Show/Hide This

Topic: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

Report Post
Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
Results 21 to 40 of 41
1. issenye's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 2nd February 2011
Posts : 287
Rep Power : 574
Likes Received
149
Likes Given
1

Default Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

Na Erick Evarist
Prodyuza ambaye pia ni msanii anayefanya vizuri kunako gemu la muziki wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ (pichani) amefunguka kuwa, yeye si shoga ila kazi yake ndiyo inamfanya awe kama alivyo.

Akizungumza na na Ijumaa juzikati maeneo ya Magomeni jijini Dar es Salaam, Bob Junior alisema kuwa, baadhi ya watu wamekuwa wakimtafsiri tofauti kutokana na muonekano wake bila kujua kuwa, usanii ndiyo chanzo.

Alisema kuwa, yeye ni mwanaume kamili na watu wasiende mbali katika kujadili muonekano wake na kumuingiza kwenye ushoga bali watathmini burudani anayotoa.

“Watu wanashindwa kuelewa kama usanii ni kazi kama zilivyo kazi nyingine, lazima mtu uwe tofauti kuanzia muonekano, mavazi na hata staili yako ya kutoa burudani kwa mashabiki, kama ni shoga mbona hata leo tu nilikuwa na baby wangu?” alisema Bob Junior.

Hivi karibuni gazeti dada na hili (Risasi Jumamosi) liliripoti kuwa, Bob Junior alibambwa maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam nyumbani kwa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian lakini wawili hao walipohojiwa hawakuweka wazi uhusiano wao licha ya huko nyuma kudaiwa kutoka kimapenzi.

2. igwe sr.'s Avatar
Member Array
Join Date : 26th June 2011
Posts : 89
Rep Power : 513
Likes Received
15
Likes Given
0

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

apunguze uno la chumbani

3. Marytina's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 20th January 2011
Posts : 5,687
Rep Power : 17182038
Likes Received
1269
Likes Given
328

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

wewe laini kabisaa wa kupeleka puani uliwe

4. Nduka's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 3rd December 2008
Posts : 7,358
Rep Power : 29758301
Likes Received
1002
Likes Given
639

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

Toto linakata mauno hilo.
I am super bad

5. Tosha's Avatar
Member Array
Join Date : 18th August 2011
Posts : 63
Rep Power : 501
Likes Received
11
Likes Given
38

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

ana uwezo mzuri sana wa kukata mauno tatizo wakati mwingine nakatika out of beats halafu ni producer daaah!huwa anafanya makusidi au ndo anakuwa amenogewa?imashoga wachache sana ambao wameweza kukiri mbele ya kadamnasi kuwa wao ni mashoga so sio issue kukataa issue ukweli halisi ni upi?ukweli huo si rahisi kupata kwa kuulizwa na vyombo vya habari!Diamond na marafiki zake wa karibu wanajua ukweli wenyewe!msanii ni kuwa na identity lakini kwa Bob Junior amezidisha UREMBO namsihi azidishi UTANASHATI na siyo urembuaji wa macho au mambo ya makaroraiti(caro light)au mikorogo!

6. Mamndenyi's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 11th April 2011
Location : Mafinga
Posts : 24,677
Rep Power : 429501871
Likes Received
13877
Likes Given
29717

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

madogo, ushamba unawatala, hawataki uasilia wanataka umarekani, mwisho mnaonekana kama wanawake.

7. MSEMAHOVYO's Avatar
Member Array
Join Date : 12th July 2011
Posts : 28
Rep Power : 499
Likes Received
2
Likes Given
1

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

Huu ni ushamba kumtafsiri mtu tofauti na vile alivyo, kukata viuno ni kazi ya sanaa kwani wacheza show za muziki huwa wanafanya nini? Hata hivyo wasanii wangapi duniani wanakata viuno? Mbona hata Mr Nice enzi hizo alikuwa viuno kwa kwenda mbele, je ni shoga?

H Baba nae hivyo hivyo, je ni shoga? Fally Ipupa nae,j e ni SHOGA? Acheni kufuatilia maisha ya mtu kama mnapenda muziki pendeni muziki kama hampendi kazi zake mpotezeeni acheni kumfuatafuata katika maisha binafsi.

Hata kama ni shoga yanawahusu? kuweni basi na nyinyi mashoga kama mnamuonea wivu, Elton John na wengine maarufu ni mashoga na wapo juu ile mbaya mbona hamsemi?

Acheni hizo kwanza nafikiri hamjui nini maana ya sanaa au nini maana ya msanii ndio maaana mnakurupuka na kumpakazia Bob Junior. Bob Junior kama unisoma hii mzee nakushauri makamuzi ya viuno kwa kwenda mbele asiependa kazi zako na akupotezee sio lazima awe fan wako, hiyo ni sanaa na lazima msanii aheshimiwe kulingana na hisia na mawazo yake.

Bob Junior be more concerned with your character than reputation, because a character is what really you are and reputation is what people think you are...wapotezeeeeeee.

