JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 48
  1. youngforeva's Avatar
   Member Array
   Join Date : 26th April 2011
   Posts : 25
   Rep Power : 545
   Likes Received
   1
   Likes Given
   2

   Default Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

   jamani mi namhurumia sana aunty ezekiel alipopigwa marufuku kushiriki movie za kibongo na wenye mamlaka hiyo...jamani sasa huko ndio mtu anakotegemea kula na kuishi,,sasa wanadhani ataishi vipi na hayo maisha atayaendesha vipi,,akiwa malaya tena wataanza kumlaumu,,mi naona siyo haki bana wamuache aendelee maana hata hao waliomsimamisha wenyewe ndiyo wachafu kuliko sema kwa vile tu sio maarufu wangekuwa wa kwanza kusimamishwa,,maana tuna skendo zao kibao ila tumezitunza tu
   peace forever


  2. youngforeva's Avatar
   Member Array
   Join Date : 26th April 2011
   Posts : 25
   Rep Power : 545
   Likes Received
   1
   Likes Given
   2

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

   Quote By feis buku View Post
   umbea tu!
   we nae ingia tu hapo baharini uweze kuoga maana umbea ulikuwepo tangu mwanzo ila sisi ytunauendelza tena we nahisi ungekuwa msanii wa bongomovie usingeuza hata movie moja maana unaonekana una roho mbaya kama ya paka mwenzenu kufungungiwa umefurahiiiiiiiiiiiiiiii,,,hay a igiza we tukuone
   peace forever

  3. Baba_Enock's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2008
   Location : "On-board MH370"
   Posts : 6,667
   Rep Power : 2201
   Likes Received
   1657
   Likes Given
   1914

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

   Bongo Movi ni NINI?

   Aunt Ezekiel ni NANI?

   "
   Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema. "

  4. only83's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2010
   Location : Dodoma-Mjengoni
   Posts : 4,964
   Rep Power : 10515
   Likes Received
   1980
   Likes Given
   1983

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

   Quote By youngforeva View Post
   Aunt alifungiwa na viongozi wa Bongo Movie kushiriki katika filamu kwa miezi minne,,,eti kisa kikidaiwa ni nyodo na mengine yaliyo nyuma ya pazia...mbona kuna watu kibao wakorofi kuliko aunty au hawawaoni
   Sipendi matendo ya huyu mwanamke...lakini sioni mantiki ya kumfungia,kwanza hiyo Bongo Movies ndio mamlaka gani? Maana ndio naisikia kwako mkuu,imeanzishwa kwa sheria ipi? Isije ikawa wahuni fulani wamejikusanya wakatengeneza uharo huu.........
   "Wasio na elimu takribani 77% ndio wanaongoza kumpenda JK na CCM (Afrobarometa, 2013)"  5. mwacheni77's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 727
   Rep Power : 692
   Likes Received
   135
   Likes Given
   1

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

   Picture plse!

  6. Jeji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th June 2011
   Location : hapa hapa
   Posts : 1,982
   Rep Power : 26199
   Likes Received
   347
   Likes Given
   466

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

   kwani wamemuona yeye tu? mbona kama ni nyodo wengi wanazo.
   "BOSI HANUNIWI"


  7. TANMO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Tanzagiza
   Posts : 8,728
   Rep Power : 15037363
   Likes Received
   3975
   Likes Given
   5014

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

   Eti ana nyodo??
   Hawa Jamaa wapuuzi kweli, nyodo za mtu wao zinawahusu nini?
   Wamenikera sana kumfungia Aunt, ana haki ya kuwa na nyodo mtoto,, hawa washamba wivu tu unawasumbua!
   Do Something......

  8. Husninyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2010
   Posts : 23,292
   Rep Power : 344358670
   Likes Received
   8325
   Likes Given
   5194

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

   Dah! Mi aunt ezekiel tu ndio namkubali. Hizo mamlaka ziache kuingilia maisha binafsi

  9. TANMO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Tanzagiza
   Posts : 8,728
   Rep Power : 15037363
   Likes Received
   3975
   Likes Given
   5014

   Default

   Quote By Husninyo View Post
   Dah! Mi aunt ezekiel tu ndio namkubali. Hizo mamlaka ziache kuingilia maisha binafsi
   kumbe na wewe unajua kuchagua wa kuwakubali!! Mi naona hawa majamaa self esteem yao ina utata ndo maana wanajihami dhidi ya yeyote mwenye konfidensi kuwazidi, wanabaki kusingizia eti nyodo...

