Hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....
Hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....
Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs
yani kiatu tuu zaidi ya laki 6! kina ac ndani yake au?? hata kama ni ufisadi huu kiboko!!!
"BUSINESS FOR FRIENDSHIP IS BETTER THAN FRIENDSHIP FOR BUSINESS"
Bongo totoz hashikiki mnasikiwa byie wa ughaibuni va vijisebti vyenu vya bwax
"Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
"Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"
----,.wat about her house, utamkuta gheto.!!
sizaniiii hakuna cha m8 wala nini
wa milion 8 wanajulika anafanya matangazo ili
apate wa kumkandamiza ili amuwezeshe
kusongesha life hawa ni makahaba tuuu
sorry hasira zimenikaba
vidole vikaandika pleas munisamehe
Just uamuzi.
Kama alizidisha sana basi alitumia Elfu Themanini kwa viwalo vyote hivyo..
Milioni Nane my foot.....
Do Something......
hiyo milioni nane unalipia ada kwa mwaka shule nzima ya kata yenye watoto 400, wastani wa watoto mia kila darasa halafu wewe unatoka nazo kwenye mwili halafu mara moja tena pengine mtoko ambao ni masaa yake hayafiki hata manane.
Open your eyes, look within. Are you satisfied with the life you're living?-Bob Marley
Ulimbukeni tu unamsumbua,si ajabu vitu vyote hivyo ni vya kichina ambavyo bei yake haizidi hata laki 2
hana lolote, kati ya watu ninaowadharau, huyu naye ni mmojawapo. piece of ----..
Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!
Huyo kinuka mkojo hana mtu wa kumhonga hata hiyo 80,000 itakuwa milioni! Au alishindwa kutamka badala ya elfu anasema milioni
Huyu demu ni biashara hakuna kutongoza kuna maPIMP wanawauza hawa warembo kiasi awe na vitu vya thamani namna hiyo maana dau ni $100 ST
I'd rather die standing than live kneeling (Che guavara)
actually anakera kuangalia....kwaheri....
Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!
Mh makubwa haya jamani!!!!! JLo wapo mpaka TZ!
Aeleze pia thamani ya maisha ya Njombe, asilete ulimbukeni wake hapa
Follow Us Here