8. El Toro's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 10th January 2009
Location : Here in Bongoland
Posts : 5,253
Rep Power : 1994
Likes Received
548
Likes Given
420

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

pure punga nukta
Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs  9. mbweta's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 10th December 2010
Posts : 601
Rep Power : 644
Likes Received
68
Likes Given
3

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

Mbona fally pupa anakatika lakin mwampenda.

10. Hassani's Avatar
Senior Member Array
Join Date : 5th June 2009
Posts : 233
Rep Power : 649
Likes Received
10
Likes Given
4

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

Quote By MSEMAHOVYO View Post
Huu ni ushamba kumtafsiri mtu tofauti na vile alivyo, kukata viuno ni kazi ya sanaa kwani wacheza show za muziki huwa wanafanya nini? Hata hivyo wasanii wangapi duniani wanakata viuno? Mbona hata Mr Nice enzi hizo alikuwa viuno kwa kwenda mbele, je ni shoga?

H Baba nae hivyo hivyo, je ni shoga? Fally Ipupa nae,j e ni SHOGA? Acheni kufuatilia maisha ya mtu kama mnapenda muziki pendeni muziki kama hampendi kazi zake mpotezeeni acheni kumfuatafuata katika maisha binafsi.

Hata kama ni shoga yanawahusu? kuweni basi na nyinyi mashoga kama mnamuonea wivu, Elton John na wengine maarufu ni mashoga na wapo juu ile mbaya mbona hamsemi?

Acheni hizo kwanza nafikiri hamjui nini maana ya sanaa au nini maana ya msanii ndio maaana mnakurupuka na kumpakazia Bob Junior. Bob Junior kama unisoma hii mzee nakushauri makamuzi ya viuno kwa kwenda mbele asiependa kazi zako na akupotezee sio lazima awe fan wako, hiyo ni sanaa na lazima msanii aheshimiwe kulingana na hisia na mawazo yake.

Bob Junior be more concerned with your character than reputation, because a character is what really you are and reputation is what people think you are...wapotezeeeeeee.
Hao wote uliowataja wanakata viuno lakini hawajazushiwa ushoga,lakini huyu kazushiwa.Hapo ndo ujiulize ana nini cha ziada kilichowafanya mashabiki wamfikirie hvyo?
duniani tunapita

11. First Born's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 11th July 2011
Location : Tanzania Vijiweni
Posts : 4,838
Rep Power : 429497890
Likes Received
1157
Likes Given
223

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

kwa sababu wanapenda kumchafulia jina.

12. data's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 9th April 2011
Posts : 7,095
Rep Power : 160101182
Likes Received
1749
Likes Given
555

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

mwatuharibia weekend zetu.... kawakosea nin msanii huyu... Wabara taabu sana.. umbeeeeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.. mnaboaa

13. data's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 9th April 2011
Posts : 7,095
Rep Power : 160101182
Likes Received
1749
Likes Given
555

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

Quote By Hassani View Post
Hao wote uliowataja wanakata viuno lakini hawajazushiwa ushoga,lakini huyu kazushiwa.Hapo ndo ujiulize ana nini cha ziada kilichowafanya mashabiki wamfikirie hvyo?
stop that...pse... mwanaume kama wewe unaposhupalia kitu ambacho huna uhakika nacho waonekana wewe ndo "bwabwa"

14. Hassani's Avatar
Senior Member Array
Join Date : 5th June 2009
Posts : 233
Rep Power : 649
Likes Received
10
Likes Given
4

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

Quote By data View Post
stop that...pse... mwanaume kama wewe unaposhupalia kitu ambacho huna uhakika nacho waonekana wewe ndo "bwabwa"
Hivi umenielewa nilichokiandika!!,au umeamua kunitukana tu ,kukaa nyuma ya computer kusikufanye ujihisi uko safe bro.
duniani tunapita

15. Easymutant's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 3rd June 2010
Posts : 1,755
Rep Power : 6279
Likes Received
424
Likes Given
562

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

Quote By MSEMAHOVYO View Post
Huu ni ushamba kumtafsiri mtu tofauti na vile alivyo, kukata viuno ni kazi ya sanaa kwani wacheza show za muziki huwa wanafanya nini? Hata hivyo wasanii wangapi duniani wanakata viuno? Mbona hata Mr Nice enzi hizo alikuwa viuno kwa kwenda mbele, je ni shoga?

H Baba nae hivyo hivyo, je ni shoga? Fally Ipupa nae,j e ni SHOGA? Acheni kufuatilia maisha ya mtu kama mnapenda muziki pendeni muziki kama hampendi kazi zake mpotezeeni acheni kumfuatafuata katika maisha binafsi.

Hata kama ni shoga yanawahusu? kuweni basi na nyinyi mashoga kama mnamuonea wivu, Elton John na wengine maarufu ni mashoga na wapo juu ile mbaya mbona hamsemi?

Acheni hizo kwanza nafikiri hamjui nini maana ya sanaa au nini maana ya msanii ndio maaana mnakurupuka na kumpakazia Bob Junior. Bob Junior kama unisoma hii mzee nakushauri makamuzi ya viuno kwa kwenda mbele asiependa kazi zako na akupotezee sio lazima awe fan wako, hiyo ni sanaa na lazima msanii aheshimiwe kulingana na hisia na mawazo yake.

