahhaaa yamekuwa hayo tena,


  Page 7 of 23 FirstFirst ... 5678917 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Kitendawili cha kuharibika kwa mimba!
   By vukani in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 8
   Last Post: 24th October 2011, 19:32
  2. Nini chanzo cha mama watu wazima kupenda vijana wadogo?
   By hengo in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 125
   Last Post: 8th August 2011, 23:57
  3. Hivi kura 9 za wabunge kuharibika ina maana gani?
   By Gsana in forum Uchaguzi Tanzania
   Replies: 16
   Last Post: 14th November 2010, 15:49
  4. Unajua kwa nini kura nyingi zimedaiwa kuharibika?
   By remoteattacks in forum Uchaguzi Tanzania
   Replies: 1
   Last Post: 5th November 2010, 21:33

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...