  10. Son of Alaska's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd June 2008
   Location : london
   Posts : 2,828
   Rep Power : 1256
   Likes Received
   844
   Likes Given
   337

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo


  11. Son of Alaska's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd June 2008
   Location : london
   Posts : 2,828
   Rep Power : 1256
   Likes Received
   844
   Likes Given
   337

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo


  12. Son of Alaska's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd June 2008
   Location : london
   Posts : 2,828
   Rep Power : 1256
   Likes Received
   844
   Likes Given
   337

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

   [IMG]http://api.ning.com/files/y3NUyQyS1I8OBhlv83dOgS7rel2YBv BF8FfHQONeg-qw2--fxeaSWo*XiJ940nb0Tz-rJuofAxueANQkKsLyrXt9Han9EesN/AuntEzekiel2.jpg?width=337[/IMG]

  13. Husninyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2010
   Posts : 23,292
   Rep Power : 344358670
   Likes Received
   8325
   Likes Given
   5194

   Default

   Quote By TANMO View Post
   kumbe na wewe unajua kuchagua wa kuwakubali!!
   hahahahaha! Haya bana..

  14. NusuMutu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th September 2011
   Location : Mpulungu
   Posts : 423
   Rep Power : 602
   Likes Received
   81
   Likes Given
   25

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

   youngnoteva,hujamtendea haki antiezekiel.kumbe unaskendo kbao za watu hao na umeztia chini ya godoro? Lazma utakuwa ulikuwa midomen(unanufaika nazo).usitunze uovu kwa sababu tu haujagusa maslahi yako au ya wale uwapendao

  15. Husninyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2010
   Posts : 23,292
   Rep Power : 344358670
   Likes Received
   8325
   Likes Given
   5194

   Default

   Quote By youngforeva View Post
   Aunt alifungiwa na viongozi wa Bongo Movie kushiriki katika filamu kwa miezi minne,,,eti kisa kikidaiwa ni nyodo na mengine yaliyo nyuma ya pazia...mbona kuna watu kibao wakorofi kuliko aunty au hawawaoni
   kumbe miezi minne tu!

  16. FaizaFoxy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th April 2011
   Posts : 43,227
   Rep Power : 373672709
   Likes Received
   22066
   Likes Given
   16966

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

   Quote By Preta View Post
   kapigwa stop kwa 7bu gani?
   Preta darling, sikutegemea kama na wewe utakuwa katika mkumbo wa kuchafuwa lugha, tazama avatar yako ilivyokuwa neat. Please.
   Maajabu ya Tanzania, DJ wa klabu ya usiku anasafisha dhambi na kuweza kumfanya
   "shetani kuwa Malaika".
   Pedagogic at Heart

  17. Savimbi Jr's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd September 2011
   Posts : 1,050
   Rep Power : 729
   Likes Received
   314
   Likes Given
   7

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

   Quote By feis buku View Post
   umbea tu!
   feis buku,nimekuzimia ni PM ule maisha

  18. Mamushka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2010
   Posts : 1,614
   Rep Power : 924
   Likes Received
   91
   Likes Given
   141

   Default

   Quote By Jason bourne View Post
   Hiyo bongo movie ni nini? Ina mamlaka gani?
   Ipo kwa sheria ipi? Ipo chini ya wizara gani? Nani ana iongoza? Imeanza lini? Ina miliki nini?

   Mbona mnanichefua hamjui kuwa ccm washatuuzi jamani?
   Jason punguza hasira kaka lol.

  19. kichomiz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th February 2011
   Location : Nkyamba
   Posts : 7,044
   Rep Power : 538758
   Likes Received
   1338
   Likes Given
   201

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

   Mleta mada sasa umekuja kutueleza ili tuandamane kumtetea? Tukawachimbe bit wahusika?tumtafutie kazi au?

  20. kichomiz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th February 2011
   Location : Nkyamba
   Posts : 7,044
   Rep Power : 538758
   Likes Received
   1338
   Likes Given
   201

   Default

   Quote By Son of Alaska View Post
   Kumbe ni huyu acha ale ban hata ya maisha,kijana mtetezi una maslahi nae huyu nini?

  21. Edward Teller's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Location : Area 51
   Posts : 3,628
   Rep Power : 1291
   Likes Received
   613
   Likes Given
   692

   Default Re: Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

   naomba kwanza kumfaham kiongozi wa bongo movie
   “Talk slowly but think quickly”


  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Similar Topics

  1. Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee
   By TANMO in forum Celebrities Forum
   Replies: 227
   Last Post: 13th August 2013, 13:10
  2. Paja la aunt ezekiel..
   By ZIPOMPAPOMPA in forum Jamii Photos
   Replies: 34
   Last Post: 5th January 2011, 12:42
  3. Aunt Ezekiel kusomewa albadil
   By MziziMkavu in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
   Replies: 19
   Last Post: 1st February 2010, 04:01
  4. Aunt Ezekiel!
   By eRRy in forum Celebrities Forum
   Replies: 27
   Last Post: 25th November 2009, 12:02

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...