Bob Junior be more concerned with your character than reputation, because a character is what really you are and reputation is what people think you are...wapotezeeeeeee.
Another SHOGA in making....!!!
Some people feel the rain, others just get wet.........[email protected]  16. KALYOVATIPI's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 11th August 2011
Posts : 1,418
Rep Power : 734
Likes Received
173
Likes Given
1

Default

Quote By MSEMAHOVYO View Post
Huu ni ushamba kumtafsiri mtu tofauti na vile alivyo, kukata viuno ni kazi ya sanaa kwani wacheza show za muziki huwa wanafanya nini? Hata hivyo wasanii wangapi duniani wanakata viuno? Mbona hata Mr Nice enzi hizo alikuwa viuno kwa kwenda mbele, je ni shoga?

H Baba nae hivyo hivyo, je ni shoga? Fally Ipupa nae,j e ni SHOGA? Acheni kufuatilia maisha ya mtu kama mnapenda muziki pendeni muziki kama hampendi kazi zake mpotezeeni acheni kumfuatafuata katika maisha binafsi.

Hata kama ni shoga yanawahusu? kuweni basi na nyinyi mashoga kama mnamuonea wivu, Elton John na wengine maarufu ni mashoga na wapo juu ile mbaya mbona hamsemi?

Acheni hizo kwanza nafikiri hamjui nini maana ya sanaa au nini maana ya msanii ndio maaana mnakurupuka na kumpakazia Bob Junior. Bob Junior kama unisoma hii mzee nakushauri makamuzi ya viuno kwa kwenda mbele asiependa kazi zako na akupotezee sio lazima awe fan wako, hiyo ni sanaa na lazima msanii aheshimiwe kulingana na hisia na mawazo yake.

Bob Junior be more concerned with your character than reputation, because a character is what really you are and reputation is what people think you are...wapotezeeeeeee.

Kuna ukataji wa kishoga na kimuziki na ile karikiti pale kichwani karolait na ktk video yake na nuru ile ya Muhogo Andazi alijisifia eti si mashombeshombe sasa mnataka mpaka awaletee picha masaburi yake yaki***

17. shosti's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 21st December 2010
Location : M'nyamala
Posts : 4,959
Rep Power : 1620
Likes Received
1442
Likes Given
1830

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

Barabuu siku hizi haendi nao Dubai hawa!

18. The Boss's Avatar
Banned Array
Join Date : 18th August 2009
Location : DARESALAAM
Posts : 27,407
Rep Power : 0
Likes Received
25036
Likes Given
25182

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

Quote By shosti View Post
Barabuu siku hizi haendi nao Dubai hawa!
siku hizi hali samaki nini?
anakula bata labda lol
shosti likes this.

19. shosti's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 21st December 2010
Location : M'nyamala
Posts : 4,959
Rep Power : 1620
Likes Received
1442
Likes Given
1830

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

[QUOTE=The Boss;2399035]siku hizi hali samaki nini?
anakula bata labda lol[/QUOTE
nilisahau Dubai walibadili kitoweo!
The Boss likes this.

20. matumbo's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 9th July 2011
Posts : 5,725
Rep Power : 0
Likes Received
2447
Likes Given
1355

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

jamaa anaongelea puani,uku anajilambalamba lips,jicho linalegezwa km kala kungu wacha tu watu wawe na mashaka,ata mi pia simwelewi kabisa haswa akikata kiuno chake taratiiiiibu na staili yake km anajibinua kidogo....

21. Nduka's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 3rd December 2008
Posts : 7,358
Rep Power : 29758301
Likes Received
1002
Likes Given
639

Default Re: Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

Quote By MSEMAHOVYO View Post
Hata kama ni shoga yanawahusu?
Wewe lazima ni hao hao, yaani unaona kijana mwenzako wa kitanzania kuingiziwa utumbo wa bata kwenye TUNDU LUSSU lake sio issue?

Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

Similar Topics

1. Huu sasa siyo usanii ni ulimbukeni
By misnomer in forum Jamii Photos
Replies: 55
Last Post: 16th December 2011, 17:15
2. Usanii juu ya usanii; JK kukutana na vyama vyote
By Ibrah in forum Jukwaa la Siasa
Replies: 50
Last Post: 24th November 2011, 21:23
3. Junior Economist
By Hercule Poirot in forum Nafasi za Kazi na Tenda
Replies: 0
Last Post: 11th July 2011, 14:52
4. Replies: 0
Last Post: 24th April 2011, 10:41
5. Junior members:ni mtazamo tu
By 22nd in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
Replies: 31
Last Post: 23rd March 2011, 09:25

Posting Permissions

• You may not post new threads
• You may not post replies
• You may not post attachments
• You may not edit your posts

Who are WE?

JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

You are always welcome! Read more...

Where are we?

We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

For anything related to this site please Contact us.

Contact us now...

DISCLAIMER

JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

Read more...

Forum Rules

JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

You MUST read them and comply accordingly. Read more...

Privacy Policy

We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

Read our Privacy Policy. Proceed here...