Nina mashaka na hii news...isije ikiwa ni mwendelezo wa ile website iliyokuwa hacked na kutuletea habari za Tupac kuonekana hai. Manake nimejaribu kuangalia site za news za kuaminika hakuna kitu kama hicho.
http://edition.cnn.com/2011/TECH/web....html?hpt=Sbin
Willy Smith wa bongo au
Oh my, leo hii nilikuwa nacheki ile sinema yake ya Bad boys pale mnet action 106. I'll be back fully stuffed manake nimejaribu kugoogle sijaona zaidi ya kuambiwa kuwa 2pac yuko N zealand!
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
Jf siyo ya masihara.
RIP SMITH
u mwaka mbona misiba ming jaman..dah
"NAJUA kwamba mimi ni mwerevu na mwenye akili,kwa sababu nafahamu kwamba HAKUNA NINACHOFAHAMU" socrates
Website yenyewe inaitwa 'fake a wish'!
Hackers hao wanaendeleza libeneke.
Siku hizi mitandaoni humu Noma tupu
Hiyo ni jina la sinema mpya aliyoizindua New Zealand
...------------------------------------------------.---------------------------------------------------------------------..Rather Kill a FRIEND than Risk Missing an ENEMY
Inasikitisha sana siamini bado habari iko kwa Global Associated News. Nilikuwa nampenda sana
You Only live Once....But if you do it right, Once is enough
Smells like a hoax.
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
tor - Will Smith Falls To His Death In New Zealand
THIS STORY IS STILL DEVELOPING...
Actor Will Smith died while filming a movie in New Zealand early this morning - May 31, 2011
Preliminary reports from New Zealand Police officials indicate that the actor fell more than 60 feet to his death on the Kauri Cliffs while on-set. Specific details are not yet available.
You Only live Once....But if you do it right, Once is enough
Hii habari ni ya mashaka sana... ukiachilia hiyo web site moja, hakuna mahali pengine popote pale inaporipotiwa wakati kwa hakika kama suala hili lingekuwa kweli, ni habari kubwa dunia nzima kwa kila news agency
I assume full responsibility for my actions, except the ones that are someone else's fault.
Kuna thread inaongelea hii kitu nenda hapa http://www.jamiiforums.com/entertain...s-no-more.html
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
It's true, he is dead
In this way of life there hundreds of devils in the form of men, so that you can not trust all men shaped as men.
Mmmh siamini!!
Actor ambae nilisikitika sana alipofariki ni Bernie Mac...kama WS nae ni kweli ntasikitika kweli!
Follow Us Here