Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Regina Mwalekwa

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 27 of 27
    1. #1
      Kifaranga's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 64
      Rep Power : 440
      Likes Received
      6
      Likes Given
      2

      Default Regina Mwalekwa

      Wadau, ni siku nyingi sijamsikia Regina Mwalekwa wala Asmah Makau kwenye kipindi cha Jahazi. Wako wapi siku hizi???


    2. #21
      nndondo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st February 2010
      Posts : 639
      Rep Power : 696
      Likes Received
      158
      Likes Given
      2

      Default Re: Regina Mwalekwa

      Nimefurahi sana kusikia hivyo, walijiona ma star ndio upumbavu wa vijana wa bongo, hawana vision ya career hebu fikiria mtu kama yule dogo ayoo katoka ITV alikokua anasoma news sasa yuko cloud anafanya sijui kipindi gani hata hakijulikana akapandishwa stejini kavalishwa nguo za ajabu na kutangaza kilimanjaro awards ndio akaona kafika lakini hapo ndio mwisho. Jahazi is ---- huwezi kusikiliza, Regina alijiona kapanda chati sauti nzuri allikua anafanya vizuri kwenye kipindi kule hakujua sababu alikua anakutana na watu wenye akili, kwa nini asinge tazama idhaa za kiswahili za BBC, Deutschewelle ama voice of amerika kuna watanga wenzie kule wakina mwamoyo wamejaza watu wa kwao peke yao angefika sasa yeye akawana anaangalia nyuma badala ya mbele, na kwa Joyce hakatizi tena huyo labda aende TBC kuliko jifia mbali what a waste of life

    3. #22
      MADAM T's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Posts : 1,087
      Rep Power : 656
      Likes Received
      114
      Likes Given
      133

      Default Re: Regina Mwalekwa

      Vitakuwa vile vicheko vya hovyohovyo ndio vilivyowaondoa hapo jahazi

    4. #23
      Janjaweed's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 20th January 2010
      Posts : 3,700
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1416
      Likes Given
      1585

      Default Re: Regina Mwalekwa

      aaron, wasiwasi na kibonde have kipindi better that ever before... a perfect team

    5. #24
      Somoche's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2010
      Posts : 1,899
      Rep Power : 824
      Likes Received
      356
      Likes Given
      353

      Default Re: Regina Mwalekwa

      Quote By NG'WANONE View Post
      G Habashi iikua mwamba, tutakumiss.
      rudisha gadner hizi kazi zina wenyewe bana..

    6. #25
      Mamushka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th February 2010
      Posts : 1,613
      Rep Power : 796
      Likes Received
      86
      Likes Given
      141

      Default Re: Regina Mwalekwa

      Quote By sawabho View Post
      Wote kwa wakati mmoja?
      Wamezalishwa na nani tena kwa pamoja? au kibonde.
      Last edited by Mamushka; 21st May 2011 at 16:04.


    7. #26
      Mamushka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th February 2010
      Posts : 1,613
      Rep Power : 796
      Likes Received
      86
      Likes Given
      141

      Default Re: Regina Mwalekwa

      Quote By mtulutumbi View Post
      Kama kweli ni maternity leave ..sasa watakuwa na adabu baada ya uchungu wa kuzaa
      Haa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

    8. #27
      Mamushka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th February 2010
      Posts : 1,613
      Rep Power : 796
      Likes Received
      86
      Likes Given
      141

      Default Re: Regina Mwalekwa

      Quote By kagamba kadogo View Post
      wameenda samunge. Nasikia wamepigwa chini walikuwa kwenye trial wakafeli. Mwalekwa atajutia kwa mengi
      Haaa jamani jamani please mnanivunja mbavu leo oooh.

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    Similar Topics

    1. Replies: 5
      Last Post: 26th September 2011, 18:30
    2. Regina Mwalekwa na Asma Makao ndo tusemeje
      By mkonowapaka in forum Celebrities Forum
      Replies: 7
      Last Post: 26th May 2011, 18:45
    3. Regina Mwalekwa atimba Clouds FM
      By Brooklyn in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 50
      Last Post: 3rd December 2010, 18:36
    4. Regina Mwalekwa anaporipoti ----- toka Bungeni
      By El Toro in forum Celebrities Forum
      Replies: 14
      Last Post: 28th November 2010, 15:21
    5. Regina Mwalekwa
      By Mchaga in forum Celebrities Forum
      Replies: 15
      Last Post: 3rd November 2010, 15:54

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...